Yanga yaingiwa mchecheto
NA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM
TIMU ya Yanga imeonekana kuingiwa mchecheto kuelekea mchezo ujao dhidi ya Mwadui, baada ya kuondoka na wachezaji wote wa kikosi hicho hata wale waliokuwa majeruhi.
Mabingwa hao wa Ligi Kuu Tanzania Bara, wanaelekea mkoani Shinyanga leo kwa ajili ya mchezo huo muhimu utakaofanyika Uwanja wa Kambarage keshokutwa, huku wakiwa wamepania kuibuka na ushindi.
Mmoja ya wachezaji aliyekuwa majeruhi na anaondoka na kikosi hicho ni kiungo Salum Telela, huku wengine Mbuyu...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili06 Jan
ManU yaingiwa wasiwasi kutetea ubingwa
10 years ago
StarTV12 Jan
Kuelekea uchaguzi mkuu, KKKT yaingiwa hofu.
Na Zephania Renatus,
Moshi.
Wakati Taifa likielekea katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania KKKT limeeleza hofu yake ya kupatikana kwa viongozi bora watakaokuwa chaguo la watanzania walio wengi.
Hofu hiyo imekuja baada ya madai ya kuwepo kwa maandalizi hafifu ya uboreshaji wa daftari la wapiga kura pamoja na upatikanaji wa katiba pendekezwa kwa wananchi ambayo inaelezwa kutowafikia wananchi walio wengi ili waweza kuisoma na kuielewa...
11 years ago
Mwananchi07 Jan
Azam yaanza mchecheto
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/nkvdZEQNy6wMGExntYx1Xzd2SsImAYyxgjhKLSEiDhSWWypbXIvJ9xCkCyVoa05NfoNUFomMaBsvz-Mcf0eH2-ZEO8HSk2SX/lulu.jpg?width=650)
LULU AANIKA MCHECHETO KIZIMBANI
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/hlBnt738bkz5P-SodKN-nr65AnPRf-m0IkPIV6yzxcTQMcrTmCLj6QknB0nWV6z18DuMic8jSibXWgPv3RjjyMo8biTz3eO7/KAJALA.jpg)
KAJALA APATA MCHECHETO GHAFLA
11 years ago
Mwananchi07 Mar
Simba sasa yaingia mchecheto
11 years ago
Mwananchi14 Feb
Kocha wa City aingia mchecheto
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-Nr1L6UoeUNc/XpaZhMRJecI/AAAAAAALm-I/5dYNsgi6mbohkrIyf9topeog_eYh4Su5ACLcBGAsYHQ/s72-c/harmonize-moyo-1-700x466.jpg)
MAKALA MCHECHETO:WABONGO HATUJAWAHI KUWA NA MISIMAMO,
![](https://1.bp.blogspot.com/-Nr1L6UoeUNc/XpaZhMRJecI/AAAAAAALm-I/5dYNsgi6mbohkrIyf9topeog_eYh4Su5ACLcBGAsYHQ/s400/harmonize-moyo-1-700x466.jpg)
KIPI nakipenda? Ooh napenda mitazamo ya watanzania wenzangu pale wanapoamua kutoa maoni yao juu ya jambo Fulani. Leo watatoa maoni chanya kesho watatoa hasi. Twende taratibu.
Ni watanzania hawa hawa ambao walikua hawampendi Mjeshi wa Bongo Fleva, Harmonize kipindi akiwa lebo ya Wasafi inayomilikiwa na Supastaa, Diamond Platnumz.
Wabongo hawakumpa heshima Konde Boy, wengine wakasema anabebwa na promo ya Wasafi, wengine wakasema hakuna kitu yule anamuiga Diamond.
Mungu...