LULU AANIKA ‘UPAJA’ KUWATEGA WANAUME
![](http://api.ning.com:80/files/yO1JdgjIDGbL3QxcVnnXGRTTcwrDyGcEvn-CaZjfUyXVevlqVPQmLGbSUAmNDd1V3Ps*zZRVahijAWTiYJWhReY-F0iD0HSr/lulu.jpg?width=650)
Stori:Mussa Mateja GAUNI alilovaa msanii wa filamu Bongo, Elizabeth Michael hivi karibuni alipokuwa kwenye hafla ya utoaji wa Tuzo za Watu limeonesha kuwatega wanaume hasa wakware kufuatia kuuanika ‘upaja’ wake. Msanii wa filamu Bongo, Elizabeth Michael 'Lulu' akiwa kaachia 'upaja' wake. Akiwa ndani ya Ukumbi uliopo ndani ya Hoteli ya Serena, Posta jijini Dar, Lulu alionekana amevalia gauni refu lakini pembeni...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo12 May
LULU AANIKA SIRI YA KUTEMBEA NA WANAUME WALIOMZIDI UMRI
![](http://api.ning.com/files/t3ZSopUVDgZeV3VKVmnXsXWB0N-MTYQmTvq-7rFwrTjeqyExZK2g8Q-Hvbo4kCLSyOmxHsSLVUGSqGhNamxPRIzuRvKpCM0D/lulu2.jpg?width=650)
Funguka! Sexy lady kunako sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amefunguka kuwa anapenda kuminya ‘ku-date’ na wanaume wanaomzidi umri kwa sababu wanakuwa na nafasi nyingi katika maisha yake.Elizabeth Michael ‘Lulu’Akizungumza runingani juzikati, Lulu alisema anapenda kuwa na wanaume wanaomzidi kwa sababu wana nafasi tatu katika maisha yake ya kawaida, wanakuwa kama kaka, baba na mpenzi.“Siwezi kuwa na mwanaume ambaye tunalingana kwa sababu atakuwa hana sifa hizo,” alisema...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/79xb1yI4El89K8-DNKF79Ekucw5gIrZ4mnjQzzJyQa2sZCDaEeEsAGhxVfyYkr*h*sUXOhgj8AQM6CvACwYqsK8xbYOKot72/l.jpg?width=650)
AMANDA AANIKA SIRI NZITO YA KUTOWAPENDA WANAUME
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/nkvdZEQNy6wMGExntYx1Xzd2SsImAYyxgjhKLSEiDhSWWypbXIvJ9xCkCyVoa05NfoNUFomMaBsvz-Mcf0eH2-ZEO8HSk2SX/lulu.jpg?width=650)
LULU AANIKA MCHECHETO KIZIMBANI
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/8XZ9tNduvb3-n4iZYB5fU5S0LXgaktnWrbTRVVMuvb*eVl7JQsG0bR60wD6tdajmA9NUqvCeelm0wr0QGok6dSISYoNu38Ay/lulu.jpg?width=650)
KESI YA KIFO CHA KANUMBA... LULU AANIKA UKWELI
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/t3ZSopUVDgYMpmcaPojNN1cgaQUB1o8uUqkk4nV6yF2EiNKcA2Za5uU03XYFYl1aK0hhD-Te1sAKX4ZExgU5D8SQBt-0dc9B/lulucopy.jpg?width=650)
LULU AANIKA SIRI YA ‘KU-DATE’ NA WALIOMZIDI UMRI
9 years ago
Bongo Movies17 Nov
Chanzo Lulu Kutodumu na Wanaume Chatajwa
Ubuyu! Licha kujaliwa umbo matata na mvuto wa aina yake, staa wa Bongo Movies Elizabeth Michael ‘Lulu’, anadaiwa kutodumu na mwanaume, Ijumaa Wikienda limetajiwa chanzo cha hali hiyo.
Kwa mujibu wa sosi wa ndani wa familia ya staa huyo, chanzo kikubwa cha Lulu kutodumu na mwanaume anayempata kama mwandani wake ni mama yake, Lucresia Karugila.
Ilidaiwa kwamba, kama ilivyokuwa kwa Wema Sepetu zamani, mama yake, Miriam Sepetu alidaiwa kumwekea ‘patroo’ mrembo huyo kwa kumchagulia mwanaume wa...
10 years ago
Bongo Movies24 Feb
VIJIMAMBO: Wanaume Wote Huzaliwa Wakiwa na Usaliti-Lulu
Mrembo na mwigizaji wa filamu mwenye mvuto zaidi hapa Bongo (kwa mujibu wa mtandao wa yourbesttop10.com), Elizabeth Michael ‘Lulu’ jana usiku aliandika bandiko mtandaoni ambalo liliwaacha midomo wazi baadhi ya mashabiki wake akiwashutumu wanaume wote kuwa wamezaliwa wakiwa tayari wanausaliti na kuwa ni swala la kusubiri ni lini tu atafanya na kuwatahadhalisha wanawake wakaechonjo kwenye mahusiano yao.
Lulu aliandika ujumbe huo kwa lugha ya ‘KIMOMBO’ “All men are born hardwired to...
10 years ago
Bongo Movies14 May
Lulu Akili na Kutoa Sababu ya Kupenda Watoka na Wanaume Waliomzidi Umri
Staa mrembo wa Bongo Movies, Elizabeth ‘Lulu’ Michael amekili kupenda kuwa na mahusiano na ya kimapenzi na wanaume waliomzidi sana umri.
Akizungumza kwenye The Sporah Show, Lulu amezitaja sababu za kupendelea kutoka na wanaume waliomzidi umri.
SPORAH: Watu wanahisi kwamba Lulu anapenda sana kutembea na watu waliomzidi umri sana,
LULU: That’s true, sio uongo, sio sana, Napenda kudate mtu ambaye anayeweza kusimama kama mpenzi, kama kaka, kama baba, kama kiongozi. Sitakuwa tayari kuwa na ile...