Udhamini Ligi Kuu wapanda
NA JUDITH PETER, DAR ES SALAAM
KAMPUNI ya Simu za Mkononi ya Vodacom, imeongeza udhamini wake wa Ligi Kuu Tanzania Bara kwa asilimia 40, kutoka shilingi bilioni 1.6 iliyopita hadi shilingi bilioni 2.3 kwa mwaka.
Vodacom ambao ni wadhamini wakuu wa ligi hiyo, jana imesaini mkataba mpya wa miaka mitatu na Shirikisho la Mpira wa Miguu Nchini (TFF) kuendelea kuusaidia mpira, mkataba wenye thamani ya shilingi bilioni 6.6.
Akizungumza jana katika hafla hiyo ya kusaini mkataba iliyofanyika Makao...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi23 Sep
Yanga wasusa Sh300 mil za udhamini wa Azam wa Ligi Kuu Bara
10 years ago
Michuzi
Vodacom na TFF zasaini mkataba wa udhamini wa ligi kuu kwa miaka mitatu


10 years ago
Michuzi
WADHAMINI WAKUU WA LIGI KUU YA VODACOM TANZANIA BARA WAZITAKIA KILA LA HERI TIMU 16 ZINAZOSHIRIKI LIGI KUU 2015/2016 INAYOTIMUA VUMBI KESHO


Ferrao. NA MWANDISHI WETUWADHAMINI wakuu wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Kampuni ya mawasiliano ya Vodacom Tanzania, wamezitakia kila la heri timu zote 16 zinazoshiriki ligi hiyo inayotarajiwa kuanza Jumamosi hii kwenye viwanja mbalimbali nchini.
Akizungumza jijini Dar es Salaam leo, Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania,Ian Ferrao, alisema kuwa ni fahari kubwa kwao kuona msimu mpya wa ligi hiyo unaanza hivyo kutoa fursa kwa wapenzi wa soka nchini na kwingineko kupata...
10 years ago
BBCSwahili02 Feb
Ligi daraja la 1 kupata udhamini:TFF
11 years ago
Mwananchi14 Apr
MAONI: Udhamini, uwanja vimeharibu Ligi ya Kikapu
10 years ago
StarTV19 Aug
IJUE ORODHA YA WAAMUZI WATAKAOCHEZESHA LIGI KUU BARA, LIGI DARAJA LA KWANZA ..
WAAMUZI WA LIGI KUU YA VODACOM
Kamati ya Waamuzi nchini imetangaza orodha ya waamuzi wanaotakiwa kushiriki Semina na mtihani wa waamuzi itakayoanza tarehe 21- 25 Agosti, 2015 jijini Dar es salam, Waamuzi hao na sehemu wanaozotekea katika mabano ni Alex Mahagi (Mwanza), Hashim Abdallah (Dsm), Athony Kayombo (Rukwa), Amon Paul (Mara), Ahamada Simba (Kagera), Athuman Lazi (Morogoro), Abdallah Kambuzi (Shinyanga), Martin Saanya (Morogoro), Israel Nkongo (Dsm), Zakaria Jacob (Pwani), Michael...
9 years ago
Dewji Blog19 Dec
Ratiba ya michezo ya leo Jumamosi, Disemba 19 katika ligi kuu ya Tanzania na ligi kubwa barani Ulaya
Na Rabi Hume, Modewjiblog
Ligi mbalimbali zinatarajiwa kuendelea mwishoni kwa juma hili na mtandao wako bora wa habari , Modewjiblog.com imekuandalia ratiba ya michezo ya Ligi Kuu ya Tanzania “Vodacom Premier League” na ratiba ya michezo katika ligi kubwa barani Ulaya.
TANZANIA – VODACOM PREMIER LEAGUE
Kagera Sugar – African Sports 16:00 EAT
Maji Maji – Azam 16:00 EAT
Mwadui – Ndanda 16:00 EAT
Prisons – Mtibwa...
11 years ago
Tanzania Daima07 Apr
Karibuni Ligi Kuu
WAKATI Ligi Kuu ya Tanzania Bara ikielekea ukingoni, timu tatu za kuchukua nafasi ya timu zilizoshindwa kuhimili kishindo, zimeshajulikana kutoka Ligi Daraja la Kwanza. Hiyo ni kwa mujibu wa kanuni...