Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAZIRI MKUU AKABIDHI MADAWATI 45 KIEMBESAMAKI

*Aahidi kuchangia madawati 135 na viti vyake
WAZIRI MKUU Mizengo Pinda ameahidi kuchangia madawati 135 na viti vyake kwenye shule ya msingi Kiembesamaki iliyoko wilaya ya Magharibi mkoa wa Mjini Magharibi ikiwa ni mwitikio wa maombi aliyopewa na shule hiyo.
Ametoa ahadi hiyo jana (Jumamosi, Mei 2, 2015), wakati akikabidhi msaada wa madawati 45 na viti vyake yenye thamani ya sh. milioni 3.83/- yaliyotolewa na kampuni ya Jambo Plastics ya Dar es Salaam ili kupunguza uhaba wa madawati...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

mhe mizengo pinda akabidhi madawati skuli ya kiembesamaki, zanzibar

 Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiwa ameketi  katika moja ya madawati  yakisasa aliyo  yapokea kutoka kiwanda cha Jambo Plastics Ltd ya Jijini Dar es salaam kwa ajili ya kuisaidia Skuli ya Kiembe samaki Zanzibar anaye shuhudia katikati waziri wa Fedha wa Zanzibar Mhe. Omari Yusufu Mzee. Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Jambo Plastics Limited Rupa Suchak katika sherehe hizo za kukabidhi zimefanyika katika Skuli ya Kiembesamaki Zanzibar ambako Waziri Mkuu alikuwa Zanzibar kikazi  Waziri Mkuu...

 

10 years ago

Vijimambo

WAZIRI MKUU ANOGESHA HAFLA YA KUCHANGIA MADAWATI, JIJINI DAR

 Waziri Mkuu Mizengo Pinda wa tatu kutoka kulia akibonyeza namba ya simu kwa ajili ya kuchangia madawati 6000 ya wanafunzi wenye ukosefu  wa madawati nchini katika hafla ya chakula cha jioni iliyoandaliwa  na Hassan Maajar Trust yenye lengo la kukusanya Sh. milioni 500 ili kununua vifaa hivyo  iliyofanyika jana kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dares Salaam. Waziri Mkuu Mizengo Pinda (kulia ) akiangalia moja ya mfano wa dawati katika hafla ya chakula cha jioni iliyoandaliwa na Hassan...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU MDENI RASMI KATIKA HAFLA KUCHANGIA MADAWATI ILIOANDALIWA NA HASSAN MAAJAR TRUST

Waziri Mkuu Mizengo Pinda wa tatu kutoka kulia akibonyeza namba ya simu kwa ajili ya kuchangia madawati 6000 ya wanafunzi wenye ukosefu wa madawati nchini katika hafla ya chakula cha jioni iliyoandaliwa na Hassan Maajar Trust yenye lengo la kukusanya Sh. milioni 500 ili kununua vifaa hivyo iliyofanyika jana kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dares Salaam.Waziri Mkuu Mizengo Pinda (kulia ) akiangalia moja ya mfano wa dawati katika hafla ya chakula cha jioni iliyoandaliwa na Hassan Maajar...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU AKABIDHI MATREKTA 19 KWA WAKULIMA


WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amekabidhi matreka 19 yenye thamani ya sh. bilioni 1.520 yaliyolewa kwa mkopo na Benki za NMB na CRDB kwa ajili ya wakulima wa mkonge wanaounda Vyama vya Msingi (AMCOS) vinne vya kilimo cha mkonge.

Ameyasema hayo leo(Alhamisi, Machi 5, 2020) baada ya kutembelea eneo eneo la shamba la mkonge la wakulima wadogo Mwelya Sisal Estate na kujionea shughuli za za usindikaji mkonge na kukabidhi matrekta kwa wakulima.

Benki ya NMB imetoa matrekta 11 na matera 22 yenye...

 

9 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU AKABIDHI MAGARI YA KUBEBA WAGONJWA

 WAZIRI MKUU Mizengo Pinda(Pichani) amekabidhi magari mawili ya kubeba wagonjwa yenye thamani ya sh. milioni 150 kwa uongozi wa Wilaya ya Ngorongoro ili yapelekwe kwenye kituo cha afya cha Enduleni na hospitali ya Wasso ambayo inatumika kama hospitali ya wilaya.
Waziri Mkuu amekabidhi magari hayo ikiwa ni utekelezaji wa ahadi yake aliyoitoa Septemba 2013 alipofanya ziara ya kikazi ya mkoa wa Arusha na kubaini adha ya usafiri iliyokuwa ikiwapata wakazi wa kata za Wasso na Enduleni zilizoko...

 

11 years ago

Tanzania Daima

DC akabidhi madawati 200 Sikonge

SERIKALI wilayani Sikonge, Tabora imekabidhi madawati 214 kwa shule za msingi 10 yenye thamani ya sh milioni 13.9. Mkuu wa Wilaya (DC) ya Sikonge, Hanifa Selengu, alikabidhi madawati hayo baada...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU AKABIDHI NYUMBA 103 KWA IDARA YA UHAMIAJI

*Ni utekelezaji wa uamuzi wa Rais Dkt. John Magufuli
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameikabidhi Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi nyumba 103 zenye gharama ya zaidi ya sh. bilioni tano kwa ajili ya makazi ya Maafisa na Askari wa Idara ya Uhamiaji nchini zilizojengwa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) katika eneo la Iyumbu jijini Dodoma ikiwa ni utekelezaji wa uamuzi ulitolewa na Rais Dkt. John Pombe Magufuli.
Baada ya kukabidhi nyumba hizo, Waziri Mkuu amesema kwamba makazi hayo yawe chachu...

 

9 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU AKABIDHI MSAADA WA MAGARI YA WAGONJWA KWA HOSPITALI ZA WASSO NA ENDULENI

 Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Florens Turuku (mwenye tai) akieleza umuhimu wa magari ya wagonjwa kwa Hospitali za Wasso na Enduleni za Wilayani Ngorongoro mkoani Arusha wakati wa kukabidhi msaada wa magari hayo kwa niaba ya Waziri Mkuu, Mizengo Pinda ambaye ameyapta kutoka kwa wafadhili wa nchini Japan, leo Jijini Dar es Salaam, Tarehe 24 Agosti, 2015. Wakuu wa Idara na Vitengo Ofisi ya Waziri Mkuu wakimsikiliza Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Florens Turuku (mwenye tai) akieleza...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani