Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ligi daraja la 1 kupata udhamini:TFF

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) liko mbioni kupata mdhamini wa Ligi Daraja la Kwanza (FDL).

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Vodacom na TFF zasaini mkataba wa udhamini wa ligi kuu kwa miaka mitatu

 Rais wa shirikisho la mpira wa  miguu Tanzania(TFF) Jamali Malinzi(kushoto)na Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa kampuni hiyo Kelvin Twissa(kulia)wakielekezwa na Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania,Matina Nkurlu jinsi ya kusaini mkataba wa makubaliano ya udhamini wa ligi Kuu ya  Vodacom Tanzania  bara kwa msimu wa 2015/16.

 Rais wa shirikisho la mpira wa  miguu Tanzania(TFF) Jamali Malinzi(kushoto)pamoja na Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa kampuni hiyo Kelvin Twissa(katikati)wakisaini mkataba...

 

9 years ago

Michuzi

STAR TV YAINGIA MKATABA NA TFF KUONYESHA Ligi Daraja la Kwanza (FDL)

Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF) leo limeingia mkataba wa miaka mitatu wenye thamani ya shilingi milioni mia nne hamsini (450,000,000), na kituo cha luninga cha Star Tv kurusha matangazo ya Ligi Daraja la Kwanza nchini (FDL)Akiongea na waandishi wa habari wakati wa kusaini mkataba huo, Rais wa TFF Jamal Malinzi aliishukuru kampuni ya Sahara Media Group kwa kuamua kuwekeza katika mpira wa miguu nchini kwa kuamua kuonyesha ligi daraja la kwanza.Malinzi ameviomba vilabu vya FDL kutumia...

 

9 years ago

StarTV

IJUE ORODHA YA WAAMUZI WATAKAOCHEZESHA LIGI KUU BARA, LIGI DARAJA LA KWANZA ..

WAAMUZI WA LIGI KUU YA VODACOM
Kamati ya Waamuzi nchini imetangaza orodha ya waamuzi wanaotakiwa kushiriki Semina na mtihani wa waamuzi itakayoanza tarehe 21- 25 Agosti, 2015 jijini Dar es salam, Waamuzi hao na sehemu wanaozotekea katika mabano ni Alex Mahagi (Mwanza), Hashim Abdallah (Dsm), Athony Kayombo (Rukwa), Amon Paul (Mara), Ahamada Simba (Kagera), Athuman Lazi (Morogoro), Abdallah Kambuzi (Shinyanga), Martin Saanya (Morogoro), Israel Nkongo (Dsm), Zakaria Jacob (Pwani), Michael...

 

10 years ago

Mtanzania

Udhamini Ligi Kuu wapanda

Pg 32NA JUDITH PETER, DAR ES SALAAM

KAMPUNI ya Simu za Mkononi ya Vodacom, imeongeza udhamini wake wa Ligi Kuu Tanzania Bara kwa asilimia 40, kutoka shilingi bilioni 1.6 iliyopita hadi shilingi bilioni 2.3 kwa mwaka.

Vodacom ambao ni wadhamini wakuu wa ligi hiyo, jana imesaini mkataba mpya wa miaka mitatu na Shirikisho la Mpira wa Miguu Nchini (TFF) kuendelea kuusaidia mpira, mkataba wenye thamani ya shilingi bilioni 6.6.

Akizungumza jana katika hafla hiyo ya kusaini mkataba iliyofanyika Makao...

 

11 years ago

Mwananchi

MAONI: Udhamini, uwanja vimeharibu Ligi ya Kikapu

>Ligi ya Taifa ya Mpira wa Kikapu (NBL) ilimalizika jana kwenye Uwanja wa Ndani wa Taifa jijini Dar es Salaam.

 

9 years ago

Mwananchi

Yanga wasusa Sh300 mil za udhamini wa Azam wa Ligi Kuu Bara

Uongozi wa Yanga umetakiwa kuandika barua iwapo hawazihitaji fedha za udhamini wa Azam ambazo hadi sasa zimefika Sh300 milioni ili zielekezwe kwenye masuala mengine.

 

10 years ago

Mwananchi

Tunaipongeza TFF kwa kurudisha daraja la pili

Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) imekubali mapendekezo ya Kamati ya Mashindano ya kurejesha Ligi Daraja la Pili (SDL) nchini.

 

10 years ago

Mwananchi

‘First 11 ya Simba’ Ligi Daraja la Kwanza

Ligi Kuu Bara na Ligi Daraja la Kwanza zimesimama ili kupisha mashindano ya Chalenji, mashindano ya Uhai na dirisha dogo la usajili ambalo litafungwa Desemba 15.

 

9 years ago

Habarileo

Ligi daraja la kwanza yazidi kunoga

LIGI daraja la kwanza inatarajiwa kuendelea tena leo kwa michezo tisa katika viwanja tofauti. Ashanti United itamenyana na Polisi Dodoma kwenye uwanja wa Karume Dar es Salaam, mechi inayotarajiwa kuwa ya vuta nikuvute kutokana na timu hizo kuachana kwa mbali kwenye msimamo kwenye kundi A.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani