RIDHIWANI KIKWETE AKABIDHI AMBULANCE KITUO CHA AFYA CHALINZE
Mbunge wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete (katikati) akikabidhi gari jipya la kubebea wagonjwa (Ambulance), kwa Mganga Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo,Dk. Mastidia Rutaihwa kwa ajili ya Kituo cha Afya cha Chalinze, katika mkutano wa hadhara uliofanyika mjini Chalinze jioni hii. Wanaoshuhudia kutoka kulia ni Mganga Mkuu wa kituo hicho, Dk. Bamba Victor na Diwani wa Kata ya Bwilingu, Nasa Karama. Muumini wa Dini ya Kikiristo, Heema Said akitoa neno la shukrani kwa Mbunge wa Jimbo la...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziMBUNGE WA CHALINZE AKABIDHI VIFAA TIBA KITUO CHA AFYA MIONO MKOANI PWANI
Akikabidhi vifaa hivyo kwa mkurugenzi wa halmashauri ya chalinze,alisema vifaa hivi vitakuwa neema na mkombozi kwa mahitaji wa afya kutokana na baada ya ukamilikaji wa chumba cha Upasuaji ambacho kitahudumia wananchi wa maeneo hayo hususan wakina mama wakati wa kujifungua na huduma za upasuaji.
"Nimekuwa nikikosa...
11 years ago
Dewji Blog12 Aug
Ridhiwani Kikwete azindua Kisima cha Maji, Lambo katika kijiji cha jamii ya Wafugaji cha Mbala,Chalinze
Mbunge wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwan Kikwete akionozana na akina mama wa jamii ya kimasai waliobeba maji waliyoyateka baada ya mbunge huyo kuzindua kisima cha maji katika Kijiji cha Mbala, Chalinze, Bagamoyo mkoani Pwani jana. Kisima hicho pamoja na lambo la kunyweshea mifugo vimejengwa na Kanisa la Wasabato kwa gharama ya sh. mil. 76. Kushoto ni Kiongozi wa mradi huo, Joseph Chagama na nyuma yake ni Askofu wa Kanisa la Wasabato Jimbo la Mashariki,Mark Malekana. (PICHA NA RICHARD...
10 years ago
Dewji Blog10 Jul
Mh. Martha Mlata akabidhi mashuka 200 kwa kituo cha afya cha Sokoine
Baadhi ya vifaa tiba na madawa mbalimbali yaliyotolewa msaada na Martha Mosses Mlata kwa kituo cha afya cha Sokoine mjini Singida.
Katibu wa jumuiya ya umoja wa wanawake Tanzania (UWT) mkoa wa Singida, Anjela Robert (kulia) akimkabidhi moja nguzo ya kutundikia maji ya drip, kwa ajili ya matumizi katika kituo cha afya cha Sokoine, Kaimu mkurugenzi wa manispaa ya Singida, Omary Kisuda.Katibu Anjela alikabidhi msaada huo uliotolewa na Martha Mosses Mlata uliomgharimu zaidi ya shilingi 5.7...
10 years ago
Michuzi17 Jul
RIDHIWANI KIKWETE KUTETEA KITI CHAKE CHA UBUNGE JIMBO LA CHALINZE, ACHUKUA FOMU LEO
10 years ago
GPLRIDHIWANI KIKWETE KUTETEA KITI CHAKE CHA UBUNGE JIMBO LA CHALINZE, ACHUKUA FOMU LEO
5 years ago
MichuziMBUNGE AZZA HILAL AKABIDHI KADI ZA BIMA YA AFYA ALIZOWAKATIA WAZEE KITUO CHA BUSANDA
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Shinyanga,Mhe. Azza Hilal Hamad (CCM) amekabidhi kadi za Bima ya afya iliyoboreshwa (ICHF) alizowakatia wazee 17 waliopo kituo cha kulelea Wazee cha Busanda kilichopo halmashauri ya wilaya ya Shinyanga ili wapate huduma za afya bila usumbufu.
Mhe. Azza amekabidhi kadi hizo za bima ya afya leo Ijumaa Mei 8,2020 alizoahidi kuwalipia alipofika katika kituo hicho Oktoba 5,2019 akiwa ameambatana Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Mhe. Jasinta Mboneko kusherehekea Siku ya...
5 years ago
MichuziNAIBU WAZIRI WA UJENZI ELIAS KWANDIKA AKABIDHI GARI LA WAGONJWA KITUO CHA AFYA MBIKA USHETU
Mbunge wa Jimbo la Ushetu Mhe. Elias Kwandikwa ambaye ni Naibu Waziri wa Ujenzi akiwa ndani ya gari la Wagonjwa ‘Ambulance’ iliyotolewa na Serikali kwa ajili ya kituo cha afya cha Mbika kata ya Ushetu. Na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Mbunge wa Jimbo la Ushetu Mhe. Elias Kwandikwa ambaye ni Naibu Waziri wa Ujenzi amekabidhi gari la Wagonjwa ‘Ambulance’lililotolewa na Wizara ya afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kwa ufadhili wa Global Fund - RSSH kwa ajili ya kituo cha afya...
10 years ago
MichuziMAMA SALMA KIKWETE ATEMBELEA KITUO CHA AFYA CHA LINDI MJINI NA KUZURU MATAWI YA CCM