Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tomas Berdych,apata kocha mpya

Mcheza soka namba saba duniani Tomas Berdych amwajirii kocha wa zamani wa Andy Murra

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Kocha Liewig apata kibarua Azam

Kocha wa zamani wa Simba, Patrick Liewig amepewa kazi ya kukinoa kikosi cha vijana cha Azam akichukua nafasi ya kocha Vivek Nagul aliyebwaga manyanga wiki iliyopita.

 

9 years ago

StarTV

Kocha wa Prisons Apata nafuu na kuruhusiwa utoka Hospitali.

Aliekua kocha Mkuu wa Tanzania Prisons David Mwamaja ameruhusiwa kutoka Hospital ya Taifa ya Muhimbili alikolazwa kwa siku kumi kutokana na kusumbuliwa na ugongwa wa kichwa baada damu kuvilia katika ubongo.

Mwamaja alianza kuugua ugonjwa huo wiki mbili zilizopita baada ya kuanguka akiwa katika majukumu ya kuinoa timu ya Mji Njombe inayoshiriki ligi daraja la kwanza.

Akizungumza kwa taabu kocha Mwamaja anaeleza kuwa alianguka katika korongo na kupoteza fahamu na baada ya kuzinduka akaanza...

 

9 years ago

Bongo5

Arsene Wenger apata tuzo ya kocha bora wa mwezi Oktoba

wenger

Kocha Arsene Wenger amechukua tuzo ya kocha bora wa mwezi katika ligi kuu ya Uingereza baada ya kuiongoza Arsenal kufanya vizuri mechi nne mfululizo.

wenger

Arsenal ilifunga magoli 11 katika mechi nne, huku ikizinyuka 3-0 United na Swansea.

vardy

Kwa upande wa wachezaji, tuzo hiyo imeenda kwa mshambuliaji wa Leicester City, Jamie Vardy kwa mara ya kwanza ndani ya miaka 15 katika klabu hiyo.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote...

 

10 years ago

GPL

LULU APATA KASHFA MPYA!

Waandishi wetu
WAKATI mwili wa bilionea Lusekelo Samson Mwandenga ‘Seki’ aliyefariki dunia Alhamisi iliyopita ukitarajiwa kuzikwa leo mjini Dodoma, mitandao mbalimbali ya kijamii imempa kashfa staa wa sinema za Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ kwa kumtaja kuwa alikuwa na uhusiano wa ‘kimalovee’ na marehemu huyo, Ijumaa Wikienda linakujuza. Staa wa sinema za Bongo, Elizabeth Michael...

 

9 years ago

Bongo5

Queen Darleen apata management mpya

Queen Darlin amesema amepata kampuni ya muziki itakayosimamia muziki wake na kuhakikisha anafika sehemu nyingine. Darleen ameiambia Bongo5 kuwa sasa hivi kila kitu kitakuwa kinafanywa na kampuni hiyo. “Sasa rasmi Queen Darleen nakuja kivingine kabisa, kuna management ipo tayari kusimamia muziki wangu, kwahiyo sasa hivi mashabiki wasubirie vitu vizuri kutoka kwangu,” alisema. Jiunge na Bongo5.com […]

 

11 years ago

GPL

KOCHA MPYA STARS

Martinus Ignatius "Mart" Nooij. Kocha mpya wa Taifa Stars ni Mholanzi, Martinus Ignatius "Mart" Nooij anayetarajiwa kutambulishwa rasmi Machi 24 mwaka huu na Rais wa TFF, Jamal Malinzi! CHANZO NI BIN ZUBEIRY…

 

9 years ago

Mtanzania

Mgimwa apata mpinzani mpya jimbo la Kalenga 

M2Na Elias Msuya

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo kimepata mgombea mpya atakayepambana na mgombea wa CCM katika jimbo la Kalenga katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu.

Jimbo hilo linaloshikiliwa na Godfrey Mgimwa aliyeshinda uchaguzi mdogo Machi 2014 baada ya baba yake mzazi, Dk. William Mgimwa, kufariki dunia.

Akizungumza jana katika mkutano wa hadhara katika kijiji cha Kidamali, Kalenga Iringa vijijini, mgombea mpya wa Chadema anayewakilisha Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Dk. Mussa Mdede...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Yanga wamtega kocha mpya

KLABU ya Yanga imetangaza rasmi kumpatia mkataba wa miezi sita Kocha wake mpya, Hans Van Der Pluijm, ambaye tayari ameungana na timu hiyo iliyopo nchini Uturuki kujipanga kwa raundi ya...

 

11 years ago

BBCSwahili

Zambia yapata kocha mpya

Timu ya taifa ya Zambia imepata kocha mpya, Honour Janza baada ya Patrice Beaumelle kuiaga timu hiyo

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani