LULU AANIKA SIRI YA ‘KU-DATE’ NA WALIOMZIDI UMRI
![](http://api.ning.com:80/files/t3ZSopUVDgYMpmcaPojNN1cgaQUB1o8uUqkk4nV6yF2EiNKcA2Za5uU03XYFYl1aK0hhD-Te1sAKX4ZExgU5D8SQBt-0dc9B/lulucopy.jpg?width=650)
Gladness Mallya  Funguka! Sexy lady kunako sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amefunguka kuwa anapenda kuminya ‘ku-date’     na wanaume wanaomzidi umri kwa sababu wanakuwa na nafasi nyingi katika maisha yake. Elizabeth Michael ‘Lulu’ Akizungumza runingani juzikati, Lulu alisema anapenda kuwa na wanaume wanaomzidi kwa sababu wana nafasi tatu katika maisha yake ya...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo12 May
LULU AANIKA SIRI YA KUTEMBEA NA WANAUME WALIOMZIDI UMRI
![](http://api.ning.com/files/t3ZSopUVDgZeV3VKVmnXsXWB0N-MTYQmTvq-7rFwrTjeqyExZK2g8Q-Hvbo4kCLSyOmxHsSLVUGSqGhNamxPRIzuRvKpCM0D/lulu2.jpg?width=650)
Funguka! Sexy lady kunako sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amefunguka kuwa anapenda kuminya ‘ku-date’ na wanaume wanaomzidi umri kwa sababu wanakuwa na nafasi nyingi katika maisha yake.Elizabeth Michael ‘Lulu’Akizungumza runingani juzikati, Lulu alisema anapenda kuwa na wanaume wanaomzidi kwa sababu wana nafasi tatu katika maisha yake ya kawaida, wanakuwa kama kaka, baba na mpenzi.“Siwezi kuwa na mwanaume ambaye tunalingana kwa sababu atakuwa hana sifa hizo,” alisema...
10 years ago
Bongo Movies14 May
Lulu Akili na Kutoa Sababu ya Kupenda Kutoka na Wanaume Waliomzidi Umri
Staa mrembo wa Bongo Movies, Elizabeth ‘Lulu’ Michael amekili kupenda kuwa na mahusiano na ya kimapenzi na wanaume waliomzidi sana umri.
Akizungumza kwenye The Sporah Show, Lulu amezitaja sababu za kupendelea kutoka na wanaume waliomzidi umri.
SPORAH: Watu wanahisi kwamba Lulu anapenda sana kutembea na watu waliomzidi umri sana,
LULU: That’s true, sio uongo, sio sana, Napenda kudate mtu ambaye anayeweza kusimama kama mpenzi, kama kaka, kama baba, kama kiongozi. Sitakuwa tayari kuwa na ile...
10 years ago
Bongo Movies14 May
Lulu Akili na Kutoa Sababu ya Kupenda Watoka na Wanaume Waliomzidi Umri
Staa mrembo wa Bongo Movies, Elizabeth ‘Lulu’ Michael amekili kupenda kuwa na mahusiano na ya kimapenzi na wanaume waliomzidi sana umri.
Akizungumza kwenye The Sporah Show, Lulu amezitaja sababu za kupendelea kutoka na wanaume waliomzidi umri.
SPORAH: Watu wanahisi kwamba Lulu anapenda sana kutembea na watu waliomzidi umri sana,
LULU: That’s true, sio uongo, sio sana, Napenda kudate mtu ambaye anayeweza kusimama kama mpenzi, kama kaka, kama baba, kama kiongozi. Sitakuwa tayari kuwa na ile...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/VEmjh*oDsumEYYW30lTL-ziVwPi0XtpMytXPZjAUVKqX1P9dJcthGokv7*Xy6TWpWUuGaqTcPgxAHfH*yYQlMCVJbO-xTueC/AY.jpg)
AY AANIKA SIRI IKULU YA OBAMA
10 years ago
Mwananchi25 Mar
Tambwe aanika siri ya mabao
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/nkvdZEQNy6wMGExntYx1Xzd2SsImAYyxgjhKLSEiDhSWWypbXIvJ9xCkCyVoa05NfoNUFomMaBsvz-Mcf0eH2-ZEO8HSk2SX/lulu.jpg?width=650)
LULU AANIKA MCHECHETO KIZIMBANI
11 years ago
Tanzania Daima08 Jul
Vee Money aanika siri ya Hawajui
MWANADADA anayetamba katika tasnia ya muziki wa Bongo, Vanessa Mdee ‘Vee Money’ amesema aliamua kusambaza ngoma yake mpya ya ‘Hawajui’ baada ya baadhi ya wadau wa muziki huo kusema hakustahili...
10 years ago
GPLLADY NAA AANIKA SIRI YA KUMPENDA ZARI