Arsene Wenger na mke wake waachana
Kocha wa Arsenal, Arsene Wenger ameachana na mke wake baada ya kuwepo tetesi za miezi kadhaa kuhusu shida kwenye ndoa yao. Wenger na mke wake huyo, Annie, 59, wamedaiwa kukubaliana kuhusu kugawana mali walizochuma pamoja. Wawili hao wenye mtoto mwenye miaka 18 hawajawahi kuonekana kwenye picha pamoja tangu mwaka 2013. Kocha huyo aliwahi kudai kuwa […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
MillardAyo01 Jan
Huyu ndio staa ambaye Arsene Wenger anatajwa kukamilisha usajili wake wa kujiunga na Arsenal …
Baada ya dirisha dogo la usajili kwa Ligi Kuu soka Tanzania bara kufungwa December 15, barani Ulaya ndio stori za usajili zinazidi kuchukua nafasi. December 31 stori kutoka mtandao wa 101greatgoals.com unaripoti klabu ya Arsenal ya Uingereza imekamilisha mipango ya usajili ya Mohamed Elneny. Dirisha dogo la usajili kwa nchi za Ulaya linafunguliwa January 1 klabu […]
The post Huyu ndio staa ambaye Arsene Wenger anatajwa kukamilisha usajili wake wa kujiunga na Arsenal … appeared first on...
11 years ago
MichuziARSENE WENGER PWA!
11 years ago
BBCSwahili17 Apr
Maombi ya Arsene Wenger yajibiwa
11 years ago
GPLKOCHA ARSENE WENGER MAJANGA!
9 years ago
Mwananchi24 Sep
Ndoa ya Arsene Wenger yavunjika
9 years ago
Mtanzania29 Sep
Arsene Wenger amjibu Jose Mourinho
LONDON, ENGLAND
BAADA ya Kocha wa Chelsea, Jose Mourinho kumshambulia Arsene Wenger kwamba ni kocha ambaye yupo katika wakati mgumu wa kufukuzwa na klabu yake, naye Wenger amemjibu kocha huyo kwa kusema anajivunia kuwa na jina kubwa katika chama cha soka nchini England.
Hata hivyo, Mourinho alimshambulia kocha huyo kwa kudai kuwa anapenda kuwalalamikia waamuzi wakati anapopoteza mchezo.
Wenger alionekana kumtupia lawama mwamuzi Mike Dean ambaye alichezesha mchezo wa wapinzani hao wiki moja...
11 years ago
BBCSwahili30 May
Arsene Wenger aongezwa muda Arsenal
9 years ago
Mtanzania02 Oct
Arsene Wenger atakiwa kuondoka Arsenal
LONDON, ENGLAND
BAADA ya Arsenal kupokea kichapo kwenye Uwanja wa nyumbani wa Emirates, katika michuano ya Ligi ya Mabingwa dhidi ya Olympiakos, mashabiki wa klabu hiyo wamemtaka kocha wao, Arsene Wenger kuachia ngazi.
Katika mchezo huo ambao ulipigwa mwanzoni mwa wiki hii, Arsenal ilikubali kichapo cha mabao 3-2 na kuifanya klabu hiyo kushika nafasi ya mwisho katika kundi F ikiwa haina hata pointi na wakitarajia kukutana na Bayern Munich katika mchezo wao wa tatu.
Mashabiki wa Arsenal...
9 years ago
StarTV21 Sep
Arsene Wenger ashangazwa na mwamuzi Mike Dean.
Kocha Arsene Wenger wa Arsenal amekitaka chama cha soka cha England FA kuangalia kwa kina ni vipi mshambuliaji wa Diego Costa wa Chelsea kuepuka kutolewa nje kwa kadi nyekundu kwenye uwanja wa Stamford Bridge kufuatia utovu wa nidhamu dhidi ya wachezaji Gabriel Paulista na Laurent Konciely.
Kocha Wenger ameshangazwa na jinsi ya mchezaji huyo kuhusika na matukio mengi ya kibabe dhidi ya wachezaji wa timu pinzani na kuharibu mchezo dimbani na bado FA inafumbia macho sambamba na mwamuzi Mike...