Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Pinda: Kashfa IPTL imetia doa Serikali

Waziri Mkuu Mizengo Pinda

Waziri Mkuu Mizengo Pinda

NA ELIAS MSUYA, DAR ES SALAAM

WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amesema Serikali imetiwa doa na kashfa ya IPTL ambapo zaidi ya Sh bilioni 200 zinadaiwa kuchotwa kwenye akaunti maalumu ya ‘Tegeta Escrow’, iliyokuwa Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Pinda ambaye yupo jijini London, Uingereza kuhudhuria mkutano wa viongozi wa Afrika na wawekezaji wa Ulaya, aliyasema hayo alipokuwa akizungumza kwenye kipindi cha Dira ya Dunia kinachorushwa na Kituo cha Televisheni cha Shirika la...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

DIRA: Kauli ya Masele kwa Balozi wa Uingereza, Serikali imetia aibu

>Ukifuatilia sinema iliyofanyika bungeni Dodoma pale Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Steven Masele alipombwatukia Balozi wa Uingeza, Dianna Melrose kuwa anaingilia mambo ya ndani ya nchi, utaona kuna unafiki umejificha ndani yake.

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

KASHFA YA IPTL


Kafulila aikwepa TAKUKURU

Na Mwandishi Wetu
MBUNGE wa Kigoma Kusini, David Kafulila (NCCR-Mageuzi), ameshindwa kuwasilisha ushahidi wake kwa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), kuhusiana na kashfa ya malipo yaliyofanywa na Kampuni ya IPTL kupitia akaunti ya Escrow.
Kafulila aliibua tuhuma hizo huku akiwatuhumu baadhi ya mawaziri na watendaji wa serikali, ambapo mara kadhaa serikali imekuwa ikitoa ufafanuzi kuhusiana na sakata hilo.
Hata hivyo, serikali ilitangaza kukabidhi...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kashfa IPTL utata mtupu

WAKATI Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila (NCCR-Mageuzi), akitamba kuendelea kupiga kelele hadi fedha zilizochotwa kwenye Akaunti ya Escrow zirudishwe, suala hilo linazidi kugubikwa na utata, Tanzania Daima Jumatano limebaini....

 

10 years ago

Vijimambo

Mbinu za kuzuia mjadala kashfa IPTL zafichuliwa


Mkanganyiko mkubwa umeibuka mjini hapa kwamba serikali inafanya kila njia kuzuia taarifa ya sakata la IPTL la uchotwaji wa zaidi ya Sh. bilioni 300 katika akaunti ya Escrow iliyokuwa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), kujadiliwa bungeni.

Habari za mkakati huo zilitangazwa jana na wabunge watatu wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), James Mbatia (NCCR-Mageuzi), Tundu Lissu (Chadema) na Mohamed Habib Mnyaa (Cuf), walipozungumza na waandishi wa habari wakidai kuwa Mahakama Kuu ya Tanzania...

 

10 years ago

Mwananchi

Kashfa ya IPTL, Uchaguzi Mkuu 2015 vyashusha thamani ya Shilingi

Hatua ya wahisani kuzuia Sh1 trilioni za misaada ya kibajeti kwa Serikali kutokana na kashfa ya IPTL na wasiwasi wa Uchaguzi Mkuu mwakani, ni miongoni mwa sababu za kuporomoka kwa kasi thamani ya Shilingi nchini, imefahamika.

 

10 years ago

Mwananchi

Serikali ijiondoe na doa hili la mgombea binafsi

Kwa hakika haileti picha nzuri kuona Serikali inakaa kimya kuhusu utekelezaji wa masuala mbalimbali, tena mengine yakiwa na nguvu za kimahakama.

 

10 years ago

Vijimambo

IPTL yambabua Pinda

  Pinda asema ikithibitika hata yeye haachwi
  Wabunge waja juu, waipinga mahakama
  Wahoji mabilioni kulipa vikao vya harusi
  Wakumbuka Richmond, Operesheni TokomezaMwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), Zitto Kabwe.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda jana alijikuta katika wakati mgumu baada ya kubanwa na wabunge ambao waliweka pembeni tofauti za vyama vyao vya siasa na kuungana kupinga vikali njama zinazodaiwa kufanywa na Mahakama ya Tanzania za kuingilia uhuru wa Bunge...

 

10 years ago

TheCitizen

I’ll table IPTL report, says Pinda

Prime Minister Mr Mizengo Pinda said yesterday he expected to present to Parliament the Controller and Auditor General (CAG)’s report on the Tegeta escrow account scandal immediately he received it.

 

11 years ago

Habarileo

Pinda aagiza Takukuru, CAG wachunguze IPTL

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) pamoja na Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) wameagizwa kuchunguza na kujiridhisha kama kweli upo uchotaji wa mabilioni ya shilingi katika akaunti ya Escrow iliyokuwa imefunguliwa ndani ya Benki Kuu (BoT) kwa ajili ya kampuni ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL).

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani