Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Suala la mgombea binafsi halina mjadala tena

Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu imeandika historia katika nchi yetu, baada ya kutoa hukumu iliyohitimisha safari ndefu ya wananchi kutaka wagombea binafsi waruhusiwe katika chaguzi za serikali za mitaa, ubunge na urais.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA KIBAHA KULIVALIA NJUGA SUALA LA CHANGAMOTO YA WAKINAMAMA WAJAWAZITO

 Mgombea wa jimbo la kibaha mjini kupitia chama cha mapinduzi (CCM) Sylivesta Koka akisalimiana na wananchi wa kata ya msangani kabla ya kuanza kwa mkutano wa hadhara wa kampeni za uchaguzi. Wananchi wakiwa wanashangilia jambo katika mkutano huo wa hadhara.(Picha zote na Victor Masangu) Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Kibaha Maulid Bundala akiwaonyesha wananchi waliohudhulia katika mkutano huo moja ya  kadi ya chadema iliyorudishwa na mwanachama wa chadema, kulia kwake ni mgombea ubunge jimbo la...

 

11 years ago

Habarileo

Mgombea binafsi 'ruksa’

RASIMU ya Katiba Inayopendekezwa iliyowasilishwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Uandishi, Andrew Chenge, bungeni jana, imeruhusu kuwepo kwa mgombea binafsi, lakini ikamwekea vizingiti vya utekelezaji wa nia yake.

 

10 years ago

Habarileo

Mjadala mgombea mmoja Ukawa bado siri

Dk Willbrod SlaaUPATIKANAJI wa mgombea mmoja wa urais kupitia vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), umeendelea kujadiliwa katika kikao cha siri cha vyama hivyo, huku hali ikijionesha kuwepo kwa mvutano baina ya vyama vikuu katika umoja huo.

 

11 years ago

Mwananchi

Utekelezaji wa hukumu ya mgombea binafsi utata

Utata wa kisheria umeibuka kuhusu utekelezaji wa amri ya Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu kuhusu nafasi ya mgombea binafsi nchini.

 

10 years ago

Mwananchi

Serikali ijiondoe na doa hili la mgombea binafsi

Kwa hakika haileti picha nzuri kuona Serikali inakaa kimya kuhusu utekelezaji wa masuala mbalimbali, tena mengine yakiwa na nguvu za kimahakama.

 

5 years ago

Michuzi

MJADALA WAIBUKA TENA BUNGE LA EALA UKOSEFU WA FEDHA ZA KUTOSHA KUENDESHA JUMUIYA EAC


Mbunge wa bunge hilo George Odongo akiongea na wanahabari nje ya bunge.

Na Ahmed Mahmoud Arusha 
Wabunge wa bunge la Afrika mashariki wameibua tena mjadala wa tatizo la ukosefu wa fedha za kutosha kutekeleza majukumu ya kila siku ya jumuiya na kuliomba Baraza la mawaziri kuona uwezekano wa kulipatia ufumbuzi wa kudumu tatizo hilo. 
Akiongea wakati akichangia mjadala wa ripoti ya ukaguzi fedha hilo Mbunge wa EALA Mariamu Ussi alisema kuwa suala hilo ni changamoto ambayo inahitaji kupatiwa...

 

10 years ago

Michuzi

news alert: SPIKA ASITISHA BUNGE HADI WATAPOJADILIANA TENA BAADA YA SINTOFAHAMU WAKATI WA MJADALA MKALI WA SAKATA LA ESCROW


Sintofahamu iliyotokea kwenye kikao cha Bunge mjini Dodoma Ijumaa Novemba 28, 2014 imepelekea Spika Anne Makinda (pichani) kulazimika kusitisha shughuli za Bunge mpaka hapo watapojadiliana tena. 
Hii ni baada ya majadiliano makali kuhusu kuwajibishwa ama la kwa viongozi wanaohusika na sakata la akaunti ya Escrow. Hali hii iliibuka baada ya Mwenyekiti wa CHADEMA na kambi ya upinzani Bungeni Mhe Freeman Mbowe kuinuka na kusema kuwa Bunge kufikisha saa tano kasoro ni historia, na kwamba kuna...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mgombea Ubunge Temeke (CCM) Mtemvu ahaidi neema akichaguliwa tena

Mgombea Ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Abbas Mtemvu akizungumza na wananchama na wafuasi wa Chama hicho  Dar es Salaam jana wakati wa mkutano wa Uzinduzi wa kampeni ya uchaguzi Kata 14 Temeke katika viwanja vya Shule ya Msingi Madenge sambamba na mashina 3 yalizinduliwa. (PICHA NA KHAMISI MUSSA) Mgombea Ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Abbas Mtemvu (wa tatu kulia) na Mgombea nafasi ya Udiwani kupitia cha hicho Feisal (wa pili kulia) wakikata utepe kuashiria uzinduzi wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani