SIMBA CEMENT YAIPIGA JEKI MZUMBE SECONDARY
Kaimu Mkuu Mkuu wa Shule ya Sekondari Mzumbe ya mkoani Morogoro, Bi. Jemma Kimolo akipokea msaada wa tani 30 za saruji kutoka kwa Meneja Rasilimali Watu wa Kampuni ya Saruji Tanga (Simba Cement), Diana Malambugi (wa pili kushoto) zilizolewa na kampuni hiyo kusaidia ukarabati wa majengo ya vyoo, mabweni na ofisi za walimu za shule hiyo. Hafla ya makabidhiano ilifanyika Saruji, Pongwe, Tanga jana. Wengine pichani ni maofisa wa kampuni na baadhi ya wanafunzi waliosoma Mzumbe.
Kaimu Mkuu Mkuu...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi25 Nov
Mkutano wawaliosoma shule ya sekondari Mzumbe (Mzumbe Secondary School Alumni)
Sekretariet ya jumuiya ya waliosoma shule ya sekondari Mzumbe (Mzumbe Secondary School Alumni) inawataarifu wanajumuiya wote kuwa Jumamosi ya Tarehe 29 mwezi Novemba 2014kutafanyika mkutano wa wanachama wote jijini Dar es Salaam, katika ukumbi wa Jolly Club - Isumba Lounge kuanzia saa nane mchana.
Tangu kuanzishwa kwake Jumuiya ya waliosoma Mzumbe Sekondari imeshirikiana na uongozi wa shule hiyo kuainisha maeneo mbalimbali ambayo jumuiya hiyo itashiriki kuyaboresha.Katika mkutano huo wa...
10 years ago
Michuzi26 Nov
Mkutano wawaliosoma shule ya sekondari Mzumbe (Mzumbe Secondary School Alumni) Novemba 29, 2014 Isumba Lounge
Sekretariet ya jumuiya ya waliosoma shule ya sekondari Mzumbe (Mzumbe Secondary School Alumni) inawataarifu wanajumuiya wote kuwa Jumamosi ya Tarehe 29 mwezi Novemba 2014 kutafanyika mkutano wa wanachama wote jijini Dar es Salaam, katika ukumbi wa Jolly Club - Isumba Lounge kuanzia saa nane mchana.Tangu kuanzishwa kwake Jumuiya ya waliosoma Mzumbe Sekondari imeshirikiana na uongozi wa shule hiyo kuainisha maeneo mbalimbali ambayo jumuiya hiyo itashiriki kuyaboresha.Katika mkutano huo wa...
11 years ago
Mwananchi28 Jul
EU yaipiga jeki sekta ya kilimo
10 years ago
MichuziAUSTRALIA YAIPIGA ‘JEKI’ VETA
MAMLAKA ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA)imeanzisha mfumo wa mafunzo stadi katika sekta ya madini na gesi ambao utasaidia watu wanaohitimu katika mafunzo hayo duniani.
Hayo ameyasema leo Mkurugenzi Mkuu wa VETA,Mhandisi Zebadiah Moshi wakati wakisaini makubaliano na serikali ya Australia kuptia shirika la Idara ya Mambo ya Nje na Biashara (DFAT)iliyofanyika katika Hoteli ya Hyatt Regency,jijini Dar es Salaam.
Amesema katika makubaliano hayo,Serikali ya...
11 years ago
Tanzania Daima11 Jan
China yaipiga jeki shule
SERIKALI ya China imetoa msaada wa kisima, vitabu, madawati na viti kwa Shule ya Msingi Mzambarauni iliyopo Gongo la Mboto, Dar es Salaam. Akitoa msaada huo jijini Dar es Salaam...
11 years ago
MichuziVODACOM YAIPIGA JEKI SHULE YA BARAZANI MANYARAâ€
9 years ago
MichuziNHIF YAIPIGA JEKI MANISPAA YA KINONDONI LEO
Hatua hiyo inalenga kuongeza jitihada za kukabiliana na ugonjwa huo ambao umekuwa ukienea kwa kasi, tangu uanze Agosti 15, mwaka huu.
Akizungumza na waandishi wa habari leo mara baada ya kukabidhi msaada huo, Mkurugenzi wa Fedha, Mipango na Uwekezaji wa mfuko huo, Deusdedit Rutazaa alisema kutokana na...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/VEmjh*oDsukpBjfQnpDd07pLB5-49M1UDbZ272JstO-HmP-kkRuG*w5snp4UerHiB8uO8t2eddrbXBYEGWUl0igZ1TIyo9T2/001.WAZIRI.jpg?width=650)
VODACOM YAIPIGA JEKI WIKI YA USALAMA BARABARANI