Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


HOSPITALI YA MUFINDI YAPATA MSAADA WA VITI VYA KUBEBA WAGONJWA

 Kaimu Mganga Mkuu wa Wilaya ya Mufindi, Dk Goodluck Mlimbila akijaribu kusukuma moja kati ya viti 33 vilivyotolewa na asasi ya MUVIMA kwa ajili ya hospitali ya wilaya ya Mufindi. Anayefurahi katikati ni mkurugenzi mwenza wa MUVIMA, Albert Chalamila akipongezwa na Katibu wa Afya wa Wilaya hiyo, Atupekisye Mwakifamba Albert Chalamila na baadhi ya wanahabari wakiangalia hali ilivyo ndani ya wodi ya wazazi ya hospitali hiyo; hapa wanaonekana baadhi ya wajawazito wanaolala chini kutokana na...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

UWAZI LATOA MSAADA WA VITI VYA WAGONJWA, MOI

Afisa Tawala wa Global Publishers, Soud Kivea (katikati) akizungumza jambo mbele ya wanahabari (hawapo pichani). Kutoka kushoto ni Afisa Uhusiano wa Moi, Patrick Mvungi, Afisa Uhusianio wa Global, Soud Kivea na Meneja Uhusiano wa Moi, Juma Almasi. Viongozi hao wakisikiliza maswali yaliyokuwa yakiulizwa na wanahabari (hawapo pichani). Waandishi wa habari wakichukua habari ya tukio… ...

 

9 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU AKABIDHI MSAADA WA MAGARI YA WAGONJWA KWA HOSPITALI ZA WASSO NA ENDULENI

 Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Florens Turuku (mwenye tai) akieleza umuhimu wa magari ya wagonjwa kwa Hospitali za Wasso na Enduleni za Wilayani Ngorongoro mkoani Arusha wakati wa kukabidhi msaada wa magari hayo kwa niaba ya Waziri Mkuu, Mizengo Pinda ambaye ameyapta kutoka kwa wafadhili wa nchini Japan, leo Jijini Dar es Salaam, Tarehe 24 Agosti, 2015. Wakuu wa Idara na Vitengo Ofisi ya Waziri Mkuu wakimsikiliza Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Florens Turuku (mwenye tai) akieleza...

 

11 years ago

Michuzi

Watoto wenye Ulemvu Moshi wapokea msaada wa Viti maalum vya kutembelea

Watoto wenye ulemavu wa kituo cha House of Hope kilichopo mkoani Moshi wamepokea msaada wa fedha zitakazo wawezesha kununua viti maalum vya kutembelea vyenye thamani ya shilingi milioni 5 zilizotolewa na kampuni ya Mawasiliano ya Vodacom Tanzania kwa kituo hicho kilichopo chini ya Hospitali ya CCBRT.   Akizungumza wakati wa zoezi la kukabidhi Mkuu wa Vodacom Kanda ya Kaskazini, Philemon Chacha amesema viti hivyo maalum vya kutembelea vimetolewa kwaajili ya kuwasaidia watoto wenye ulemavu...

 

10 years ago

Michuzi

HOSPITALI YA KAIRUKI YAPATA TUZO YA UBORESHAJI VIWANGO VYA HUDUMA YA AFYA

 Mkurugenzi Mkuu wa Hospital ya Kairuki, Dk. Asser Mchomvu akiwa amebeba tuzo aliyokabidhiwa na na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Mohammed Gharib Bilal (katikati). Kushoto ni Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dk. Seif Rashid.
Picha ya pamoja.

Na Mwandishi Wetu 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal, ameukabidhi uongozi wa Hospitali ya Kairuki (KH) tuzo ya waliofanya vizuri katika vigezo mbalimbali vya uboreshaji viwango vya huduma...

 

10 years ago

Michuzi

WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA TANZANIA WAKABIDHI MSAADA WA VYANDARUA KWA AJILI YA HOSPITALI NANE ZINAZOLAZA WAGONJWA UNGUJA NA PEMBA.

 Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Dkt. Mahadhi Juma Maalim akimkabidhi Waziri wa Afya wa Zanzibar Rashid Seif Suleiman msaada wa  Vyandarua kwa ajili ya kumaliza maradhi ya malaria  Zanzibar katika hafla iliyofanyika Wizara ya Afya Mnazimmoja. Waziri wa Afya Rashid Seif Suleiman akitoa neno la shukrani baada ya kupokea  msaada wa vyandarua ambao utatumika katika Hospital nane zinazolaza wagonjwa  Unguja na Pemba.Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa...

 

10 years ago

GPL

SEKONDARI YA MAKUMBUSHO YAPATA MSAADA WA VIFAA VYA MAABARA YA KISASA YA KOMPYUTA

Wanafunzi wa kidato cha tatu wa Shule ya Sekondari ya Makumbusho,Mariam Rajabu na Faraja Abdallah wakimsikiliza  Mkuu wa Kitengo cha Vodacom Foundation, Renatus Rwehikiza (kulia) akiwafafanulia jambo kuhusiana na matumizi ya kompyuta mpakato zilizokabidhiwa na mfuko huo kwa kushirikiana na Samsung ikiwa ni msaada kwa wanafunzi wa shule hiyo kuweza kupata mafunzo ya masomo mbalimbali kupitia kompyuta.
Baadhi ya wanafunzi...

 

10 years ago

Michuzi

HOSPITALI YA POLISI KILWA ROAD YAPATA VIFAA VYA CHUMBA CHA KUHIFADHIA MAITI


Balozi wa Misri Nchini, Hossam Moharam (kulia), akimkabidhi Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwamini Malemi (kushoto), kontena lenye vifaa vya chumba cha kuhifadhia maiti katika Hospitali ya Jeshi la Polisi Kilwa Road. Wa kwanza kushoto ni Naibu Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, Abdulrahmani Kaniki.

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwamini Malemi (kushoto), akiongozana na Balozi wa Misri Nchini, Hossam Moharam (kulia), kuelekea kwenye jengo...

 

10 years ago

Dewji Blog

UNFPA wakabidhi msaada wa gari la wagonjwa, jengo na vifaa vya upasuaji Geita

DSC_0048

Naibu Waziri ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mh. Kassim Majaliwa (wa pili kulia) akisalimiana na Meneja Biashara Idara ya Uhusiano wa Vodacom Tanzania, Grace Lyon mara baada ya kuwasili kwenye maadhimisho ya siku ya kimataifa ya kutokomeza Fistula yaliyofanyika kitaifa  katika Wilaya Mbogwe, Geita. Kulia ni  Kaimu Mkuu wa wilaya ya Mbogwe, Amani Mwenegoha na Kushoto ni Naibu Ofisa Mtendaji Mkuu wa Hospitali ya CCBRT, Haika Mawalla na wa  pili kushoto...

 

9 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU AKABIDHI MAGARI YA KUBEBA WAGONJWA

 WAZIRI MKUU Mizengo Pinda(Pichani) amekabidhi magari mawili ya kubeba wagonjwa yenye thamani ya sh. milioni 150 kwa uongozi wa Wilaya ya Ngorongoro ili yapelekwe kwenye kituo cha afya cha Enduleni na hospitali ya Wasso ambayo inatumika kama hospitali ya wilaya.
Waziri Mkuu amekabidhi magari hayo ikiwa ni utekelezaji wa ahadi yake aliyoitoa Septemba 2013 alipofanya ziara ya kikazi ya mkoa wa Arusha na kubaini adha ya usafiri iliyokuwa ikiwapata wakazi wa kata za Wasso na Enduleni zilizoko...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani