Mvuvuma kuivaa Abajalo Daraja la Pili leo
NA MWANDISHI WETU
KIVUMBI cha Ligi Daraja la Pili kinaendelea leo katika viwanja tofauti huku timu ya Mvuvuma FC ikiikaribisha Abajalo FC ya Tabora katika Uwanja wa Lake Tanganyika mkoani Kigoma.
Jumla ya timu 24 zitakuwa katika viwanja 12 tofauti kusaka nafasi nne za kupanda Ligi Daraja la Kwanza msimu ujao.
Ofisa Habari wa Shirikisho la Soka nchini (TFF), Baraka Kizuguto, alisema kuwa katika mchezo mwingine Transit Camp watacheza dhidi ya Mirambo FC katika Uwanja wa Kambarage, Shinyanga...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili24 Jan
Man U sare na timu ya daraja la pili
10 years ago
Mwananchi29 Dec
Mbao FC yakamata usukani Ligi Daraja la Pili
9 years ago
Africanjam.Com![](http://4.bp.blogspot.com/-JQupduqY3tk/Vh5rK6xaqWI/AAAAAAAADtk/U8iuR6pd8NM/s72-c/artist_483172c8f7a2aa8c3c776baf641d5d2a16bc.jpg)
NEW MUSIC: NIKKI WA PILI - DARAJA MBILI (Download)
![](http://4.bp.blogspot.com/-JQupduqY3tk/Vh5rK6xaqWI/AAAAAAAADtk/U8iuR6pd8NM/s640/artist_483172c8f7a2aa8c3c776baf641d5d2a16bc.jpg)
Africanjam is website that came into service December 2013(with another domain) and on April 2014 the new domain Africanjam(dot)com came into use. It was found by John Kapela who is currently in Dar es Salaam Tanzania. This site provides news from Africa and all over the world in Politics, Sports, Entertainment as well as Technology tips and some Amazing Facts. We also provide Football updates from all over the world. Visit this site everyday for being in touch with everything happening in...
10 years ago
Mwananchi08 Sep
Tunaipongeza TFF kwa kurudisha daraja la pili
10 years ago
Mwananchi13 Nov
Wawili wafutiwa usajili wao Ligi Daraja la Pili
9 years ago
Habarileo14 Dec
Madini yazidi kutesa ligi daraja la pili Arusha
TIMU ya soka ya Madini ya Arusha juzi iliendelea kuutumia vema uwanja wake wa nyumbani wa Mwalimu Nyerere uliopo wilayani Mbulu mkoani Manyara baada ya kuifunga Pamba ya Mwanza magoli 2-0 katika mchezo mkali wa ligi daraja la pili ngazi ya taifa.
9 years ago
StarTV15 Nov
Ligi daraja la pili Wachezaji watakiwa kuzingatia nidhamu, shria na kanuni.
Wakati kipenga cha michuano ya ligi soka daraja la pili kikipangwa kuanza Jumapili hii katika viwanja mbalimbali nchini wachezaji wametakiwa kuzingatia nidhamu, sheria kanuni na taratibu zinazoongoza mpira wa miguu
Michuano hiyo inazishirikisha timu 24 na timu ya Alliance Sports Academy imepangwa kundi B pamoja na Bulyanhulu ya Shinyanga JKT Rwamkoma ya Mara AFC na Madini Fc zote za Arusha na Pamba Fc ya mwanza
Star Tv imefika katika viwanja vya timu ya Alliance Sports Academy ili...
9 years ago
StarTV17 Nov
Ligi daraja la pili Alliance Sports yaanza vema nyumbani CCM Kirumba.
Hekaheka za kuwania nafasi ya kufuzu kuingia ligi daraja la kwanza Tanzania Bara zimeanza katika uwanja wa michezo wa CCM Kirumba kwa timu ya soka ya Alliance Sports Academy ya Mwanza kumenyana na Madini Fc kutoka mkoani Arusha kwa kundi B
Mchezo huo uliokuwa wa ushindani mkubwa umemalizika kwa Timu ya Alliance kuibuka na ushindi wa bao 2-0 dhidi mpinzani wake Madini FC ya Arusha.
Mchezo huo uliokuwa na ushangiliaji wa aina yake kwa mashabiki wa timu ya Alliance Sports Academy ya...
10 years ago
VijimamboIGP MANGU AFUNGA RASMI MAFUNZO YA UONGOZI WA MAGEREZA DARAJA LA PILI JIJINI DAR
![](http://3.bp.blogspot.com/-oUGXDIIKfDc/VYgOTNAWb9I/AAAAAAADtPs/QxbFEbM9ero/s640/image.jpeg)