LULU APATA KASHFA MPYA!

Waandishi wetu WAKATI mwili wa bilionea Lusekelo Samson Mwandenga ‘Seki’ aliyefariki dunia Alhamisi iliyopita ukitarajiwa kuzikwa leo mjini Dodoma, mitandao mbalimbali ya kijamii imempa kashfa staa wa sinema za Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ kwa kumtaja kuwa alikuwa na uhusiano wa ‘kimalovee’ na marehemu huyo, Ijumaa Wikienda linakujuza. Staa wa sinema za Bongo, Elizabeth Michael...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL
Tambwe apata kashfa
10 years ago
Mwananchi27 Jan
Mwenyekiti CCM apata kashfa
10 years ago
GPL
LULU APATA PIGO LA KUFIWA
10 years ago
Bongo Movies06 Aug
Lulu Apata Pigo, Afiwa na Bibi Yake
MSIBA! Staa mwenye umri mdogo anayekimbiza katika filamu Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amepata pigo baada ya kufiwa na bibi yake mzaa mama, Leonadina Mboneko, aliyefariki dunia juzi asubuhi katika Hospitali ya Masana, iliyopo Mbezi jijini Dar es Salaam.
Akizungumza na Amani mama mzazi wa Lulu, Lucresia Karugila alisema mama yake alikuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa kisukari kwa muda mrefu jambo lililomlazimu kumtoa nyumbani kwake Bukoba na kumleta jijini kwa ajili ya kupata...
10 years ago
Mwananchi26 Nov
Utata mpya waibuka kashfa ya ‘Miss Tanzania’ 2014
10 years ago
Bongo517 Nov
Tanzania yaingia kwenye kashfa mpya, ni mpango wa kuwahamisha wamasai 40,000 ili kuwapa Waarabu eneo la kuwindia
10 years ago
BBCSwahili17 Dec
Tomas Berdych,apata kocha mpya
10 years ago
Bongo517 Oct
Queen Darleen apata management mpya
10 years ago
Mtanzania11 Sep
Mgimwa apata mpinzani mpya jimbo la KalengaÂ
Na Elias Msuya
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo kimepata mgombea mpya atakayepambana na mgombea wa CCM katika jimbo la Kalenga katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu.
Jimbo hilo linaloshikiliwa na Godfrey Mgimwa aliyeshinda uchaguzi mdogo Machi 2014 baada ya baba yake mzazi, Dk. William Mgimwa, kufariki dunia.
Akizungumza jana katika mkutano wa hadhara katika kijiji cha Kidamali, Kalenga Iringa vijijini, mgombea mpya wa Chadema anayewakilisha Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Dk. Mussa Mdede...