Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Arsene Wenger apata tuzo ya kocha bora wa mwezi Oktoba

wenger

Kocha Arsene Wenger amechukua tuzo ya kocha bora wa mwezi katika ligi kuu ya Uingereza baada ya kuiongoza Arsenal kufanya vizuri mechi nne mfululizo.

wenger

Arsenal ilifunga magoli 11 katika mechi nne, huku ikizinyuka 3-0 United na Swansea.

vardy

Kwa upande wa wachezaji, tuzo hiyo imeenda kwa mshambuliaji wa Leicester City, Jamie Vardy kwa mara ya kwanza ndani ya miaka 15 katika klabu hiyo.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote...

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

KOCHA ARSENE WENGER MAJANGA!

Kocha wa Arsenal, Arsene Wenger akiingia katika Stesheni ya Liverpool Lime Street. ...Mzee baada ya kula mweleka katika stesheni hiyo.…

 

9 years ago

Dewji Blog

Kocha Arsene Wenger akasirika baada ya kugundua Harry Kane aliruhusiwa kutoka katika Academy ya Arsenal

ArseneWenger_large

Kocha wa Arsenal, Arsene Wenger.

Mshambuliaji wa Tottenham Hotspur, Harry Kane

Mshambuliaji wa Tottenham Hotspur, Harry Kane.

Na Rabi Hume

Kocha wa Arsenal, Mfaransa Arsene Wenger amesema alikasirika kidogo baada ya kugundua mshambuliaji wa Tottenham Hotspur, Harry Kane aliruhusiwa kutoka katika kituo cha kukuzia vipaji (academy) ya Arsenal na kuhamia academy ya wapinzani wao wakubwa klabu ya Tottenham.

Wenger amezungumzia habari hiyo wakati akizungumza na waandishi wa habari kuelekea mchezo wa ligi kuu ya Wingereza kesho jumapili...

 

9 years ago

Dewji Blog

Mohamed Tshabalala mchezaji bora wa mwezi Oktoba Simba Sport Club

Katika kuongeza morali na kuwazawadia wachezaji wanaofanya vizuri, Klabu ya Simba ilianzisha Tunzo ya Mchezaji Bora wa Mwezi kuanzia mwezi wa Septemba 2015.

Mshindi wa mwezi wa Oktoba, 2015 ni Mohamed Hussen Tshabalala ambapo alipigiwa kura nyingi na mashabiki na wapenzi wa Simba na soka la Tanzania kwa ujumla kupitia simu za mkononi ambao pia wamejiunga na huduma ya Simba News.

Akizungumza leo jijini Dar es salaam Rais wa Simba Evans Aveva alisema “Uongozi, wanachama na wapenzi wa...

 

9 years ago

Michuzi

Boko Beach Veterans wamkabidhi zawadi Mchezaji bora wa Mwezi Oktoba 2015

Mwenyekiti wa Timu ya Boko Beach Veterans (BBV), Danny Ole a.k.a Aguero (wa nne toka kushoto) akimkabidhi zawadi ya mpira Mchezaji bora wa Mwezi Oktoba, Henry Horombe (wa nne toka kulia), baada ya kuonyesha kiwango kizuri kwa kipindi chote cha mwezi mwezi huo 2015. Zawadi hizo hutolewa na mdau mkubwa wa soka nchini na mmiliki wa maduka ya Zizzou Fashion, Othman Tippo Shaaban ambaye nae ni mwanachama wa timu hiyo.Sehemu ya wachezaji wa Timu ya Boko Beach Veterans (BBV) wakimpongeza mchezaji...

 

11 years ago

Michuzi

ARSENE WENGER PWA!

Arsene Wenger jana alipatwa na majanga mawili ya mwaka baada ya kula mweleka muda mfupi baada ya timu yake ya Arsenal kupigwa 5-1 na Liverpool.  Meneja huyo wa washika bunduki wa Uingereza alikuwa anawahi treni kurudi London katika mtaa wa Lime jijini Liverpool akiwa na wachezaji wake alipoteleza na kuanguka pwa!  Meneja huyo mwenye umri wa miaka 64 anaokenana pichani akiwa anaburuta begi lake wakati akiingia stesheni, lakini mara tu baada ya kuvuka mlango wa kuingilia, anateleza na kula...

 

11 years ago

BBCSwahili

Maombi ya Arsene Wenger yajibiwa

Maombi ya Kocha Arsene Wenger kuwa Everton ishindwe yalitimia jana Crystal Palace ilipoilaza 3-2 .

 

9 years ago

Mwananchi

Ndoa ya Arsene Wenger yavunjika

Ndoa ya kocha wa Arsenal, Arsene Wenger na mke wake, Annie iliyodumu kwa miaka mitano imevunjika baada ya miezi kadhaa ya uvumi.

 

9 years ago

Global Publishers

Tshabalala anyakua Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwezi Simba SC

DSCF1094-768x403 Katika kuongeza morali na kuwazawadia wachezaji wanaofanya vizuri, Klabu ya Simba ilianzisha Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwezi kuanzia mwezi wa Septemba 2015. Mshindi wa mwezi wa Oktoba, 2015 ni Mohamed Hussein Tshabalala ambapo amepata kura nyingi zaidi zilizopigwa na mashabiki na wapenzi wa Simba na soka wa Tanzania kwa ujumla kupitia simu za mkononi ambao pia wamejiunga na huduma ya Simba News. Akikabidhiwa tunzo pamoja na pesa taslim Tsh 500,000/= na Mwanachama na Shabiki wa Simba Mbunge...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani