Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tunaipongeza TFF kwa kurudisha daraja la pili

Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) imekubali mapendekezo ya Kamati ya Mashindano ya kurejesha Ligi Daraja la Pili (SDL) nchini.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MWIJAGE AIUNGA MKONO TIMU YA RAS KAGERA FOOTBALL CLUB KWA KUICHANGIA MILIONI MOJA ILI ISHIRIKI LIGI DARAJA LA PILI NGAZI YA KANDA


Na Faustine Ruta,Bukoba
Katika kutengeneza ajira kwa vijana na kuuendeleza mkoa wa Kagera kwa kushirikiana na wadau wa maendeleo kutoka sehemu mbalimbali na ndani ya mkoa, Katibu Tawala wa Mkoa Bw. Nassor Mnabila aliamua kuanzisha timu ya mpira ya mkoa wa Kagera. 
Madhumuni ya kuanzisha timu hiyo ni kuuleta mkoa wa Kagera pamoja, kutoa ajira kwa vijana wenye vipaji vya michezo aidha kuutangaza mkoa nje na ndani ya nchi kuhusu fursa za uwekezaji zinazopatikana ndani ya mkoa wetu wa Kagera. 

 

10 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI CHARLES MWIJAGE AIUNGA MKONO TIMU YA RAS KAGERA FOOTBALL CLUB KWA KUICHANGIA MILIONI MOJA ILI ISHIRIKI LIGI DARAJA LA PILI NGAZI YA KANDA


Na Faustine Ruta,BukobaKatika kutengeneza ajira kwa vijana na kuuendeleza mkoa wa Kagera kwa kushirikiana na wadau wa maendeleo kutoka sehemu mbalimbali na ndani ya mkoa Katibu Tawala wa Mkoa Bw. Nassor Mnabila aliamua kuanzisha timu ya mpira ya mkoa wa Kagera. Madhumuni ya kuanzisha timu hiyo ni kuuleta mkoa wa Kagera pamoja, kutoa ajira kwa vijana wenye vipaji vya michezo aidha kuutangaza mkoa nje na ndani ya nchi kuhusu fursa za uwekezaji zinazopatikana ndani ya mkoa wetu wa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Man U sare na timu ya daraja la pili

Mkufunzi wa Manchester United Louis Van Gaal amesema kuwa kila kitu kilikwenda kinyume na matarajio ya timu hiyo

 

10 years ago

BBCSwahili

Ligi daraja la 1 kupata udhamini:TFF

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) liko mbioni kupata mdhamini wa Ligi Daraja la Kwanza (FDL).

 

9 years ago

Mtanzania

Mvuvuma kuivaa Abajalo Daraja la Pili leo

NA MWANDISHI WETU

KIVUMBI cha Ligi Daraja la Pili kinaendelea leo katika viwanja tofauti huku timu ya Mvuvuma FC ikiikaribisha Abajalo FC ya Tabora katika Uwanja wa Lake Tanganyika mkoani Kigoma.

Jumla ya timu 24 zitakuwa katika viwanja 12 tofauti kusaka nafasi nne za kupanda Ligi Daraja la Kwanza msimu ujao.

Ofisa Habari wa Shirikisho la Soka nchini (TFF), Baraka Kizuguto, alisema kuwa katika mchezo mwingine Transit Camp watacheza dhidi ya Mirambo FC katika Uwanja wa Kambarage, Shinyanga...

 

9 years ago

Africanjam.Com

NEW MUSIC: NIKKI WA PILI - DARAJA MBILI (Download)




Africanjam is website that came into service December 2013(with another domain) and on April 2014 the new domain Africanjam(dot)com came into use. It was found by John Kapela who is currently in Dar es Salaam Tanzania. This site provides news from Africa and all over the world in Politics, Sports, Entertainment as well as Technology tips and some Amazing Facts. We also provide Football updates from all over the world. Visit this site everyday for being in touch with everything happening in...

 

10 years ago

Mwananchi

Mbao FC yakamata usukani Ligi Daraja la Pili

Timu ya Mbao FC ya Mwanza imejikita kileleni msimamo wa Kundi B la Ligi Daraja la Pili (SDL) baada ya kuichapa JKT Rwamkoma ya Mara mabao 2-1 kwenye Uwanja wa CCM Kirumba juzi.

 

9 years ago

Habarileo

Madini yazidi kutesa ligi daraja la pili Arusha

TIMU ya soka ya Madini ya Arusha juzi iliendelea kuutumia vema uwanja wake wa nyumbani wa Mwalimu Nyerere uliopo wilayani Mbulu mkoani Manyara baada ya kuifunga Pamba ya Mwanza magoli 2-0 katika mchezo mkali wa ligi daraja la pili ngazi ya taifa.

 

10 years ago

Mwananchi

Wawili wafutiwa usajili wao Ligi Daraja la Pili

Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) imepitisha usajili wa Ligi Daraja la Pili (SDL) huku ikikata majina mawili ya wachezaji katika klabu za Abajalo ya Dar es Salaam na Magereza ya Iringa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani