WAKAZI WA DUNGUMBI WAAIDIWA KUTAKULIWA TATIZO LA MAJI
![](http://1.bp.blogspot.com/-5Qw2pyTrAXA/VguepsZkUAI/AAAAAAAH73E/-w94tBYgrX8/s72-c/IMG_0782.jpg)
Mgombea wa Ubunge wa jimbo la Kinondoni, Iddi Azzan akizungumza wakati akinadi sera za chama Cha Mapinduzi,CCM mbele ya wanaCCM wa mtaa wa Kisiwani, Kata ya Ndugumbi jana jijini Dar es Salaam na kuaidi kuwa endapo atachaguliwa kurudi katika kiti chake kuwa atatatua tatizo la maji linalowakabili wananchi wa kata hiyo.
Mgombea wa Ubunge wa jimbo la Kinondoni, Iddi Azzan akiwa na Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Kinondoni, Marry Kalisinje wakati wakati mbunge wa Kinondoni...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi25 Sep
WAKAZI WA MANISPAA YA SONGEA KUONDOKANA NA TATIZO LA MAJI
![http://mkumbaru.files.wordpress.com/2012/11/maji.jpg?w=698](http://mkumbaru.files.wordpress.com/2012/11/maji.jpg?w=698)
WANANCHI wa Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma,wataondokana na tatizo la upatikanaji wa maji lililokuwa likiwakumba kwa muda mrefu hususani kipindi cha kiangazi baada ya kuanza kwa ujenzi wa mradi mkubwa wa kitega maji ambao unatekelezwa na kampuni ya Sinani Building Contactors Ltd yenye makao yake makuu mkoani Mtwara katika eneo la Ruhira mjini humo ambapo utagharimu kiasi cha zaidi ya shilingi Bilioni mbili mpaka kukamilika kwake.
Hayo yalisemwa...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-mmaBFNoqnLU/VAR4RML0gLI/AAAAAAAGZ8Q/AXPnA7sVq3w/s72-c/unnamed%2B(18).jpg)
NAIBU WAZIRI MAJI ALIVALIA NJUGA TATIZO LA MAJI CHAKWALE
“Kumekuwa na ugumu na uzembe wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa kuleta fedha za kutekeleza ...
9 years ago
StarTV23 Nov
Uharibifu Vyanzo Vya Maji Mto Zigi vya waweza kusababisha tatizo la maji Tanga
Mamlaka ya majisafi na majitaka Tanga UWASA imesema uharibifu wa mazingira katika vyanzo vya maji vya mto Zigi unaweza kusababisha jiji hilo kuingia kwenye tatizo la maji.
Tayari Mamlaka hiyo imeanzisha Umoja wa Wakulima hifadhi Mazingira Kihuwhi Zigi, UWAMAKIZI kama harakati ya kukabiliana na uchimbaji wa madini, kilimo na ukataji wa miti kwa ajili ya mbao.
Jiji la Tanga hutegemea maji ya mto zigi kama chanzo pekee cha maji na shughuli za kibinadamu kwenye vyanzo vya mto huo huenda...
10 years ago
Uhuru Newspaper17 Mar
Shekifu alia na tatizo la maji
MBUNGE wa Lushoto (CCM), Henry Shekifu, amelalamikia tatizo la maji mkoa wa Tanga na kuilaumu serikali kwa kutoa ahadi za mara kwa mara huku ikishindwa kuzitekeleza.
Akiuliza swali bungeni mjini hapa jana, Shekifu alisema kwa muda mrefu serikali iliahidi kupeleka maji katika wilaya ya Muheza lakini haijatimiza.
Aidha, Shekifu alitaka kuhakikishiwa kama kuna fungu lolote lililotengwa kwa ajili ya utekelezaji miradi ya maji katika wilaya hiyo kwenye bajeti ya mwaka huu wa fedha.
“Serikali...
11 years ago
Habarileo24 Mar
Kikwete: Tatizo la maji Handeni litakwisha
RAIS Jakaya Kikwete amesema licha ya kwamba amebakiza mwaka na miezi minane kabla ya kuondoka madarakani, atahakikisha tatizo la maji wilayani Handeni linapatiwa ufumbuzi wa kudumu.
11 years ago
Tanzania Daima10 Jul
Tatizo la maji kubaki historia — Dawasco
DAR ES SALAAM ni miongoni mwa majiji ambayo yamekuwa yakikua kwa kasi barani Afrika. Ukuaji huo umekuwa ukienda sambamba na ongezeko la idadi ya watu wanaokuja kutembea na kuishi jijini...
11 years ago
Mwananchi04 May
Tatizo la maji Dar lazidi kukua
10 years ago
Habarileo17 May
Miundombinu ya kutibu maji bado tatizo
SERIKALI imesema hali ya ubora wa maji si nzuri kwa sababu sio sehemu zote zina miundombinu ya kutibu maji.
9 years ago
BBCSwahili12 Oct
#Shinyanga:Wenyeji waelezea tatizo la maji