ARSENE WENGER PWA!
![](http://1.bp.blogspot.com/-9wlT06w3oUg/UvcVLXpwtPI/AAAAAAAFL3g/VbjGNa9Koj0/s72-c/Main-Arsene-3126839.jpg)
Arsene Wenger jana alipatwa na majanga mawili ya mwaka baada ya kula mweleka muda mfupi baada ya timu yake ya Arsenal kupigwa 5-1 na Liverpool.
Meneja huyo wa washika bunduki wa Uingereza alikuwa anawahi treni kurudi London katika mtaa wa Lime jijini Liverpool akiwa na wachezaji wake alipoteleza na kuanguka pwa!
Meneja huyo mwenye umri wa miaka 64 anaokenana pichani akiwa anaburuta begi lake wakati akiingia stesheni, lakini mara tu baada ya kuvuka mlango wa kuingilia, anateleza na kula...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili17 Apr
Maombi ya Arsene Wenger yajibiwa
9 years ago
Mwananchi24 Sep
Ndoa ya Arsene Wenger yavunjika
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/PHKC1AOWfhwucLSprPkXYrpOke5sYTNtYuuQxvaLIPYz1UMfwVShWqDTHr3Yw8Wif8dActYC-5RG48D7l9JNEnesJ6U4rkRP/1.jpg)
KOCHA ARSENE WENGER MAJANGA!
9 years ago
Bongo528 Sep
Arsene Wenger na mke wake waachana
9 years ago
Mtanzania29 Sep
Arsene Wenger amjibu Jose Mourinho
LONDON, ENGLAND
BAADA ya Kocha wa Chelsea, Jose Mourinho kumshambulia Arsene Wenger kwamba ni kocha ambaye yupo katika wakati mgumu wa kufukuzwa na klabu yake, naye Wenger amemjibu kocha huyo kwa kusema anajivunia kuwa na jina kubwa katika chama cha soka nchini England.
Hata hivyo, Mourinho alimshambulia kocha huyo kwa kudai kuwa anapenda kuwalalamikia waamuzi wakati anapopoteza mchezo.
Wenger alionekana kumtupia lawama mwamuzi Mike Dean ambaye alichezesha mchezo wa wapinzani hao wiki moja...
9 years ago
Mtanzania02 Oct
Arsene Wenger atakiwa kuondoka Arsenal
LONDON, ENGLAND
BAADA ya Arsenal kupokea kichapo kwenye Uwanja wa nyumbani wa Emirates, katika michuano ya Ligi ya Mabingwa dhidi ya Olympiakos, mashabiki wa klabu hiyo wamemtaka kocha wao, Arsene Wenger kuachia ngazi.
Katika mchezo huo ambao ulipigwa mwanzoni mwa wiki hii, Arsenal ilikubali kichapo cha mabao 3-2 na kuifanya klabu hiyo kushika nafasi ya mwisho katika kundi F ikiwa haina hata pointi na wakitarajia kukutana na Bayern Munich katika mchezo wao wa tatu.
Mashabiki wa Arsenal...
11 years ago
BBCSwahili30 May
Arsene Wenger aongezwa muda Arsenal
10 years ago
BBCSwahili23 Jan
Vibali vya kazi vifutwe: Arsene Wenger
9 years ago
StarTV21 Sep
Arsene Wenger ashangazwa na mwamuzi Mike Dean.
Kocha Arsene Wenger wa Arsenal amekitaka chama cha soka cha England FA kuangalia kwa kina ni vipi mshambuliaji wa Diego Costa wa Chelsea kuepuka kutolewa nje kwa kadi nyekundu kwenye uwanja wa Stamford Bridge kufuatia utovu wa nidhamu dhidi ya wachezaji Gabriel Paulista na Laurent Konciely.
Kocha Wenger ameshangazwa na jinsi ya mchezaji huyo kuhusika na matukio mengi ya kibabe dhidi ya wachezaji wa timu pinzani na kuharibu mchezo dimbani na bado FA inafumbia macho sambamba na mwamuzi Mike...