Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kocha wa Prisons Apata nafuu na kuruhusiwa utoka Hospitali.

Aliekua kocha Mkuu wa Tanzania Prisons David Mwamaja ameruhusiwa kutoka Hospital ya Taifa ya Muhimbili alikolazwa kwa siku kumi kutokana na kusumbuliwa na ugongwa wa kichwa baada damu kuvilia katika ubongo.

Mwamaja alianza kuugua ugonjwa huo wiki mbili zilizopita baada ya kuanguka akiwa katika majukumu ya kuinoa timu ya Mji Njombe inayoshiriki ligi daraja la kwanza.

Akizungumza kwa taabu kocha Mwamaja anaeleza kuwa alianguka katika korongo na kupoteza fahamu na baada ya kuzinduka akaanza...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Michael Olaitan apata nafuu

Hali ya afya ya mshambuliaji wa Olympiakos Michael Olaitan aliyezirai uwanjani inasemekana kuwa nzuri

 

9 years ago

BBCSwahili

Muuguzi apata nafuu maambukizo ya Ebola

Muuguzi kutoka Scotland aliyeugua virusi vya Ebola amepata nafuu.

 

11 years ago

Mwananchi

Kocha Tanzania Prisons ajitetea

Kocha Mkuu wa Tanzania Prisons, David Mwamwaja amekiri vijana wake hawakucheza kwa kiwango chao katika mchezo wao dhidi ya Mgambo Shooting uliomalizika kwa sare 1-1 kwenye Uwanja wa Sokoine, Mbeya.

 

10 years ago

Vijimambo

VIDEO YA SIKU RAIS JAKAYA KIKWETE ALIPOTOKA HOSPITALI BAADA YA KUPATA NAFUU


Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisindikizwa na Daktari Bingwa EdwardSchaeffer kutoka Hospitali ya Johns Hopkins iliyoko Baltimore,Maryland, Marekani alipokuwa amelazwa baada ya kufanyiwa upasuaji watezi dume mwishoni mwa wiki iliyopita.Pamoja naye ni Mama Salma Kikwete na wasaidizi wake.

 

10 years ago

Dewji Blog

VIDEO: Rais Kikwete akitoka hospitali ya Johns Hopkins baada ya kuapata nafuu

D92A3585

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisindikizwa na Daktari Bingwa Edward Schaeffer kutoka Hospitali ya Johns Hopkins iliyoko Baltimore, Maryland, Marekani alipokuwa amelazwa baada ya kufanyiwa upasuaji  wa tezi dume mwishoni mwa wiki iliyopita. Pamoja naye ni Mama Salma Kikwete na wasaidizi wake.

 

10 years ago

BBCSwahili

Tomas Berdych,apata kocha mpya

Mcheza soka namba saba duniani Tomas Berdych amwajirii kocha wa zamani wa Andy Murra

 

10 years ago

Mwananchi

Kocha Liewig apata kibarua Azam

Kocha wa zamani wa Simba, Patrick Liewig amepewa kazi ya kukinoa kikosi cha vijana cha Azam akichukua nafasi ya kocha Vivek Nagul aliyebwaga manyanga wiki iliyopita.

 

9 years ago

Bongo5

Arsene Wenger apata tuzo ya kocha bora wa mwezi Oktoba

wenger

Kocha Arsene Wenger amechukua tuzo ya kocha bora wa mwezi katika ligi kuu ya Uingereza baada ya kuiongoza Arsenal kufanya vizuri mechi nne mfululizo.

wenger

Arsenal ilifunga magoli 11 katika mechi nne, huku ikizinyuka 3-0 United na Swansea.

vardy

Kwa upande wa wachezaji, tuzo hiyo imeenda kwa mshambuliaji wa Leicester City, Jamie Vardy kwa mara ya kwanza ndani ya miaka 15 katika klabu hiyo.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote...

 

9 years ago

BBCSwahili

Wahamiaji kuruhusiwa kuvuka Croatia

Waziri mkuu wa Croatia amesema nchi yake haiwezi kuwazuia wahamiaji wanaotaka kuelekea upande wa magharibi mwa Ulaya

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani