Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SAMAEL ACADEMY PEMBA YAPATA MSAADA

MKUU wa Chuo cha ZCBE Zanzibar, Abdull-wahabi Said Bakar akielezea namna ya kuongeza ushirikiano baina ya chuo chake na taasisi ya Samael Academy, kwenye mkutano maalumu wa kuangalia kazi zinazofanya na taasisi hiyo.

AFISA mdhamini wizara ya Habari Utamaduni Utalii na Michezo Pemba Ali Nassor Mohamed, akizungumza kwenye mkutano maalumu wa kuangalia shughuli zinazofanywa na taasisi ya Samael Academy, kulia ni Mwenyekiti wa taasisi hiyo sheikh Nassor Said Al-rawahy na kusoto ni mkuu wa chuo cha...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

BENKI YA POSTA TAWI LA DODOMA YAKABIDHI MSAADA WA KOMYUTA KATIKA SHULE YA TUMAINI ENGLISH MEDIUM ACADEMY

 Meneja wa Benki ya Posta Tanzania Tawi la Dodoma Twaha Halfan (kushoto ) akimkabidhi Meneja wa Tumaini English Medium Academy ya Nkhungu Dodoma Jaffety Biseko Moja ya Kompyuta kati ya 10 ambazo zote kwa ujumla zina Thamani zaidi ya 4mil, kwa ajili ya kuimalisha darasa la kompyuta shuleni hapo hususani katika somo la tehama. Mwalimu Tabitha Isanzu wa somo la Tehama katika  chumba cha komputa katika shule ya Tumaini English Medium Academy ya Nkhungu Dodoma, akiwaelekeza wanafunzi namna ya...

 

10 years ago

BBCSwahili

Wakulima wa karafuu,Pemba waomba msaada

Wakulima Pemba wanaitaka Serikali yao kufanya juhudi kwa ajili ya kuendeleza zao ambalo wamekuwa wakizalisha kwa miaka mingi.

 

10 years ago

Michuzi

COASTAL UNION YAPATA MAPOKEZI MAKUBWA JIJINI TANGA IKITOKEA PEMBA ILIKOWEKA KAMBI KUJIANDAA NA LIGI KUU


Askari wa usalama barabarani akiongoza msururu wa mashabiki wa Coastal Union ilipowasili jijini Tanga ikitokea Pemba ilikoweka kambi ya mwezi mzima kujiandaa na ligi kuu ya VODACOM

Mashabiki wa Tanga wakiipokea timu yao ya Coastal UnionMKUU wa wilaya ya Tanga, Mhe Halima Dendego leo ameongoza mapokezi ya timu ya Coastal Union yaliyofanyika kwenye uwanja wa Ndege jijini Tanga ambapo timu hiyo ilikuwa ikitokea Visiwani Pemba ilipokuwa imeweka kambi kwa muda wa mwezi mzima.Akizungumza wakati wa...

 

5 years ago

Michuzi

ZANZIBAR YAPATA MSAADA WA MASHINE ZA KUPIMA JOTO

 Mfanyabiashara Said Nasser Nassor {Bopar} Kushotoakimkabidhi Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi Mashine za Kupimia Joto kukamilisha ahadi aliyotoa Wiki iliyopita ya mchango wake wa kusaidia Vifaa kwenye mapambano dhidi ya Virusi vya Corona. Balozi Seif akiangalia moja ya Mashine hiyo ya kupimia Jotola mwili inayosaidia kutoa viashiria vya kutambua matatizo ya maradhi kwenye Mwili wa Mwanaadamu.Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddiakitoa shukrani mara...

 

11 years ago

Michuzi

MANISPAA YA SONGEA YAPATA MSAADA WA GARI LA UKIMWI

 : Katibu Tawala Mkoa wa Ruvuma Hassan Bendeyeko (kushoto) akikabidhi funguo za gari jipya kwa Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Songea Naftali Saioloyi (kulia).Gari hilo aina ya Landcruiser Station Wagon lenye namba DFPA 160 limetolewa kwa msaada wa shirika la Waltereed Program kusaidia utoaji wa huduma za UKIMWI .Tukio la makabidhiano imefanyika leo katika ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma. Gari hili ndilo lililokabidhiwa leo kwa Halmashauri ya Manispaa ya Songea likiwa ni...

 

11 years ago

Michuzi

HOSPITALI YA MUFINDI YAPATA MSAADA WA VITI VYA KUBEBA WAGONJWA

 Kaimu Mganga Mkuu wa Wilaya ya Mufindi, Dk Goodluck Mlimbila akijaribu kusukuma moja kati ya viti 33 vilivyotolewa na asasi ya MUVIMA kwa ajili ya hospitali ya wilaya ya Mufindi. Anayefurahi katikati ni mkurugenzi mwenza wa MUVIMA, Albert Chalamila akipongezwa na Katibu wa Afya wa Wilaya hiyo, Atupekisye Mwakifamba Albert Chalamila na baadhi ya wanahabari wakiangalia hali ilivyo ndani ya wodi ya wazazi ya hospitali hiyo; hapa wanaonekana baadhi ya wajawazito wanaolala chini kutokana na...

 

11 years ago

Michuzi

Shule ya Motamburu Moshi yapata msaada wa vitabu toka Airtel

 Mkuu wa wilaya ya Rombo kulia akimkabidhi mwanafunzi Happnes John wa shule ya sekondari motamburu moja ya vitabu vya sayansi vilivyo tolewa na Airtell katika mpango wa shule yetu kwa shule ya sekondari Motamburu iliyopo Rombo mkoani Kilimanjaro. Mkuu wa wilaya ya Rombo kulia akimkabidhi mwalimu mkuu(Abel Masuki kushoto) wa shule ya sekondari motamburu baadhi ya vitabu vya sayansi vilivyo tolewa na Airtell katika mpango wa shule yetu shuleni hapo ======  ====== ======= Shule ya Motamburu...

 

10 years ago

GPL

SEKONDARI YA MAKUMBUSHO YAPATA MSAADA WA VIFAA VYA MAABARA YA KISASA YA KOMPYUTA

Wanafunzi wa kidato cha tatu wa Shule ya Sekondari ya Makumbusho,Mariam Rajabu na Faraja Abdallah wakimsikiliza  Mkuu wa Kitengo cha Vodacom Foundation, Renatus Rwehikiza (kulia) akiwafafanulia jambo kuhusiana na matumizi ya kompyuta mpakato zilizokabidhiwa na mfuko huo kwa kushirikiana na Samsung ikiwa ni msaada kwa wanafunzi wa shule hiyo kuweza kupata mafunzo ya masomo mbalimbali kupitia kompyuta.
Baadhi ya wanafunzi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani