KOCHA ARSENE WENGER MAJANGA!
![](http://api.ning.com:80/files/PHKC1AOWfhwucLSprPkXYrpOke5sYTNtYuuQxvaLIPYz1UMfwVShWqDTHr3Yw8Wif8dActYC-5RG48D7l9JNEnesJ6U4rkRP/1.jpg)
Kocha wa Arsenal, Arsene Wenger akiingia katika Stesheni ya Liverpool Lime Street. ...Mzee baada ya kula mweleka katika stesheni hiyo.…
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo511 Nov
Arsene Wenger apata tuzo ya kocha bora wa mwezi Oktoba
![wenger](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/wenger-300x194.jpg)
Kocha Arsene Wenger amechukua tuzo ya kocha bora wa mwezi katika ligi kuu ya Uingereza baada ya kuiongoza Arsenal kufanya vizuri mechi nne mfululizo.
Arsenal ilifunga magoli 11 katika mechi nne, huku ikizinyuka 3-0 United na Swansea.
Kwa upande wa wachezaji, tuzo hiyo imeenda kwa mshambuliaji wa Leicester City, Jamie Vardy kwa mara ya kwanza ndani ya miaka 15 katika klabu hiyo.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote...
9 years ago
Dewji Blog08 Nov
Kocha Arsene Wenger akasirika baada ya kugundua Harry Kane aliruhusiwa kutoka katika Academy ya Arsenal
Kocha wa Arsenal, Arsene Wenger.
Mshambuliaji wa Tottenham Hotspur, Harry Kane.
Na Rabi Hume
Kocha wa Arsenal, Mfaransa Arsene Wenger amesema alikasirika kidogo baada ya kugundua mshambuliaji wa Tottenham Hotspur, Harry Kane aliruhusiwa kutoka katika kituo cha kukuzia vipaji (academy) ya Arsenal na kuhamia academy ya wapinzani wao wakubwa klabu ya Tottenham.
Wenger amezungumzia habari hiyo wakati akizungumza na waandishi wa habari kuelekea mchezo wa ligi kuu ya Wingereza kesho jumapili...
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-9wlT06w3oUg/UvcVLXpwtPI/AAAAAAAFL3g/VbjGNa9Koj0/s72-c/Main-Arsene-3126839.jpg)
ARSENE WENGER PWA!
![](http://1.bp.blogspot.com/-9wlT06w3oUg/UvcVLXpwtPI/AAAAAAAFL3g/VbjGNa9Koj0/s1600/Main-Arsene-3126839.jpg)
9 years ago
Mwananchi24 Sep
Ndoa ya Arsene Wenger yavunjika
11 years ago
BBCSwahili17 Apr
Maombi ya Arsene Wenger yajibiwa
9 years ago
Bongo528 Sep
Arsene Wenger na mke wake waachana
11 years ago
BBCSwahili30 May
Arsene Wenger aongezwa muda Arsenal
9 years ago
Mtanzania02 Oct
Arsene Wenger atakiwa kuondoka Arsenal
LONDON, ENGLAND
BAADA ya Arsenal kupokea kichapo kwenye Uwanja wa nyumbani wa Emirates, katika michuano ya Ligi ya Mabingwa dhidi ya Olympiakos, mashabiki wa klabu hiyo wamemtaka kocha wao, Arsene Wenger kuachia ngazi.
Katika mchezo huo ambao ulipigwa mwanzoni mwa wiki hii, Arsenal ilikubali kichapo cha mabao 3-2 na kuifanya klabu hiyo kushika nafasi ya mwisho katika kundi F ikiwa haina hata pointi na wakitarajia kukutana na Bayern Munich katika mchezo wao wa tatu.
Mashabiki wa Arsenal...
9 years ago
Mtanzania29 Sep
Arsene Wenger amjibu Jose Mourinho
LONDON, ENGLAND
BAADA ya Kocha wa Chelsea, Jose Mourinho kumshambulia Arsene Wenger kwamba ni kocha ambaye yupo katika wakati mgumu wa kufukuzwa na klabu yake, naye Wenger amemjibu kocha huyo kwa kusema anajivunia kuwa na jina kubwa katika chama cha soka nchini England.
Hata hivyo, Mourinho alimshambulia kocha huyo kwa kudai kuwa anapenda kuwalalamikia waamuzi wakati anapopoteza mchezo.
Wenger alionekana kumtupia lawama mwamuzi Mike Dean ambaye alichezesha mchezo wa wapinzani hao wiki moja...