Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MANISPAA YA SONGEA YAPATA MSAADA WA GARI LA UKIMWI

 : Katibu Tawala Mkoa wa Ruvuma Hassan Bendeyeko (kushoto) akikabidhi funguo za gari jipya kwa Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Songea Naftali Saioloyi (kulia).Gari hilo aina ya Landcruiser Station Wagon lenye namba DFPA 160 limetolewa kwa msaada wa shirika la Waltereed Program kusaidia utoaji wa huduma za UKIMWI .Tukio la makabidhiano imefanyika leo katika ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma. Gari hili ndilo lililokabidhiwa leo kwa Halmashauri ya Manispaa ya Songea likiwa ni...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Majembe wailalamikia manispaa ya Songea

KAMPUNI ya Majembe Auction Mart imeilalamikia halmashauri ya Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma kwamba haijatoa elimu kwa wafanyabiashara juu ya ulipaji wa ushuru (Service Levy), kabla kampuni hiyo haijaanza kazi...

 

10 years ago

Michuzi

WAKAZI WA MANISPAA YA SONGEA KUONDOKANA NA TATIZO LA MAJI

http://mkumbaru.files.wordpress.com/2012/11/maji.jpg?w=698 Na Julius Konala wa demasho.com,Songea.
WANANCHI wa Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma,wataondokana na tatizo la upatikanaji wa maji lililokuwa likiwakumba kwa muda mrefu hususani kipindi cha kiangazi baada ya kuanza kwa ujenzi wa mradi mkubwa wa kitega maji ambao unatekelezwa na kampuni ya Sinani Building Contactors Ltd yenye makao yake makuu mkoani Mtwara katika eneo la Ruhira mjini humo ambapo utagharimu kiasi cha zaidi ya shilingi Bilioni mbili mpaka kukamilika kwake.
Hayo yalisemwa...

 

9 years ago

Michuzi

WATUMISHI WA MANISPAA YA ILALA WAFUNDWA JUU YA MAAMBUKIZI YA VVU,NA UKIMWI

 Mwanasheria wa Manispaa ya Ilala, Pamela Mgarula akizungumza na waandishi habari hawapo pichani juu ya semina ya kuwezesha kutoa elimu ya  kuwakumbusha wafanyakazi kutambua umhimu kujikinga na VVU na Ukimwi iliyofanyika leo katika ukumbi wa Arnatoglo jijini Dar es Salaam. Daktari  Kafura Williamu wa Kitengo cha Magonjwa yasiyo ya kuambukiza  Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, akizungumza na waandishi habari  juu ya semina ya kuwezesha kutoa elimu ya  kuwakumbusha wafanyakazi kutambua umhimu...

 

9 years ago

Habarileo

‘Manispaa iwe na gari zake za taka’

SERIKALI imetakiwa kurudisha utaratibu wa Manispaa kuwa na magari ya kuzoa taka na kuajiri watumishi na si kuachia kampuni binafsi kufanya kazi hiyo hali inayosababisha miji mingi kuwa michafu tofauti na miaka ya nyuma.

 

11 years ago

Mwananchi

TBC yapata gari la kisasa la matangazo

Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), limepatiwa gari jipya la kisasa la kurushia matangazo ya nje (OB Van), ambalo kwa mara ya kwanza litatumiwa kwenye matangazo ya sherehe za miaka. 50 ya Muungano wa Tanzania kesho kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam.

 

10 years ago

Vijimambo

SAMAEL ACADEMY PEMBA YAPATA MSAADA

MKUU wa Chuo cha ZCBE Zanzibar, Abdull-wahabi Said Bakar akielezea namna ya kuongeza ushirikiano baina ya chuo chake na taasisi ya Samael Academy, kwenye mkutano maalumu wa kuangalia kazi zinazofanya na taasisi hiyo.

AFISA mdhamini wizara ya Habari Utamaduni Utalii na Michezo Pemba Ali Nassor Mohamed, akizungumza kwenye mkutano maalumu wa kuangalia shughuli zinazofanywa na taasisi ya Samael Academy, kulia ni Mwenyekiti wa taasisi hiyo sheikh Nassor Said Al-rawahy na kusoto ni mkuu wa chuo cha...

 

5 years ago

Michuzi

ZANZIBAR YAPATA MSAADA WA MASHINE ZA KUPIMA JOTO

 Mfanyabiashara Said Nasser Nassor {Bopar} Kushotoakimkabidhi Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi Mashine za Kupimia Joto kukamilisha ahadi aliyotoa Wiki iliyopita ya mchango wake wa kusaidia Vifaa kwenye mapambano dhidi ya Virusi vya Corona. Balozi Seif akiangalia moja ya Mashine hiyo ya kupimia Jotola mwili inayosaidia kutoa viashiria vya kutambua matatizo ya maradhi kwenye Mwili wa Mwanaadamu.Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddiakitoa shukrani mara...

 

5 years ago

Michuzi

MANISPAA YA TEMEKE YAPOKEA MSAADA WA VIFAA VYA KUKABILIANA NA CORONA

 Meya wa Manispaa ya Temeke jijini Dar es Salaam Alhaj Abdallah Chaurembo (wa pili kulia)akipokea msaada wa barakoa, glovu pamoja na Sanitizer  kutoka kwa Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya General Petroleum Ltd Hayatulah Khan(wa tatu kushoto) kwa ajili ya kugawa kwa watumishi na watendaji wa manispaa hiyo.Msaada huo umekabidhiwa leo ikiwa ni mkakati wa kampuni hiyo kuunga mkono jitihada za Serikali ya Awamu ya Tano katika kukabiliana na ugonjwa Covid-19  unaosababishwa na virusi vya Corona.
...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani