Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tambwe aanika siri ya mabao

Mshambuliaji wa Yanga, Amissi Tambwe ametoa siri ya safu ya ushambuliaji ya timu hiyo kufanya vyema kwenye mechi mbalimbali za hivi karibuni.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

Tambwe: Mabao zaidi yanakuja

Straika wa Yanga, Amissi Tambwe. Na Sweetbert Lukonge
STRAIKA wa Yanga, Amissi Tambwe, ndiye gumzo hivi sasa katika soka la Tanzania baada ya mabao yake mawili kuipa timu yake ushindi wa 2-0 dhidi ya BDF XI lakini kitu kikubwa ni kwamba, muda mfupi tu baada ya kuwaua Wabotswana hao, klabu yake imempatia nyumba. Tambwe alifanikiwa kufunga mabao hayo katika mchezo wa Kombe la Shirikisho kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam na...

 

11 years ago

GPL

Tambwe ni zaidi ya mashine, afikisha mabao 19

Mshambuliaji wa Simba, Amissi Tambwe. Na Sweebert Lukonge
YAWEZEKANA mabeki wa Ligi Kuu Bara wanaposikia jina la mshambuliaji Amissi Tambwe wa Simba wanaweza kuwa wanapatwa na hofu, kwani katika mechi 18 alizocheza kwenye ligi hiyo, amefunga jumla ya mabao 19. Tambwe amefikisha idadi hiyo ya mabao baada ya kutupia mawili katika ushindi wa mabao 3-2 wa timu yake dhidi ya Ruvu Shooting katika kipute kilichofanyika kwenye Uwanja...

 

11 years ago

GPL

AY AANIKA SIRI IKULU YA OBAMA

Stori: Mwandishi Wetu MSANII nyota wa muziki wa kizazi kipya, Ambwene Yesaya ‘AY’ ameanika siri za Ikulu ya Rais Baraka Obama wa Marekani, baada ya kuitembelea wakati alipokwenda kwa ajili ya shoo akiwa na wenzake tisa kutoka Afrika. Msanii nyota wa muziki wa kizazi kipya, Ambwene Yesaya ‘AY’ akipozi. “Nilipokwenda sikumkuta Rais Obama, alikuwa Minnesota kwa mambo yake, lakini tulipokelewa na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Vee Money aanika siri ya Hawajui

MWANADADA anayetamba katika tasnia ya muziki wa Bongo, Vanessa Mdee ‘Vee Money’ amesema aliamua kusambaza ngoma yake mpya ya ‘Hawajui’ baada ya baadhi ya wadau wa muziki huo kusema hakustahili...

 

10 years ago

GPL

LADY NAA AANIKA SIRI YA KUMPENDA ZARI

Mtangazaji Lady Naa. Hamida Hassan/ijumaawikienda
KUMBE! Aliyekuwa shemeji wa Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ wakati ikisemekana anatoka na mtoto wa mbunge, Najma, Mtangazaji Lady Naa ameanika siri juu ya ukaribu wake na mpenzi wa sasa wa Diamond, Zarinah Hassan ‘Zari’ kuwa usitafsiriwe kuwa ni usaliti kwani ndiye anayeshikilia usukani kwa sasa. Lady Naa ameliambia Ijumaa Wikienda kuwa anampenda Zari...

 

10 years ago

GPL

BANZA AANIKA SIRI YA SHAVU DODO LAKE

Stori: Gladness Mallya
Wenye kumbu-kumbu wanafahamu jinsi mwanamuziki wa Bendi ya Extra Bongo, Ramadhan Masanja ‘Banza’ alivyokuwa amekonda lakini sasa anaonekana kuwa na shavu dodo kiasi cha baadhi ya watu kuwa na hisia tofauti ila mwenyewe anaanika siri ya kufutuka ghafla. Mwanamuziki wa Bendi ya Extra Bongo, Ramadhan Masanja ‘Banza’ Akipiga stori na Ijumaa, Banza alisema awali alikuwa hajali suala...

 

10 years ago

GPL

AMANDA AANIKA SIRI NZITO YA KUTOWAPENDA WANAUME

Stori: Gladness Mallya/Risasi
MWANADADA kutoka kiwanda cha filamu Bongo, Amanda Poshi amefunguka na kueleza siri nzito kuwa hawapendi wanaume kutokana na kufiwa na mchumba wake muda mfupi baada ya kuzungumza naye miaka…iliyopita. Mwanadada kutoka kiwanda cha filamu Bongo, Amanda Poshi. Akipiga stori na…

 

9 years ago

Bongo Movies

Chuchu Hans Aanika Siri ya Kumkoleza Ray

NINA imani mu-wazima wa afya wasomaji wetu, kama kawa kwenye kolamu hii tumekuwa tukiwaleta mastaa tofautitofauti na kufunguka mambo mbalimbali yahusuyo maisha yao kwenye sanaa na nje ya fani.

Leo tunaye staa wa filamu Bongo, Chuchu Hans ambaye ni mwandani wa msanii mkongwe kwenye ulimwengu wa filamu Bongo, Vincent Kigosi `Ray’ aliyeweza kufunguka mambo mbalimbali kutokana na maswali aliyoulizwa na wasomaji wetu katika kolamu hii wiki iliyopita na kuyatolea ufafanuzi bila hiyana.

Msomaji:...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani