Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAKAZI WA MANISPAA YA SONGEA KUONDOKANA NA TATIZO LA MAJI

http://mkumbaru.files.wordpress.com/2012/11/maji.jpg?w=698 Na Julius Konala wa demasho.com,Songea.
WANANCHI wa Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma,wataondokana na tatizo la upatikanaji wa maji lililokuwa likiwakumba kwa muda mrefu hususani kipindi cha kiangazi baada ya kuanza kwa ujenzi wa mradi mkubwa wa kitega maji ambao unatekelezwa na kampuni ya Sinani Building Contactors Ltd yenye makao yake makuu mkoani Mtwara katika eneo la Ruhira mjini humo ambapo utagharimu kiasi cha zaidi ya shilingi Bilioni mbili mpaka kukamilika kwake.
Hayo yalisemwa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

WAKAZI WA DUNGUMBI WAAIDIWA KUTAKULIWA TATIZO LA MAJI

 Mgombea wa Ubunge wa jimbo la Kinondoni, Iddi Azzan akizungumza wakati akinadi sera za chama Cha Mapinduzi,CCM  mbele ya wanaCCM wa mtaa wa Kisiwani, Kata ya  Ndugumbi jana jijini Dar es Salaam na kuaidi kuwa endapo atachaguliwa kurudi katika kiti chake kuwa atatatua tatizo la maji linalowakabili wananchi wa kata hiyo.  Mgombea wa Ubunge wa jimbo la Kinondoni, Iddi Azzan akiwa na Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Kinondoni, Marry Kalisinje wakati  wakati mbunge wa Kinondoni...

 

9 years ago

MillardAyo

Azam FC yaiadhibu Maji Maji FC Songea, Kavumbagu na Ame Ally wapachika magoli (+Pichaz)

Ligi Kuu soka Tanzania bara imeendelea leo Jumapili ya December 20 kwa michezo mitatu kupigwa. Dar Es Salaam katika uwanja wa Karume JKT Ruvu walikuwa wenyeji wa Coastal Union wakati Mbeya City walikuwa wenyeji wa Mgambo JKT. Wakati uwanja wa Maji Maji Songea, Azam FC walikuwa wageni wa Maji Maji FC. Mchezo kati ya Maji […]

The post Azam FC yaiadhibu Maji Maji FC Songea, Kavumbagu na Ame Ally wapachika magoli (+Pichaz) appeared first on TZA_MillardAyo.

 

10 years ago

Vijimambo

NAIBU WAZIRI WA MAJI MHE. AMOS MAKALLA ATEMBELEA NA KUKAGUA MIRADI YA MAJI MUFINDI NA SONGEA

Naibu Waziri wa Maji Mh. Amos Makalla akisalimiana na viongozi wa Chama cha Mapinduzi Wilayani Mufindi mara baada ya kuwasili.
Naibu Waziri wa Maji,Mh Amos Makalla amefanya ziara ya kikazi wilaya ya Mufindi na Songea. Akiwa wilayani Mufindi, Mh Makalla amekagua mradi mkubwa wa Maji wa ikilimanzoo na kuelekeza mkandarasi aukamilishe haraka.  Aidha Naibu Waziri huyo wa Maji amekagua na kutoa cheti kwa jumuiya ya watumia maji Mkongotema na Magingo (MAMKO). Leo Ijumaa  ataendelea na ziara yake...

 

10 years ago

Michuzi

MICHEZO YA MAJESHI YA FUNGULIWA RASMI LEO KATIKA UWANJA WA MAJI MAJI SONGEA MKOANI RUVUMA

Vikosi mbali mbali ya Majeshi vikiwa vimejipanga tayari kwa kungia uwanjani kwa ajili ya ufunguzi wa michezo ya majeshi 2015.  Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma ambaye pia ni mkuu wa Wilaya ya Songea Prof. Nomarn Sigalla King akisalimiana na wachezaji wa timu ya jeshi kutoka Mtwara.

Na Amon Mtega ,SONGEA
MICHEZO ya majeshi inayoshirikisha vikosi mbalimbali vya ulinzi na usalama briged ya kanda ya kusini imefunguliwa rasmi na kaimu mkuu wa mkoa wa Ruvuma ambaye pia ni mkuu wa wilaya ya Songea ,Pr...

 

9 years ago

MillardAyo

Kutoka Songea Pichaz 6 za maandalizi ya timu za Maji Maji FC na Azam FC kuelekea mchezo dhidi yao

Kuelekea mchezo wa Ligi Kuu soka Tanaznia bara kati ya Maji Maji FC ya Songea dhidi ya klabu ya Azam FC ya Dar Es Salaam, imenifikia ripoti ya mazoezi mwisho kutokea Songea. Huu unatajwa kuwa mchezo mgumu kiasi kwani wenyeji Maji Maji hawataki kurejea rekodi ya kufungwa idadi kubwa ya magoli. Pichaz sita za maandalizi […]

The post Kutoka Songea Pichaz 6 za maandalizi ya timu za Maji Maji FC na Azam FC kuelekea mchezo dhidi yao appeared first on TZA_MillardAyo.

 

10 years ago

Michuzi

KLABU YA MAJI MAJI YA SONGEA YATANGAZA KIKOSI CHAKE TAYARI KWA LIGI DARAJA LA KWANZA

http://2.bp.blogspot.com/-IvS9l5rRhZ0/U5cIFqx0uYI/AAAAAAAAGdc/_crReK44TWM/s1600/SAM_1265.JPGAfisa habari wa klabu ya Maji Maji Nathan Mtega----------------- Uongozi Wa Klabu Ya Maji Maji Ya Mjini Songea Mkoani Ruvuma Unatangaza Kikosi Cha Wachezaji 26 Waliosajiriwa Kwa Ajili Ya Mashindano Ya Soka Ligi Daraja Kwanza Msimu Wa 2014-15.

Kikosi Hicho Ambacho Kitaingia Kambini Muda Wowote Kuanzia Sasa Kina Wachezaji Wapya 12 Ambaoni Osward Issa,Samir Said,Emmanuel Maganga,Ally Mohamed,Kudra Omary,Saud Fundikira,Mrisho Said,Idd Kipagule,Mohamed Omary,Yohana Kumburu Na Msafiri Abdalah Na...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Majembe wailalamikia manispaa ya Songea

KAMPUNI ya Majembe Auction Mart imeilalamikia halmashauri ya Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma kwamba haijatoa elimu kwa wafanyabiashara juu ya ulipaji wa ushuru (Service Levy), kabla kampuni hiyo haijaanza kazi...

 

11 years ago

Michuzi

MANISPAA YA SONGEA YAPATA MSAADA WA GARI LA UKIMWI

 : Katibu Tawala Mkoa wa Ruvuma Hassan Bendeyeko (kushoto) akikabidhi funguo za gari jipya kwa Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Songea Naftali Saioloyi (kulia).Gari hilo aina ya Landcruiser Station Wagon lenye namba DFPA 160 limetolewa kwa msaada wa shirika la Waltereed Program kusaidia utoaji wa huduma za UKIMWI .Tukio la makabidhiano imefanyika leo katika ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma. Gari hili ndilo lililokabidhiwa leo kwa Halmashauri ya Manispaa ya Songea likiwa ni...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani