RIDHIWANI KIKWETE KUTETEA KITI CHAKE CHA UBUNGE JIMBO LA CHALINZE, ACHUKUA FOMU LEO
Mh. Ridhiwani Kikwete mbunge wa jimbo la Chalinze akisalimiana na Diwania wa Kata ya Bwilingu Bw, Ahmed Masser wakati alipowasili katika eneo la mkutano uliofanyika mji mdogo wa Chalinze jana ukiwa na lengo la kuelezea utekelezaji wa ilani ya Uchaguzi ya CCM uliofanywa na Mbunge huyo kwa kipindi cha mwaka mmoja katika huduma za Afya, Elimu, Maji, Miundombinu, Uchumi, Michezo na amaendeleo mengine ya kijamii.Mh. Ridhiwania Kikwete ametanganza rasmi jana katika mkutano huo nia yake ya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/07/254.jpg)
RIDHIWANI KIKWETE KUTETEA KITI CHAKE CHA UBUNGE JIMBO LA CHALINZE, ACHUKUA FOMU LEO
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-j71gYvxL_YU/VaX_UOqG7rI/AAAAAAAHp04/3w0lk1xbEjY/s72-c/unnamed%2B%25286%2529.jpg)
nyalandu arudi jimboni kutetea kiti chake cha ubunge singida kaskazini
![](http://3.bp.blogspot.com/-j71gYvxL_YU/VaX_UOqG7rI/AAAAAAAHp04/3w0lk1xbEjY/s640/unnamed%2B%25286%2529.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-uM1pXT79C9k/VaX_T-WKXbI/AAAAAAAHp00/i9MqSTZ15sA/s640/unnamed%2B%25287%2529.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-7KbU1pnA5GM/VaX_T7bl5CI/AAAAAAAHp08/y9dDP36ub6A/s640/unnamed%2B%25288%2529.jpg)
11 years ago
Michuzi07 Apr
RIDHIWANI KIKWETE ASHINDA KWA KISHINDO UBUNGE WA JIMBO LA CHALINZE
![](https://2.bp.blogspot.com/-K7hEfHq8qac/U0GqM21QUPI/AAAAAAABeag/fu28H1wc3cE/s1600/IMG_7134.jpg)
Na John Bukuku Ridhiwani Kikwete aliyekuwa mgombea ubunge uchaguzi mdogo jimbo la Chalinze wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani kupitia CCM ameibuka kidedea kwa asilimia 86.61 katika uchaguzi huo kwa kuwamwaga wagombea wengine kutoka vyama vinne vya upinzani.
Matokeo hayo rasmi yametangazwa usiku wa kuamkia leo April 7, 2014 majira ya saa nane usiku katika shule ya sekondari Chalinze na Msimamizi...
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-X3SliI1tTo0/Ux6mOJ9LOJI/AAAAAAAFS1M/43tPVoZ_EQc/s72-c/Ready.jpg)
CCM YAMTEUA NDG. RIDHIWANI KIKWETE KUWA MGOMBEA WA UBUNGE KWENYE UCHAGUZI MDOGO JIMBO LA CHALINZE
![](https://4.bp.blogspot.com/-SopthPE7gj0/Ux6YTsJC85I/AAAAAAAAkYk/D48yjAdviPQ/s1600/ridh.jpg)
Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa imemteua Kada wa CCM, Ridhiwani Kikwete kuwa mgombea wake wa Ubunge katika uchaguzi mdogo jimbo la Chalinze kuziba nafasi iliyoachwa wazi na mbunge wa zamani wa jimbo hilo, marehemu Said Mwanamdogo.
Taarifa iliyotolewa na Makao Makuu ya CCM kupitia Idara ya Itikadi na uenezi CCM, imesema wakati uzinduzi wa kampeni za CCM katika uchaguzi huo utafanywa na Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana, kampeni za zitaongozwa na Katibu wa...
10 years ago
Michuzi18 Jul
Steven Nyerere achukua fomu ya kugombea ubunge jimbo la kinondoni na kurudisha leo
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-P1Xb0gJSQsI/Uz27v90t2LI/AAAAAAAFYR0/Ci1fFicJ6bY/s72-c/32.jpg)
RIDHIWANI KIKWETE AUNGURUMA KATA YA BWILINGU NDANI YA JIMBO LA CHALINZE LEO
![](http://1.bp.blogspot.com/-P1Xb0gJSQsI/Uz27v90t2LI/AAAAAAAFYR0/Ci1fFicJ6bY/s1600/32.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-JHa--vPwtD4/Uz28GW4t5OI/AAAAAAAFYSc/FDMqJF4f4ls/s1600/36.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-J9Z8X_rqg-M/Uz278MawsCI/AAAAAAAFYR8/PfCe522vRVs/s1600/23.jpg)
11 years ago
MichuziRIDHIWANI ARUDISHA FOMU ZA UBUNGE CHALINZE