MKUTANO KATI YA MKUU WA MKOA DAR, WAENDESHA BODABODA 'WAYEYUKA KIANA'
Mmoja ya viongozi wa waendesha bodaboda katika Jiji la Dar es Salaam akiwa chini ya ulinzi baada ya kudaiwa kuvuruga mkutano ambao ulikuwa umeitishwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda.Kiongozi huyo anadaiwa alitoa taarifa za kuhairisha mkutano huo jambo ambalo halikuwa limewafurahisha wengine.
Askari Polisi wakiwa wamemuweka chini ya ulinzi mmoja ya viongozi wa waendesha bodaboda baada ya kutuhumiwa na waendesha bodaboda wenzake kuwa ametangaza kuhairishwa kwa mkutano kati yao...
Michuzi