Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tambwe ni zaidi ya mashine, afikisha mabao 19

Mshambuliaji wa Simba, Amissi Tambwe. Na Sweebert Lukonge
YAWEZEKANA mabeki wa Ligi Kuu Bara wanaposikia jina la mshambuliaji Amissi Tambwe wa Simba wanaweza kuwa wanapatwa na hofu, kwani katika mechi 18 alizocheza kwenye ligi hiyo, amefunga jumla ya mabao 19. Tambwe amefikisha idadi hiyo ya mabao baada ya kutupia mawili katika ushindi wa mabao 3-2 wa timu yake dhidi ya Ruvu Shooting katika kipute kilichofanyika kwenye Uwanja...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

Tambwe: Mabao zaidi yanakuja

Straika wa Yanga, Amissi Tambwe. Na Sweetbert Lukonge
STRAIKA wa Yanga, Amissi Tambwe, ndiye gumzo hivi sasa katika soka la Tanzania baada ya mabao yake mawili kuipa timu yake ushindi wa 2-0 dhidi ya BDF XI lakini kitu kikubwa ni kwamba, muda mfupi tu baada ya kuwaua Wabotswana hao, klabu yake imempatia nyumba. Tambwe alifanikiwa kufunga mabao hayo katika mchezo wa Kombe la Shirikisho kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam na...

 

9 years ago

Mtanzania

Cristiano Ronaldo afikisha mabao 500

Football/Soccer: Spanish "Super Cup" - Atletico de Madrid vs Real MadridMADRID, HISPANIA

NYOTA wa timu ya Real Madrid, Cristiano Ronaldo, amefanikiwa kufikisha mabao 500 katika historia yake ya soka baada ya juzi kuifungia klabu yake mabao mawili katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Malmo.

Mabao hayo ya Ronaldo yametokana na kucheza michezo 753 katika klabu mbalimbali pamoja na timu yake ya taifa ya Ureno.

Hata hivyo, amekuwa ni mchezaji ambaye anaongoza kwa mabao mengi katika michuano ya Ligi ya Mabingwa, huku akiwa na jumla ya mabao 82, akimuacha...

 

10 years ago

Mwananchi

Tambwe aanika siri ya mabao

Mshambuliaji wa Yanga, Amissi Tambwe ametoa siri ya safu ya ushambuliaji ya timu hiyo kufanya vyema kwenye mechi mbalimbali za hivi karibuni.

 

10 years ago

Mwananchi

Mashine 1,600 zaidi za BVR zawasili nchini

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema uandikishaji wa wananchi kwenye Daftari la Wapigakura nchini utamalizika mwishoni wa mwezi ujao baada ya mashine 1,600 zaidi za kielektroniki kwa ajili ya kazi hiyo kuwasili juzi.

 

10 years ago

Michuzi

MAMA KIKWETE APEWA MASHINE YA KUPIMA SARATANI YA MATITI YENYE THAMANI YA ZAIDI YA DOLA 200000


Na Anna Nkinda – Maelezo, Washington.
29/9/2014 Chama cha Wanawake wa Afrika na Uelewa wa Saratani (African Women Cancer Awareness Assossiation - AWCAA) imemkabidhi Mke wa Rais Mama Salma kikwete mashine moja ya Mammogram ambayo inatumika kupima ugonjwa wa saratani ya matiti yenye thamani yazaidi dola za kimarekani laki mbili.
Makabidhiano hayo yalifanyika jana katika ukumbi  wa mikutano wa Ubalozi wa Tanzania uliopo mjini Washington D.C nchini Marekani.
Akiongea mara baada ya kukabidhiwa...

 

10 years ago

Dewji Blog

AUDIO: Jaji Lubuva akanusha vikali taarifa ya gazeti ‘Mkandarasi wa mashine za BVR amegoma kuleta mashine nchini’

jaji-lubuva

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Mstaafu Damiani Lubuva akitoa kanusho kuhusiana na Mkandarasi wa BVR kugoma kuleta vifaa, achachamaa kutokana na habari iliyoandikwa na gazeti la Tanzania Daima.

 

10 years ago

BBCSwahili

Robert Mugabe afikisha miaka 91

Rais Robert Mugabe sasa ni kiongozi mzee kabisa duniani, na amekuwa madarakani kwa miaka 35.

 

11 years ago

BBCSwahili

Rais Mubage afikisha miaka 90

Rais wa Zimbabwe Robert Mugabe amefikisha miaka 90 leo na kuwa rais mkongwe zaidi barani Afrika. Je ubnajua kama pia ni shabiki wa Chelsea?

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani