Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


LULU AANIKA MCHECHETO KIZIMBANI

STAA wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amefunguka kuwa siku alipokuwa mahakamani akisomewa kesi inayomkabili ya kumuua bila kukusudia msanii mwenzake, marehemu Steven Kanumba, alipata mchecheto sana. Elizabeth Michael 'Lulu'. Akipiga stori na paparazi wetu alisema, siku hiyo wakati kesi ikiendelea, alipata mchecheto kiaina na kujikuta ghafla akiwaza juu ya hatima yake hivyo kuangukia katika lindi la...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

LULU AANIKA SIRI YA KUTEMBEA NA WANAUME WALIOMZIDI UMRI


Funguka! Sexy lady kunako sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amefunguka kuwa anapenda kuminya ‘ku-date’ na wanaume wanaomzidi umri kwa sababu wanakuwa na nafasi nyingi katika maisha yake.Elizabeth Michael ‘Lulu’Akizungumza runingani juzikati, Lulu alisema anapenda kuwa na wanaume wanaomzidi kwa sababu wana nafasi tatu katika maisha yake ya kawaida, wanakuwa kama kaka, baba na mpenzi.“Siwezi kuwa na mwanaume ambaye tunalingana kwa sababu atakuwa hana sifa hizo,” alisema...

 

11 years ago

GPL

LULU AANIKA ‘UPAJA’ KUWATEGA WANAUME

Stori:Mussa Mateja GAUNI alilovaa msanii wa filamu Bongo, Elizabeth Michael hivi karibuni alipokuwa kwenye hafla ya utoaji wa Tuzo za Watu limeonesha kuwatega wanaume hasa wakware kufuatia kuuanika ‘upaja’ wake. Msanii wa filamu Bongo, Elizabeth Michael 'Lulu' akiwa kaachia 'upaja' wake.
Akiwa ndani ya Ukumbi uliopo ndani ya Hoteli ya Serena, Posta jijini Dar, Lulu alionekana amevalia gauni refu lakini pembeni...

 

11 years ago

GPL

KESI YA KIFO CHA KANUMBA... LULU AANIKA UKWELI

Stori: Waandishi Wetu
MWANGA umeanza kuonekana juu ya kesi inayomkabili staa wa filamu za Bongo, Elizabeth Michael Kimemeta ‘Lulu’ ya kumuua bila kukusudia staa mwenzake wa muvi, Steven Charles Meshack Kusekwa Kanumba ambapo safari hii aliamua kukiri vipengele kibao, Risasi Mchanganyiko lina habari yote. Akikiri mbele ya Mahakama Kuu ya Tanzania juzi (Jumatatu) wakati kesi hiyo ilipoanza kusikilizwa, nyota huyo...

 

10 years ago

GPL

LULU AANIKA SIRI YA ‘KU-DATE’ NA WALIOMZIDI UMRI

Gladness Mallya  Funguka! Sexy lady kunako sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amefunguka kuwa anapenda kuminya ‘ku-date’      na wanaume wanaomzidi umri kwa sababu wanakuwa na nafasi nyingi katika maisha yake. Elizabeth Michael ‘Lulu’ Akizungumza runingani juzikati, Lulu alisema anapenda kuwa na wanaume wanaomzidi kwa sababu wana nafasi tatu katika maisha yake ya...

 

9 years ago

GPL

MADAI YA KUMUUA KANUMBA, LULU KIZIMBANI TENA


Stori: Na Brighton Masalu MAMBO yameiva! Nyota wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael Kimemeta ‘Lulu’ (20) yu mbioni kupanda tena Kizimba cha Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam kwa ishu yake ile ya madai ya kumuua bila kukusudia aliyekuwa msanii wa filamu nchini, marehemu , Amani lina ripoti mkononi. Nyota wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael Kimemeta ‘Lulu’. Kwa mujibu wa chanzo chetu kutoka ndani ya...

 

9 years ago

Bongo Movies

Madai ya Kumuua Kanumba…Lulu Kizimbani Tena

MAMBO yameiva! Nyota wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael Kimemeta ‘Lulu’ (20) yu mbioni kupanda tena Kizimba cha Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam kwa ishu yake ile ya madai ya kumuua bila kukusudia aliyekuwa msanii wa filamu nchini, marehemu Steven Charles Kanumba ‘The Great’, Amani lina ripoti mkononi.

Kwa mujibu wa chanzo chetu kutoka ndani ya mahakama hiyo jijini Dar, kesi hiyo ilisimama kwa muda wa mwaka mmoja na zaidi kutokana na matatizo yaliyo nje ya uwezo wa...

 

11 years ago

GPL

LULU APANDISHWA KIZIMBANI TENA, KESI YAKE YAAHIRISHWA

Staa wa filamu za Kibongo, Elizabeth Michael 'Lulu' pamoja na Mahsein Awadh 'Dk. Cheni' wakipitia Gazeti la Ijumaa Wikienda ndani ya Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam wakati wakisubiri kusikiliza kesi inayomkabili Lulu juu ya kifo cha msanii Steven Kanumba. Elizabeth Michael 'Lulu' (katikati) akiwa na mama yake mzazi, Lucresia Karugila (wa pili kushoto) na Dk. Cheni… ...

 

11 years ago

Mwananchi

Azam yaanza mchecheto

Wachezaji wa Azam wamesema mashindano ya Kombe la Mapinduzi yanayoendelea Zanzibar ni magumu, ambapo kama watafanikiwa kutetea ubingwa wao wa kombe hilo njia itakuwa nyeupe ya kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani