Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Simba sasa yaingia mchecheto

>Uongozi wa Simba umeanza kuweweseka kutokana na kuchelewa kurudi kwa nyota wake waliokuwa wakiitumikia timu za taifa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

SIMBA YAINGIA MKATABA NA EAG

Aveva akizungumza jambo katika hoteli ya Southern Sand kuhusu mkataba na EAG Group. Rais wa Simba, Evans Aveva (wa pili kushoto), Mkurugenzi wa Kampuni ya EAG Group, Iman Kajula (katikati) na Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Simba, Jasmine Badar Soud wakati wa hafla ya kutangaza mkataba.  Aveva na Kajula.…

 

9 years ago

Habarileo

Simba yaingia mkataba na Majabvi

KLABU ya Simba imemsainisha kiungo mkabaji wa kimataifa kutoka Zimbabwe, Justice Majabvi, mkataba wa miaka miwili wa kuichezea timu hiyo inayojiandaa kushiriki msimu ujao wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara.

 

10 years ago

Michuzi

SIMBA SC YAINGIA KAMBINI ZANZIBAR HUKU IKIMTEMA MSHAMBULIAJI WAKE KUTOKA GAMBIA


KLABU  ya Simba imeingia kambini leo Zanzibar huku ikimtema mshambuliaji wake raia wa Gambia Omar Mboob.
Katibu mkuu wa Simba Steven Ally alidhibitisha kuwa mchezaji huyo ameenguliwa kwenye kikosi cha Simba kwa vile ameshindwa kuonyesha kiwango cha kumshawishi kocha Patrick Phiri ili aweze kusajiliwa.
"Mboob kwa sasa tunamfanyia taratibu ili aweze kurudi nchini kwao, kesho (leo) au kesho kutwa ataondoka, ameshindwa kuonyesha makali."alisema
Wakati Ally akisema hayo, Mwenyekiti wa kamati...

 

11 years ago

Michuzi

Mtanange wa Simba na JKT Ruvu Uwanja wa Taifa hivi sasa: Simba washalala kwa bao 2 - 0

Mchezaji wa Timu ya JKT Ruvu,Emmanuel Switta akimpeleka markiti Golikipa wa timu ya Simba, Yaw Berko kwa mkwaju mkali wa Penati na kuiandikia timu yake bao la pili katika Mchezo wa Ligi kuu Tanzania bara,unaoendelea hivi sasa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.hadi mapumziko Simba wamelala kwa Bao 2 - 0.kipindi cha pili kimeanza hivi punde na tutaendelea kujuzana kinachojili.
Wachezaji wa timu ya JKT Ruvu wakishangilia mara baada ya kuitandika Simba bao la pili.

 

10 years ago

Vijimambo

BAADA YA MAXIMO, SASA PHILI SIMBA OUT NA HUYU NDIYO MRITHI WA WAKE NAE SIJUI ATADUMU SIMBA NA YANGA NI SHIDA

Kocha Patrick Phiri amesema ametaarifiwa kuhusiana na kibarua chake kusitishwa.
Phiri raia wa Zambia amesema ni suala la kawaida kumtokea kocha, hivyo hana kinyongo na uongozi wa klabu hiyo.
"Wamenitaarifu kuhusiana na kuachishwa kazi, hili si jambo jipya, ingawa niliona tungeweza kubadilisha mambo.
"Najua Simba wanataka kufanya vizuri, hivyo siwezi kumlaumu mtu na utaona mwendo wa timu yetu ulivyokuwa," alisema Phiri.
Phiri amesema anasubiri kiasi cha fedha alichokuwa anadai ambacho hakueleza...

 

9 years ago

Dewji Blog

Tinga Tinga Arts Groups yaingia mkataba na Bricoleur Holdings, sasa kutafutiwa masomo Japan

PICHA 2

Washirika wa pande zote mbili pamoja na Kikundi cha Sanaa cha Tingatinga wakionyesha baadhi ya kazi za sanaa watakazokuwa wakishirikiana mbele ya waandishi wa habari (hawapo pichani) wkaati wa utiaji saini wa Mkataba wa makubalianao ya kufanya kazi pamoja leo katika Ukumbi wa Idara ya Habari (MAELEZO). PICHA 3 Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA), Bwana Godfrey Mngereza (kushoto) akifafanua jambo wakati wa utiaji saini wa Mkataba wa makubaliano kati ya Kikundi cha Sanaa cha...

 

9 years ago

Mtanzania

Yanga yaingiwa mchecheto

kikosi cha Yanga_Machi 2015 Confederation CupNA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM

TIMU ya Yanga imeonekana kuingiwa mchecheto kuelekea mchezo ujao dhidi ya Mwadui, baada ya kuondoka na wachezaji wote wa kikosi hicho hata wale waliokuwa majeruhi.

Mabingwa hao wa Ligi Kuu Tanzania Bara, wanaelekea mkoani Shinyanga leo kwa ajili ya mchezo huo muhimu utakaofanyika Uwanja wa Kambarage keshokutwa, huku wakiwa wamepania kuibuka na ushindi.

Mmoja ya wachezaji aliyekuwa majeruhi na anaondoka na kikosi hicho ni kiungo Salum Telela, huku wengine Mbuyu...

 

11 years ago

Mwananchi

Azam yaanza mchecheto

Wachezaji wa Azam wamesema mashindano ya Kombe la Mapinduzi yanayoendelea Zanzibar ni magumu, ambapo kama watafanikiwa kutetea ubingwa wao wa kombe hilo njia itakuwa nyeupe ya kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara.

 

11 years ago

GPL

KAJALA APATA MCHECHETO GHAFLA

Stori: mayasa mariwata MUIGIZAJI mwenye jina katika filamu za Bongo, Kajala Masanja juzi kati alipatwa na mchecheto ghafla wakati wa shughuli iliyoandaliwa na Mwenyekiti wa Bongo Movie Unity, Steven Mengere maarufu kama Steve Nyerere huko Masaki, jijini Dar es Salaam. Muigizaji mwenye jina katika filamu za Bongo, Kajala Masanja Katika tukio hilo ambalo Steve Nyerere alikuwa ameandaa chakula cha usiku kwenye ukumbi wa Great...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani