Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


EU yaipiga jeki sekta ya kilimo

>Sekta ya kilimo nchini itakua kwa kasi endapo msaada wa magari kwa taasisi zinazosimamia sekta hiyo utatumika ipasavyo kuwawezesha watendaji kuzungukia maeneo mbalimbali kufanya utafiti.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

EU yapiga jeki sekta ya kilimo

Mkuu wa Shughuli za Umoja wa Ulaya nchini Tanzania (EU) Balozi, Filiberto Sebregondi (kushoto) akibadilishana hati na Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Dk Servacious Likwelile Dar es Salaam jana. Makubaliano hayo yanahusu fedha za msaada zaidi ya shilingi bilioni 134 ambazo EU itaipatia Tanzania katika kuendeleza miradi ya kilimo na usafirishaji. (Picha na Mroki Mroki).UMOJA wa Ulaya (EU) umetoa msaada Sh bilioni 135 kwa ajili ya kuboresha sekta ya kilimo nchini pamoja na kupunguza vikwazo vya usafirishaji barabarani.

 

10 years ago

Michuzi

AUSTRALIA YAIPIGA ‘JEKI’ VETA

Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii.
MAMLAKA ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA)imeanzisha mfumo wa mafunzo stadi katika sekta ya madini na gesi ambao utasaidia watu wanaohitimu katika mafunzo hayo duniani.
Hayo ameyasema leo Mkurugenzi Mkuu wa VETA,Mhandisi Zebadiah Moshi wakati wakisaini makubaliano na serikali ya Australia kuptia shirika la Idara ya Mambo ya Nje na Biashara (DFAT)iliyofanyika katika Hoteli ya Hyatt Regency,jijini Dar es Salaam.
Amesema katika makubaliano hayo,Serikali ya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

China yaipiga jeki shule

SERIKALI ya China imetoa msaada wa kisima, vitabu, madawati na viti kwa Shule ya Msingi Mzambarauni iliyopo Gongo la Mboto, Dar es Salaam. Akitoa msaada huo jijini Dar es Salaam...

 

11 years ago

Michuzi

VODACOM YAIPIGA JEKI SHULE YA BARAZANI MANYARA‏

Diwani wa Kata ya Maghay, wilayani Mbulu mkoani Manyara Bw.Nicodemus Michael (kulia) na Kaimu Meneja wa Vodacom Tanzania kanda ya Kaskazini, Michael Kabusi wakikata utepe kuashiria makabidhiano ya jengo la darasa la shule ya msingi Barazani iliyoko wilayani Mbulu mkoani Manyara, lililojengwa kwa msaada wa Vodacom Foundation. Baadhi ya wanafunzi wa shule ya msingi Barazani iliyoko wilayani Mbulu mkoani Manyara wakishuhudia tukio la makabidhiano ya jengo la darasa lililojengwa kwa msaada...

 

9 years ago

Michuzi

NHIF YAIPIGA JEKI MANISPAA YA KINONDONI LEO

KATIKA kukabiliana na ugonjwa wa kipindupindu, Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya nchini umetoa msaada wa vifaa tiba vyenye thamani ya sh.milioni tano kwa Manispaa ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.
Hatua hiyo inalenga kuongeza jitihada za kukabiliana na ugonjwa huo ambao umekuwa ukienea kwa kasi, tangu uanze  Agosti 15, mwaka huu.
Akizungumza na waandishi wa habari leo mara baada ya kukabidhi msaada huo, Mkurugenzi wa Fedha, Mipango na Uwekezaji wa mfuko huo, Deusdedit Rutazaa alisema kutokana na...

 

9 years ago

Michuzi

SIMBA CEMENT YAIPIGA JEKI MZUMBE SECONDARY

  Kaimu Mkuu Mkuu wa Shule ya Sekondari Mzumbe ya mkoani Morogoro, Bi. Jemma Kimolo akipokea msaada wa tani 30 za saruji kutoka kwa Meneja Rasilimali Watu wa Kampuni ya Saruji Tanga (Simba Cement), Diana Malambugi (wa pili kushoto) zilizolewa na kampuni hiyo kusaidia ukarabati wa majengo ya vyoo, mabweni na ofisi za walimu za shule hiyo. Hafla ya makabidhiano ilifanyika Saruji, Pongwe, Tanga jana. Wengine pichani ni maofisa wa kampuni na baadhi ya wanafunzi waliosoma Mzumbe.  Kaimu Mkuu Mkuu...

 

11 years ago

GPL

VODACOM YAIPIGA JEKI WIKI YA USALAMA BARABARANI

Waziri wa Mambo ya ndani Mathias Chikawe,akipokea hundi yenye thamani ya shilingi Milion 40/=toka kwa Ofisa Mkuu wa Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania,Georgia Mutagahywa(kushoto) msaada huo umetolewa kwaajili ya maadhimisho ya wiki ya usalama barabarani Mkuu wa jeshi la polisi nchini Ernest Mangu na kulia ni Mkuu wa usalama barabarani Mohamed Mpinga.
Waziri wa Mambo ya ndani nchi Mathias Chikawe na Ofisa Mkuu wa...

 

10 years ago

Michuzi

MAMLAKA YA CHAKULA NA DAWA YAIPIGA JEKI MANISPAA YA ILALA

 Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala, Isaya Mngurumi akipokea Madebe maalum la kuhifadhia takataka,Katika ni Mkurungenzi wa Usalama wa Chakula Kutoka Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA), Raymond Wigeng iliyofanyika katika eneo la wazi la Posta ya zamani leo Jiji Dar es Salaam. Mkurungenzi wa Manispaa ya Ilala, Isaya Mngurumi akitoa shukrani kwa uongozi mzima wa Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) kwa kupokea msaada wa madebe ya kuhifadhia takataka ili zisizagae hovyo msaada huo umetolewa katika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani