Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DIRA: Kauli ya Masele kwa Balozi wa Uingereza, Serikali imetia aibu

>Ukifuatilia sinema iliyofanyika bungeni Dodoma pale Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Steven Masele alipombwatukia Balozi wa Uingeza, Dianna Melrose kuwa anaingilia mambo ya ndani ya nchi, utaona kuna unafiki umejificha ndani yake.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Pinda: Kashfa IPTL imetia doa Serikali

Waziri Mkuu Mizengo Pinda

Waziri Mkuu Mizengo Pinda

NA ELIAS MSUYA, DAR ES SALAAM

WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amesema Serikali imetiwa doa na kashfa ya IPTL ambapo zaidi ya Sh bilioni 200 zinadaiwa kuchotwa kwenye akaunti maalumu ya ‘Tegeta Escrow’, iliyokuwa Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Pinda ambaye yupo jijini London, Uingereza kuhudhuria mkutano wa viongozi wa Afrika na wawekezaji wa Ulaya, aliyasema hayo alipokuwa akizungumza kwenye kipindi cha Dira ya Dunia kinachorushwa na Kituo cha Televisheni cha Shirika la...

 

11 years ago

Mwananchi

Serikali yamtuhumu Balozi wa Uingereza

>Serikali imetangaza rasmi mgogoro wa kidiplomasia kati yake na Balozi wa Uingereza nchini ikimtaka kujieleza kwa madai ya kuingilia mambo ya ndani ya nchi.

 

11 years ago

Mwananchi

Serikali: ‘Tumeafikiana na Balozi wa Uingereza’

>Siku chache baada ya Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Steven Maselle kutaka Balozi wa Uingereza nchini Dianne Melrose, ajipime kwa kile kinachodaiwa kuingilia mambo ya ndani ya nchi, Serikali imemsafisha balozi huyo ikisema imeshalimaliza suala hilo.

 

11 years ago

Habarileo

Serikali yamtaka Balozi wa Uingereza ajipime

SERIKALI imemtaka Balozi wa Uingereza nchini, Dianna Malrose ajipime kama anafaa kuendelea kuiwakilisha nchi yake, na kuagiza nchi yake kumwondoa mara moja. Ametakiwa afike mara moja katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, kujieleza.

 

9 years ago

MillardAyo

Hii ndio kauli ya Thomas Muller ambayo ni pigo kwa klabu ya Man United ya Uingereza …

Mshambuliaji wa kimataifa wa Ujerumani anayekipiga katika klabu ya FC Bayern Munich ya kwao Ujerumani Thomas Muller, December 18 ameingia katika headlines baada ya kuamua maamuzi tofauti ila ni pigo kwa klabu ya Man United. Muller ambaye ana mudu kucheza nafasi ya winga, mshambuliaji pamoja na kiungo ameamua kuongeza mkataba na FC Bayern, maamuzi ambayo […]

The post Hii ndio kauli ya Thomas Muller ambayo ni pigo kwa klabu ya Man United ya Uingereza … appeared first on...

 

10 years ago

Michuzi

Mh. Lowasaa akutana kwa mazungumzo na Balozi wa Uingereza nchini

Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya nchi za Nje,Mh. Edward Lowassa akisalimiana na Balozi wa Uingereza nchini Tanzania,Mh. Dianna Melrose aliyefika ofisini kwake leo kwa mazungumzo. Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya nchi za Nje,Mh. Edward Lowassa akizungumza na Balozi wa Uingereza nchini Tanzania,Mh. Dianna Melrose ofisini kwake,jijini Dar es salaam leo. Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya nchi za Nje,Mh. Edward Lowassa akiagana na Balozi wa Uingereza nchini Tanzania,Mh....

 

9 years ago

Global Publishers

Kauli ya Mbowe baada ya MCC kuzuia Trilioni 1 kwa serikali ya Tanzania

Mwenyekiti wa Chama chadema, Freema Mbowe. Muda mfupi baada ya Bodi ya MCC kutoa taarifa inayoonesha Tanzania haitapata msaada kutoka shirika hilo kama ilivyotarajiwa kwa ajili ya mwaka 2016, Mwenyekiti wa Chama  Chadema, Freema Mbowe ametoa kauli nzito juu ya suala hilo akisema kuwa kuchelewa kupatikana kwa fedha za MCC si tu kunachafua jina la nchi na hadhi yake katika medani za kimataifa, bali kutaathiri kwa kiasi kikubwa miradi yote iliyo chini ya ufadhili wa MCC. MCC imeahirisha msada...

 

9 years ago

CHADEMA Blog

Kauli ya Mbowe baada ya MCC kuzuia Trilioni 1 kwa serikali ya Tanzania

Muda mfupi baada ya Bodi ya MCC kutoa taarifa inayoonesha Tanzania haitapata msaada kutoka shirika hilo kama ilivyotarajiwa kwa ajili ya mwaka 2016, Mwenyekiti wa Chama Chadema, Freema Mbowe ametoa kauli nzito juu ya suala hilo akisema kuwa kuchelewa kupatikana kwa fedha za MCC si tu kunachafua jina la nchi na hadhi yake katika medani za kimataifa, bali kutaathiri kwa kiasi kikubwa miradi yote

 

10 years ago

Michuzi

Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue atembelea balozi wa Tanzania Uingereza jijini London

 Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue, akiweka saini kwenye Kitabu cha Wageni Ofisini kwa Balozi wa Tanzania, Uingereza, jijini London mwishoni mwa juma. Katibu Mkuu Kiongozi, Mheshimiwa Ombeni Sefue, akizungumza na Maafisa wa Ubalozi, alipotembelea Ubalozini hapo. Mheshimiwa Katibu Kiongozi alikuwa nchini Uingereza katika Ziara yake ya kikazi ambayo iliandaliwa na Taasisi ya ESAMI kuhudhuria semina ambayo ilikuwa na lengo la kuwakutanisha Viongozi wa Vyama vya Siasa na Watendaji wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani