Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KAJALA APATA MCHECHETO GHAFLA

Stori: mayasa mariwata MUIGIZAJI mwenye jina katika filamu za Bongo, Kajala Masanja juzi kati alipatwa na mchecheto ghafla wakati wa shughuli iliyoandaliwa na Mwenyekiti wa Bongo Movie Unity, Steven Mengere maarufu kama Steve Nyerere huko Masaki, jijini Dar es Salaam. Muigizaji mwenye jina katika filamu za Bongo, Kajala Masanja Katika tukio hilo ambalo Steve Nyerere alikuwa ameandaa chakula cha usiku kwenye ukumbi wa Great...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

KAJALA APATA PIGO

Staa mwenye mvuto ndani ya Bongo Muvi, Kajala Masanja. Imelda mtema POLE! Staa mwenye mvuto ndani ya Bongo Muvi, Kajala Masanja hivi karibuni alipata pigo zito baada ya kufiwa na bibi yake (mzaa mama) aliyekuwa akiuugua kwa muda mrefu huko mkoani Songea. Akizungumza na Ijumaa Wikienda akiwa msibani, Kajala alisema amempoteza mtu muhimu katika maisha yake kwani bibi yake huyo alikuwa akimpenda, kumlea na kumshauri mambo muhimu...

 

11 years ago

Mwananchi

Azam yaanza mchecheto

Wachezaji wa Azam wamesema mashindano ya Kombe la Mapinduzi yanayoendelea Zanzibar ni magumu, ambapo kama watafanikiwa kutetea ubingwa wao wa kombe hilo njia itakuwa nyeupe ya kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara.

 

9 years ago

Mtanzania

Yanga yaingiwa mchecheto

kikosi cha Yanga_Machi 2015 Confederation CupNA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM

TIMU ya Yanga imeonekana kuingiwa mchecheto kuelekea mchezo ujao dhidi ya Mwadui, baada ya kuondoka na wachezaji wote wa kikosi hicho hata wale waliokuwa majeruhi.

Mabingwa hao wa Ligi Kuu Tanzania Bara, wanaelekea mkoani Shinyanga leo kwa ajili ya mchezo huo muhimu utakaofanyika Uwanja wa Kambarage keshokutwa, huku wakiwa wamepania kuibuka na ushindi.

Mmoja ya wachezaji aliyekuwa majeruhi na anaondoka na kikosi hicho ni kiungo Salum Telela, huku wengine Mbuyu...

 

11 years ago

Mwananchi

Kocha wa City aingia mchecheto

>Kocha wa Mbeya City, Juma Mwambusi amesema mvua zinazoendelea kunyenya jijini Mbeya kwa sasa zinamwaribia mpango wake wa kuikabili Simba kesho.

 

11 years ago

Mwananchi

Simba sasa yaingia mchecheto

>Uongozi wa Simba umeanza kuweweseka kutokana na kuchelewa kurudi kwa nyota wake waliokuwa wakiitumikia timu za taifa.

 

11 years ago

GPL

LULU AANIKA MCHECHETO KIZIMBANI

STAA wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amefunguka kuwa siku alipokuwa mahakamani akisomewa kesi inayomkabili ya kumuua bila kukusudia msanii mwenzake, marehemu Steven Kanumba, alipata mchecheto sana. Elizabeth Michael 'Lulu'. Akipiga stori na paparazi wetu alisema, siku hiyo wakati kesi ikiendelea, alipata mchecheto kiaina na kujikuta ghafla akiwaza juu ya hatima yake hivyo kuangukia katika lindi la...

 

5 years ago

Michuzi

MAKALA MCHECHETO:WABONGO HATUJAWAHI KUWA NA MISIMAMO,

Charles James, Michuzi TV

KIPI nakipenda? Ooh napenda mitazamo ya watanzania wenzangu pale wanapoamua kutoa maoni yao juu ya jambo Fulani. Leo watatoa maoni chanya kesho watatoa hasi. Twende taratibu.

Ni watanzania hawa hawa ambao walikua hawampendi Mjeshi wa Bongo Fleva, Harmonize kipindi akiwa lebo ya Wasafi inayomilikiwa na Supastaa, Diamond Platnumz.

Wabongo hawakumpa heshima Konde Boy, wengine wakasema anabebwa na promo ya Wasafi, wengine wakasema hakuna kitu yule anamuiga Diamond.

Mungu...

 

11 years ago

Bongo Movies

Baada ya Kajala kudai Wema ni mnafiki,Wema aamua kujibu mapigo. 'Amlipua' vibaya Kajala


Ikiwa ni siku chache zimepita baada ya mwigizaji  Kajala kudai kuwa mrembo Wema Sepeteu ni Mnafiki, hatimaye Mwanadada Wema Sepetu , amemlipua aliyekuwa shosti wake, Kajala Masanja ‘K’ ambaye wiki iliyopita alimwita mnafiki, habari  ambayo  ilisambaa  katika  mitandao  mbalimbali  ya  kijamii.

Katika habari hiyo, Kajala alikaririwa akisema kwamba licha ya watu wengi kuamini wamepatana, hakuna ukweli kwani rafiki yake huyo ni mnafiki kufuatia kutomthamini na kutokuwa karibu naye kama zamani...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani