Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Serikali ijiondoe na doa hili la mgombea binafsi

Kwa hakika haileti picha nzuri kuona Serikali inakaa kimya kuhusu utekelezaji wa masuala mbalimbali, tena mengine yakiwa na nguvu za kimahakama.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mtanzania

Pinda: Kashfa IPTL imetia doa Serikali

Waziri Mkuu Mizengo Pinda

Waziri Mkuu Mizengo Pinda

NA ELIAS MSUYA, DAR ES SALAAM

WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amesema Serikali imetiwa doa na kashfa ya IPTL ambapo zaidi ya Sh bilioni 200 zinadaiwa kuchotwa kwenye akaunti maalumu ya ‘Tegeta Escrow’, iliyokuwa Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Pinda ambaye yupo jijini London, Uingereza kuhudhuria mkutano wa viongozi wa Afrika na wawekezaji wa Ulaya, aliyasema hayo alipokuwa akizungumza kwenye kipindi cha Dira ya Dunia kinachorushwa na Kituo cha Televisheni cha Shirika la...

 

11 years ago

Habarileo

Mgombea binafsi 'ruksa’

RASIMU ya Katiba Inayopendekezwa iliyowasilishwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Uandishi, Andrew Chenge, bungeni jana, imeruhusu kuwepo kwa mgombea binafsi, lakini ikamwekea vizingiti vya utekelezaji wa nia yake.

 

11 years ago

Mwananchi

Utekelezaji wa hukumu ya mgombea binafsi utata

Utata wa kisheria umeibuka kuhusu utekelezaji wa amri ya Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu kuhusu nafasi ya mgombea binafsi nchini.

 

11 years ago

Mwananchi

Suala la mgombea binafsi halina mjadala tena

Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu imeandika historia katika nchi yetu, baada ya kutoa hukumu iliyohitimisha safari ndefu ya wananchi kutaka wagombea binafsi waruhusiwe katika chaguzi za serikali za mitaa, ubunge na urais.

 

10 years ago

Vijimambo

AIBU KUBWA: MGOMBEA URAIS AANGUA KILIO JUKWAANI,ANGALIA TUKIO HILI

Mgombea urais wa Zanzibar kupitia chama cha Chauma, Mohammed Masod Rashid, amejikuta akiangua kilio jukwaani na kumpigia magoti Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete, kumuomba awaachie huru masheikh wa Jumuiya ya Mihadhara ya Dini ya Kiislamu (Uamsho) waliopo gerezani.
Tukio hilo lilitokea katika mkutano wa hadhara wakati akifungua kampeni za chama hicho visiwani hapa. 
Mgombea huyo alivuta hisia za wananchi na kila aliyekuwa akipita njia katika eneo hilo la kiwanja cha...

 

10 years ago

BBCSwahili

ANC yaitaka Afrika Kusini ijiondoe katika ICC

Afrika Kusini huenda ikajiondoa kutoka kwa mahakama ya kimataifa ya ICC.

 

11 years ago

Mwananchi

Serikali ichangie sekta binafsi

Enzi za Azimio la Arusha, njia zote kuu za uchumi zilimilikiwa na Serikali. Hivyo usafirishaji, shughuli za kibenki, hospitali, shule, posta, simu, maduka, viwanda na kadhalika, vyote vilimilikiwa na Serikali.

 

11 years ago

Mwananchi

Serikali imetafakari hili la shule za mazoezi?

Kila nchi ulimwenguni inajishughulisha kutafuta njia za kutatua matatizo yanayowakabili wananchi wake.

 

10 years ago

Habarileo

Serikali yazipiga ‘stop’ shule binafsi

Dk Shukuru Kawambwa WAZIRI wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk Shukuru Kawambwa amesema Serikali itazinyang’anya leseni ya uendeshaji shule binafsi, ambazo zimeweka viwango vyake vya ufaulu kwa wanafunzi wanaosoma kwenye shule hizo, tofauti na viwango vya Serikali.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani