Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Majeruhi yamliza Loga, apata hofu

Kocha Mkuu wa Simba, Zdravko Logarusic. Na Khadija Mngwai
KOCHA Mkuu wa Simba, Zdravko Logarusic, amefunguka kuwa, anahofia kikosi chake kupata majeruhi katika kipindi hiki cha lala salama kwani watamharibia mipango yake. Simba ipo nafasi ya nne ya msimamo wa ligi kuu kufuatia kuwa na pointi 30, nyuma ya Mbeya City yenye pointi 31, ambapo inahitaji kujipanga ili iweze kufanikiwa kusonga mbele. Akizungumza na Championi...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Tambwe apata hofu Ligi Kuu

Mshambuliaji wa Simba, Amisi Tambwe amesema itamwia vigumu kuibuka kinara wa upachikaji mabao kama waamuzi wataendelea kuchezesha vibaya kwenye Ligi Kuu Bara.

 

10 years ago

Habarileo

RC apata hofu Dodoma kuwa Jiji

MKUU wa Mkoa wa Dodoma, Chiku Galawa amesema ni ndoto kwa sasa Manispaa ya Dodoma kuwa Jiji, kutokana na kuwa na kiwango kidogo cha ukusanyaji mapato licha ya kuwa na uwekezaji mkubwa wa serikali.

 

10 years ago

GPL

KUMBUKUMBU YA JESHINI YAMLIZA JB

Jacob Steven Mbura ‘JB’. JACOB Steven Mbura ‘JB’ anaendelea kusimulia historia ya maisha yake tangu utotoni hadi sasa. Ni simulizi ndefu na tamu isiyochosha kwa vimbwanga na kila aina ya mikasa ya kusisimua na kustaajabisha. Uhondo huu una takriban wiki tatu sasa, na amefikia kwenye kipengele cha maisha yake jeshini ambapo alieleza sulubu ya mikikimikiki ya jeshini huku akikiri kwamba jeshi...

 

10 years ago

Mtanzania

‘Sijazoea’ yamliza mke wa AT

ATNA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM

MWIMBAJI wa muziki wa mduara, Ally Ramadhani ‘AT’, amesema ameshangazwa kwa mara ya kwanza kumuona mkewe akitoa macho baada ya kusikia wimbo wake mpya wa ‘Sijazoea’.

Akizungumza na MTANZANIA jana, AT alisema, mkewe amekuwa hana kawaida ya kusikiliza nyimbo zake, lakini ameshangazwa kumuona akiusikiliza wimbo huo na kulia.

“Kitendo hicho kimenifurahisha sana na nimejiona nimefanya kazi nzuri, mke wangu yupo tofauti, hapendi na wala hatakagi kusikiliza kazi...

 

10 years ago

GPL

Penalti ya Ajibu yamliza Okwi

Mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi. Nassor Gallu,
Dar es Salaam
KIUNGO mshambuliaji wa Simba, Mganda, Emmanuel Okwi, ameweka wazi kuwa alitaka kupiga penalti ambayo Ibrahim Ajibu alipiga na kukosa juzi katika mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Ndanda kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar. Katika mchezo huo ulioisha kwa Simba kushinda mabao 3-0, Simba walipoteza penalti katika dakika ya 12 baada ya Ajibu kuupaisha mpira juu ya...

 

10 years ago

Habarileo

Mazishi ya Komba yamliza Kikwete

Askofu wa Kanisa Katoliki jimbo la Mbinga, Mhashamu John Ndimbo akiongoza ibada ya mazishi ya aliyekuwa Mbunge wa Mbinga Magharibi, Kapteni John Komba yaliyofanyika kijijini kwake Lituhi wilayani Nyasa mkoani Ruvuma jana. (Picha na Freddy Maro).Rais Jakaya Kikwete jana alishindwa kujizuia kutoa machozi, wakati mwili wa mbunge Mbinga Magharibi wilaya ya Nyasa mkoa wa Ruvuma, Kapteni John Komba wakati ukishushwa kaburini kwenye mazishi yaliyofanyika kijijini kwake Lituhi, jana.

 

11 years ago

BBCSwahili

Sare ya 3-3 yamliza Luis Suarez

Matokeo ya mechi kati ya Liverpool na Crystal.P yamliza Luis Suarez akiona kombe likiwakwepa

 

9 years ago

GPL

PETE YA UCHUMBA YAMLIZA WOLPER

Staa wa filamu Bongo, Jacqueline Walper ‘Wolper’ na mchumba wake. Stori: Mwandishi wetu STAA wa filamu Bongo, Jacqueline Walper ‘Wolper’ amejikuta akitoa machozi ya furaha baada ya kuvalishwa pete ya uchumba na kijana anayedaiwa kuwa ni raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC). ....Wakifurahia kwa pamoja. Wolper ameitundika picha yake katika mtandao wa kijamii wa Instagram, akiwa na kijana huyo...

 

11 years ago

GPL

NJAA YAMLIZA BABY MADAHA

Na Rhoda Josiah STAA wa muziki na filamu Bongo, Baby Joseph Madaha ‘Baby Madaha’ amesema kuwa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani umembana kiuchumi kwani kumbi nyingi za starehe zimefungwa kwa hiyo anashindwa kupata pesa. Staa wa muziki na filamu Bongo, Baby Joseph Madaha ‘Baby Madaha’ Akipiga stori mbili tatu baada ya kuvutiwa waya na mwandishi wa gazeti hili, Baby Madaha alisema kwa upande wake michongo yake...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani