Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAKALA MCHECHETO:WABONGO HATUJAWAHI KUWA NA MISIMAMO,

Charles James, Michuzi TV

KIPI nakipenda? Ooh napenda mitazamo ya watanzania wenzangu pale wanapoamua kutoa maoni yao juu ya jambo Fulani. Leo watatoa maoni chanya kesho watatoa hasi. Twende taratibu.

Ni watanzania hawa hawa ambao walikua hawampendi Mjeshi wa Bongo Fleva, Harmonize kipindi akiwa lebo ya Wasafi inayomilikiwa na Supastaa, Diamond Platnumz.

Wabongo hawakumpa heshima Konde Boy, wengine wakasema anabebwa na promo ya Wasafi, wengine wakasema hakuna kitu yule anamuiga Diamond.

Mungu...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

MAKALA: Zao la Karafuu laweza kuwa uti wa mgongo wa Uchumi Zanzibar

Na Pili Khatib na Zuhura Omar, MUM 
 Kuimarisha Zao la Karafuu ni sawa na kuimarisha Uchumi na Maendeleo ya nchi, jitihada za Wadau ni muihimu ili kufika lengo la Serikali la kuifanya Sekta ya Zao la Karafuu kuwa uti wa mgongo wa Uchumi liweze kufikiwa.
Kutokana na umuhimu wa Sekta ya Karafuu kwa Maendeleo ya Uchumi Serikali imefanya mageuzi makubwa katika sekta hiyo kwa lengo la kuongeza uzalishaji na tija kwa Wakulima na Taifa kwa jumla.
Katika utekelezaji wa Mageuzi hayo yaliyoanza mwaka...

 

11 years ago

Michuzi

HATUJAWAHI KUMKOPESHA MBOWE, WALA KUWASAIDIA "SUGU" NA MSIGWA - MFUKO WA PENSHENI WA LAPF

 MFUKO WA PENSHENI WA LAPF NI MFUKO WA HIFADHI YA JAMII NCHINI TANZANIA WENYE MAKAO MAKUU YAKE MJINI DODOMA.
MFUKO WA LAPF  UNAPENDA KUKANUSHA TAARIFA ZILIZOTOLEWA NA BAADHI YA VYOMBO VYA HABARI KUWA LAPF ILITOA MSAADA KWA MBUNGE WA MBEYA MJINI MH. JOSEPH MBILINYI  (kulia) NA MBUNGE WA IRINGA MJINI MH. PETER MSIGWA (kushoto).  IELEWEKE KUWA INGAWA WAHESHIMIWA WABUNGE AU MTU AU TAASISI YEYOYE HAWAZUILIWI KUOMBA MSAADA WA KIJAMII, MH. MBILINYI NA MH. MSIGWA HAWAJAWAHI KUWASILISHA MAOMBI NA...

 

11 years ago

Mwananchi

Azam yaanza mchecheto

Wachezaji wa Azam wamesema mashindano ya Kombe la Mapinduzi yanayoendelea Zanzibar ni magumu, ambapo kama watafanikiwa kutetea ubingwa wao wa kombe hilo njia itakuwa nyeupe ya kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara.

 

9 years ago

Mtanzania

Yanga yaingiwa mchecheto

kikosi cha Yanga_Machi 2015 Confederation CupNA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM

TIMU ya Yanga imeonekana kuingiwa mchecheto kuelekea mchezo ujao dhidi ya Mwadui, baada ya kuondoka na wachezaji wote wa kikosi hicho hata wale waliokuwa majeruhi.

Mabingwa hao wa Ligi Kuu Tanzania Bara, wanaelekea mkoani Shinyanga leo kwa ajili ya mchezo huo muhimu utakaofanyika Uwanja wa Kambarage keshokutwa, huku wakiwa wamepania kuibuka na ushindi.

Mmoja ya wachezaji aliyekuwa majeruhi na anaondoka na kikosi hicho ni kiungo Salum Telela, huku wengine Mbuyu...

 

11 years ago

GPL

KAJALA APATA MCHECHETO GHAFLA

Stori: mayasa mariwata MUIGIZAJI mwenye jina katika filamu za Bongo, Kajala Masanja juzi kati alipatwa na mchecheto ghafla wakati wa shughuli iliyoandaliwa na Mwenyekiti wa Bongo Movie Unity, Steven Mengere maarufu kama Steve Nyerere huko Masaki, jijini Dar es Salaam. Muigizaji mwenye jina katika filamu za Bongo, Kajala Masanja Katika tukio hilo ambalo Steve Nyerere alikuwa ameandaa chakula cha usiku kwenye ukumbi wa Great...

 

11 years ago

GPL

LULU AANIKA MCHECHETO KIZIMBANI

STAA wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amefunguka kuwa siku alipokuwa mahakamani akisomewa kesi inayomkabili ya kumuua bila kukusudia msanii mwenzake, marehemu Steven Kanumba, alipata mchecheto sana. Elizabeth Michael 'Lulu'. Akipiga stori na paparazi wetu alisema, siku hiyo wakati kesi ikiendelea, alipata mchecheto kiaina na kujikuta ghafla akiwaza juu ya hatima yake hivyo kuangukia katika lindi la...

 

11 years ago

Mwananchi

Simba sasa yaingia mchecheto

>Uongozi wa Simba umeanza kuweweseka kutokana na kuchelewa kurudi kwa nyota wake waliokuwa wakiitumikia timu za taifa.

 

11 years ago

Mwananchi

Kocha wa City aingia mchecheto

>Kocha wa Mbeya City, Juma Mwambusi amesema mvua zinazoendelea kunyenya jijini Mbeya kwa sasa zinamwaribia mpango wake wa kuikabili Simba kesho.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Misimamo ya makundi italigawa taifa

SASA ni hakika kwamba hatuna mwafaka wa kitaifa. Wabunge wa Bunge Maalumu la Katiba watatunga Katiba ambayo kwa hakika  inaweza isiwe dawa ya matatizo ya kikatiba tuliyokuwa tunatarajia. Ni wazi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani