WAZIRI MKUU AKABIDHI MAGARI YA KUBEBA WAGONJWA
![](http://1.bp.blogspot.com/-evwpp3qaA_c/Ve7QGJ4hoBI/AAAAAAAH3Vw/I3dlwhMQSuw/s72-c/Mizengo-Pinda18.jpg)
WAZIRI MKUU Mizengo Pinda(Pichani) amekabidhi magari mawili ya kubeba wagonjwa yenye thamani ya sh. milioni 150 kwa uongozi wa Wilaya ya Ngorongoro ili yapelekwe kwenye kituo cha afya cha Enduleni na hospitali ya Wasso ambayo inatumika kama hospitali ya wilaya.
Waziri Mkuu amekabidhi magari hayo ikiwa ni utekelezaji wa ahadi yake aliyoitoa Septemba 2013 alipofanya ziara ya kikazi ya mkoa wa Arusha na kubaini adha ya usafiri iliyokuwa ikiwapata wakazi wa kata za Wasso na Enduleni zilizoko...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziWAZIRI MKUU AKABIDHI MSAADA WA MAGARI YA WAGONJWA KWA HOSPITALI ZA WASSO NA ENDULENI
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-OeakFjEOlkE/Xql_jawsJJI/AAAAAAALokw/eZKlsUrMR-cTvrzUb4A12A24yJklMrXHACLcBGAsYHQ/s72-c/PMO_0497-1AA-768x512.jpg)
WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AKABIDHI MAGARI 10 YA KUBEBEA WAGONJWA KWA WABUNGE
![](https://1.bp.blogspot.com/-OeakFjEOlkE/Xql_jawsJJI/AAAAAAALokw/eZKlsUrMR-cTvrzUb4A12A24yJklMrXHACLcBGAsYHQ/s640/PMO_0497-1AA-768x512.jpg)
5 years ago
MichuziNAIBU WAZIRI WA UJENZI ELIAS KWANDIKA AKABIDHI GARI LA WAGONJWA KITUO CHA AFYA MBIKA USHETU
Mbunge wa Jimbo la Ushetu Mhe. Elias Kwandikwa ambaye ni Naibu Waziri wa Ujenzi akiwa ndani ya gari la Wagonjwa ‘Ambulance’ iliyotolewa na Serikali kwa ajili ya kituo cha afya cha Mbika kata ya Ushetu. Na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Mbunge wa Jimbo la Ushetu Mhe. Elias Kwandikwa ambaye ni Naibu Waziri wa Ujenzi amekabidhi gari la Wagonjwa ‘Ambulance’lililotolewa na Wizara ya afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kwa ufadhili wa Global Fund - RSSH kwa ajili ya kituo cha afya...
10 years ago
Michuzi03 May
WAZIRI MKUU AKABIDHI MADAWATI 45 KIEMBESAMAKI
WAZIRI MKUU Mizengo Pinda ameahidi kuchangia madawati 135 na viti vyake kwenye shule ya msingi Kiembesamaki iliyoko wilaya ya Magharibi mkoa wa Mjini Magharibi ikiwa ni mwitikio wa maombi aliyopewa na shule hiyo.
Ametoa ahadi hiyo jana (Jumamosi, Mei 2, 2015), wakati akikabidhi msaada wa madawati 45 na viti vyake yenye thamani ya sh. milioni 3.83/- yaliyotolewa na kampuni ya Jambo Plastics ya Dar es Salaam ili kupunguza uhaba wa madawati...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-beVSrHHh7zs/XmFW7g0gPkI/AAAAAAALhak/amo0aZJZatQvIMse8bCylaAXcClNKJZewCLcBGAsYHQ/s72-c/1.jpg)
WAZIRI MKUU AKABIDHI MATREKTA 19 KWA WAKULIMA
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amekabidhi matreka 19 yenye thamani ya sh. bilioni 1.520 yaliyolewa kwa mkopo na Benki za NMB na CRDB kwa ajili ya wakulima wa mkonge wanaounda Vyama vya Msingi (AMCOS) vinne vya kilimo cha mkonge.
Ameyasema hayo leo(Alhamisi, Machi 5, 2020) baada ya kutembelea eneo eneo la shamba la mkonge la wakulima wadogo Mwelya Sisal Estate na kujionea shughuli za za usindikaji mkonge na kukabidhi matrekta kwa wakulima.
Benki ya NMB imetoa matrekta 11 na matera 22 yenye...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-IM1EgQqdeL0/XtaVQJXZglI/AAAAAAALsW0/UFsjlDclb7Q-BK954G2i9SkkWbN2vjO_ACLcBGAsYHQ/s72-c/PMO_1982-768x500.jpg)
WAZIRI MKUU AKABIDHI NYUMBA 103 KWA IDARA YA UHAMIAJI
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameikabidhi Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi nyumba 103 zenye gharama ya zaidi ya sh. bilioni tano kwa ajili ya makazi ya Maafisa na Askari wa Idara ya Uhamiaji nchini zilizojengwa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) katika eneo la Iyumbu jijini Dodoma ikiwa ni utekelezaji wa uamuzi ulitolewa na Rais Dkt. John Pombe Magufuli.
Baada ya kukabidhi nyumba hizo, Waziri Mkuu amesema kwamba makazi hayo yawe chachu...
11 years ago
MichuziHOSPITALI YA MUFINDI YAPATA MSAADA WA VITI VYA KUBEBA WAGONJWA