STAR TV YAINGIA MKATABA NA TFF KUONYESHA Ligi Daraja la Kwanza (FDL)
![](http://2.bp.blogspot.com/-9oZpiBjj2cc/VhaO2E7PHSI/AAAAAAAH98Q/Zo7jf1o72hI/s72-c/starsports.png)
Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF) leo limeingia mkataba wa miaka mitatu wenye thamani ya shilingi milioni mia nne hamsini (450,000,000), na kituo cha luninga cha Star Tv kurusha matangazo ya Ligi Daraja la Kwanza nchini (FDL)Akiongea na waandishi wa habari wakati wa kusaini mkataba huo, Rais wa TFF Jamal Malinzi aliishukuru kampuni ya Sahara Media Group kwa kuamua kuwekeza katika mpira wa miguu nchini kwa kuamua kuonyesha ligi daraja la kwanza.Malinzi ameviomba vilabu vya FDL kutumia...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
StarTV19 Aug
IJUE ORODHA YA WAAMUZI WATAKAOCHEZESHA LIGI KUU BARA, LIGI DARAJA LA KWANZA ..
WAAMUZI WA LIGI KUU YA VODACOM
Kamati ya Waamuzi nchini imetangaza orodha ya waamuzi wanaotakiwa kushiriki Semina na mtihani wa waamuzi itakayoanza tarehe 21- 25 Agosti, 2015 jijini Dar es salam, Waamuzi hao na sehemu wanaozotekea katika mabano ni Alex Mahagi (Mwanza), Hashim Abdallah (Dsm), Athony Kayombo (Rukwa), Amon Paul (Mara), Ahamada Simba (Kagera), Athuman Lazi (Morogoro), Abdallah Kambuzi (Shinyanga), Martin Saanya (Morogoro), Israel Nkongo (Dsm), Zakaria Jacob (Pwani), Michael...
10 years ago
BBCSwahili02 Feb
Ligi daraja la 1 kupata udhamini:TFF
10 years ago
Mwananchi08 Dec
‘First 11 ya Simba’ Ligi Daraja la Kwanza
9 years ago
Habarileo01 Jan
Ligi Daraja la Kwanza kuendelea kesho
VINARA wa kundi A kwenye ligi daraja la kwanza, Ashanti United watashuka uwanjani kesho kuikabili Polisi Dodoma kwenye Uwanja wa Karume, Dar es Salaam.
9 years ago
Habarileo02 Jan
Ligi daraja la kwanza yazidi kunoga
LIGI daraja la kwanza inatarajiwa kuendelea tena leo kwa michezo tisa katika viwanja tofauti. Ashanti United itamenyana na Polisi Dodoma kwenye uwanja wa Karume Dar es Salaam, mechi inayotarajiwa kuwa ya vuta nikuvute kutokana na timu hizo kuachana kwa mbali kwenye msimamo kwenye kundi A.
10 years ago
Mwananchi24 Nov
Vurugu Ligi Daraja la Kwanza zikomeshwe
10 years ago
Mwananchi28 Dec
Mapato Ligi Daraja la Kwanza yazua utata
9 years ago
Habarileo16 Oct
Ligi Daraja la Kwanza kunguruma wikiendi hii
LIGI Daraja la Kwanza chini (FDL) inatarajiwa kuendelea wikiendi hii kwa michezo 12 kuchezwa katika viwanja mbalimbali kutoka katika makundi yote matatu ya A, B, na C.
10 years ago
Vijimambo31 Jan