NAIBU WAZIRI WA UJENZI ELIAS KWANDIKA AKABIDHI GARI LA WAGONJWA KITUO CHA AFYA MBIKA USHETU
Mbunge wa Jimbo la Ushetu Mhe. Elias Kwandikwa ambaye ni Naibu Waziri wa Ujenzi akiwa ndani ya gari la Wagonjwa ‘Ambulance’ iliyotolewa na Serikali kwa ajili ya kituo cha afya cha Mbika kata ya Ushetu. Na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Mbunge wa Jimbo la Ushetu Mhe. Elias Kwandikwa ambaye ni Naibu Waziri wa Ujenzi amekabidhi gari la Wagonjwa ‘Ambulance’lililotolewa na Wizara ya afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kwa ufadhili wa Global Fund - RSSH kwa ajili ya kituo cha afya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziNAIBU WAZIRI WA AFYA ATEMBELEA WAGONJWA WA MARADHI YA KIPIDUPINDU KATIKA KITUO CHA AFYA KARAKANA
5 years ago
Michuzi
KITUO CHA AFYA CHA MAPERA KIMEPATA GARI LA KUBEBEA WAGONJWA

KITUO cha Afya Mapera kilichopo katika Halmashauri ya wilaya Mbinga mkoani Ruvuma, kimepata gari la wagonjwa(Ambulance) iliyonunuliwa na Halmashauri hiyo ili kurahisisha usafiri kwa wagonjwa watakohitaji na kupewa rufaa kwenda Hospitali ya wilaya Mbinga na Rufaa ya mkoa Songea.
Akikabidhi gari hilo kwa Mganga Mkuu wa kituo cha Afya Mapera,Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Mbinga Juma Mnwele alisema, gari hilo limetokana na ahadi iliyotolewa na Waziri Mkuu...
9 years ago
Michuzi20 Dec
NAIBU WAZIRI WA AFYA ATEMBELEA KITUO CHA AFYA MIWANI KUONA CHANGAMOTO WANAZOKABILIANA NAZO KITUONI HAPO.



10 years ago
Dewji Blog10 Jul
Mh. Martha Mlata akabidhi mashuka 200 kwa kituo cha afya cha Sokoine
Baadhi ya vifaa tiba na madawa mbalimbali yaliyotolewa msaada na Martha Mosses Mlata kwa kituo cha afya cha Sokoine mjini Singida.
10 years ago
VijimamboRIDHIWANI KIKWETE AKABIDHI AMBULANCE KITUO CHA AFYA CHALINZE
5 years ago
Michuzi
MBUNGE WA CHALINZE AKABIDHI VIFAA TIBA KITUO CHA AFYA MIONO MKOANI PWANI
Akikabidhi vifaa hivyo kwa mkurugenzi wa halmashauri ya chalinze,alisema vifaa hivi vitakuwa neema na mkombozi kwa mahitaji wa afya kutokana na baada ya ukamilikaji wa chumba cha Upasuaji ambacho kitahudumia wananchi wa maeneo hayo hususan wakina mama wakati wa kujifungua na huduma za upasuaji.
"Nimekuwa nikikosa...
5 years ago
MichuziMBUNGE AZZA HILAL AKABIDHI KADI ZA BIMA YA AFYA ALIZOWAKATIA WAZEE KITUO CHA BUSANDA
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Shinyanga,Mhe. Azza Hilal Hamad (CCM) amekabidhi kadi za Bima ya afya iliyoboreshwa (ICHF) alizowakatia wazee 17 waliopo kituo cha kulelea Wazee cha Busanda kilichopo halmashauri ya wilaya ya Shinyanga ili wapate huduma za afya bila usumbufu.
Mhe. Azza amekabidhi kadi hizo za bima ya afya leo Ijumaa Mei 8,2020 alizoahidi kuwalipia alipofika katika kituo hicho Oktoba 5,2019 akiwa ameambatana Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Mhe. Jasinta Mboneko kusherehekea Siku ya...
9 years ago
MichuziNAIBU WAZIRI OFISI YA WAZIRI MKUU (WATU WENYE ULEMAVU) ATEMBELEA KITUO CHA NUNGE, KIGAMBONI
5 years ago
MichuziNAIBU WAZIRI MANYANYA AKABIDHI MALIGHAFI ZINAZOTUMIKA KUTENGENEZA VITAKASA MIKONO (HAND SANITIZER) KWA WIZARA YA AFYA TIRDO NA SIDO LEO