PSPF YAIPIGA JEKI OFISI YA MKUU WA MKOA WA LINDI
![](http://4.bp.blogspot.com/-nZXkrzx064Y/VZBR-JDBoSI/AAAAAAAHlQ0/x9WngzAfY84/s72-c/unnamed.jpg)
Meneja wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF - LINDI Ndg: Ramadhani Mtumwa akikabidhi Msaada wa Mifuko ya Sementi 300 kwa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Lindi, iliyopokelewa na Mkuu wa wilaya ya Lindi Ndg Yahaya E. Nawanda
Mkuu wa Wilaya ya Lindi Ndg Yahaya E. Nawanda (Kulia) akikabidhi Msaada wa Mifuko ya Sementi 300 kwa Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya Ndg Seleman Ngaweje aliyo ipokea toka kwa Meneja wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF-LINDI kwa ajili ya Umaliziaji wa Ujenzi wa Maabara katika wilaya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-AeQWPo95YUg/VTfoaiXibHI/AAAAAAAHSn8/3LdB4GT_b6I/s72-c/unnamed%2B(62).jpg)
NHIF NA PSPF WATOA ELIMU KWENYE MKUTANO MKUU WA VIONGOZI WA CWT MKOA WA LINDI
![](http://2.bp.blogspot.com/-AeQWPo95YUg/VTfoaiXibHI/AAAAAAAHSn8/3LdB4GT_b6I/s1600/unnamed%2B(62).jpg)
11 years ago
Dewji Blog22 Jun
Waziri wa Maliasili na Utaliii, Nyalandu aipiga jeki ofisi ya Qadhi mkoa wa Singida
Mkuu wa wilaya ya Singida, Queen Mlozi akizungumza muda mfupi kabla msaidizi wa Waziri wa maliasili na utalii, Helen Mtalemwa (wa pili kulia) kukabidhi shilingi milioni kumi kwa ajili ya kuipunguzia makali ya uendeshaji ofisi ya Qadhi mkoa wa Singida.
Msaidizi wa Waziri wa Maliasili na Utalii, Helen Mtalemwa akimkabidhimsaada wa shilingi 10 milioni Katibu wa mahakama ya Qadhi mkoa wa Singida, Alhaj Burhan Mlau kwa ajili ya kupunguza makali ya uendeshaji wa mahakama hiyo mjini...
10 years ago
MichuziMENEJIMENTI YA OFISI YA MKUU WA MKOA WA RUKWA YAMPONGEZA MKUU WA MKOA HUO ENG. STELLA MANYANYA KWA USHINDI WA KISHINDO KURA ZA MAONI CCM JIMBO LA MBINGA MAGHARIBI
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/82F4KQZFYhI/default.jpg)
11 years ago
Tanzania Daima11 Jan
China yaipiga jeki shule
SERIKALI ya China imetoa msaada wa kisima, vitabu, madawati na viti kwa Shule ya Msingi Mzambarauni iliyopo Gongo la Mboto, Dar es Salaam. Akitoa msaada huo jijini Dar es Salaam...
10 years ago
MichuziAUSTRALIA YAIPIGA ‘JEKI’ VETA
MAMLAKA ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA)imeanzisha mfumo wa mafunzo stadi katika sekta ya madini na gesi ambao utasaidia watu wanaohitimu katika mafunzo hayo duniani.
Hayo ameyasema leo Mkurugenzi Mkuu wa VETA,Mhandisi Zebadiah Moshi wakati wakisaini makubaliano na serikali ya Australia kuptia shirika la Idara ya Mambo ya Nje na Biashara (DFAT)iliyofanyika katika Hoteli ya Hyatt Regency,jijini Dar es Salaam.
Amesema katika makubaliano hayo,Serikali ya...
11 years ago
Mwananchi28 Jul
EU yaipiga jeki sekta ya kilimo
9 years ago
StarTV28 Nov
Ofisi za Waziri Mkuu, Mkuu wa Mkoa zagongana kuhusu baa la njaa isimani iringa
Siku chache baada ya Star Tv kuripoti taarifa ya baa la njaa linalotishia maisha ya watu karibu ya 70,000 wa tarafa ya Isimani mkoani Iringa, ofisi mbili za Serikali zimegongana juu ya jambo hilo.
Wakati Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Iringa imekilaumu kitengo cha Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu kwa kutotoa ushirikiano wa kutosha hadi watu kufikia hatua ya kula matunda pori kama chakula chao kikuu, kitengo hicho kimekanusha madai hayo kwa maelezo kuwa kuna utaratibu wa kutoa chakula cha msaada na...