HOSPITALI YA KAIRUKI YAPATA TUZO YA UBORESHAJI VIWANGO VYA HUDUMA YA AFYA
Mkurugenzi Mkuu wa Hospital ya Kairuki, Dk. Asser Mchomvu akiwa amebeba tuzo aliyokabidhiwa na na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Mohammed Gharib Bilal (katikati). Kushoto ni Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dk. Seif Rashid.
Picha ya pamoja.
Na Mwandishi Wetu
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal, ameukabidhi uongozi wa Hospitali ya Kairuki (KH) tuzo ya waliofanya vizuri katika vigezo mbalimbali vya uboreshaji viwango vya huduma...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi
NMB YAPATA TUZO KWA KUCHANGIA ZAIDI HUDUMA ZA JAMII
Ushindi huo umetokana na utafiti uliofanywa na Taasisi ya utafiti wa huduma za maendeleo ya jamii - Research Centre for Social Development Services kwa kushirikiana na kampuni mwenza ya konsalt limited imetoa tuzo hiyo kwa NMB baada ya kujiridhisha kuwa ndiyo benki inayoongoza kwa kusaidia...
10 years ago
Habarileo27 Aug
Afya kuendelea kusimamia viwango vya wauguzi
KATIBU Mkuu Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Donan Mmbando amesema Serikali itaendelea kusimamia viwango vya taaluma ya uuguzi na ukunga kuboresha utoaji wa huduma katika sekta ya afya nchini.
5 years ago
Michuzi
Hospitali ya Mirembe yaboresha utoaji wa huduma za afya
Huduma kuanza saa 1:00 asubuhi badala ya saa 2:00 asubuhi
Hospitali ya Taifa ya Afya ya Akili Mirembe imefanya mabadiliko katika utoaji wa huduma za matibabu kwa wagonjwa wa nje, ambapo muda wa kuanza kutoa matibabu ni saa moja asubuhi badala ya saa mbili asubuhi.
Lengo la uongozi wa hospitali kufanya mabadiliko hayo ni kuboresha huduma za afya ili kuwezesha watu mbalimbali kupata huduma za matibabu mapema zaidi na kwa wakati.
Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa ya Afya ya Akili...
10 years ago
StarTV22 Sep
Mawaziri wa Afya Afrika Mashariki wajadili viwango vya matumizi ya dawa yanayokubalika
Wadau wa uzalishaji dawa kwenye ukanda wa Afrika Mashariki wanakutana jijini Dar es Salaam kwa mara ya kwanza kujadili muongozo wa utumiaji wa dawa unaozingatia viwango vinavyokubalika kimataifa ikiwa ni utekelezaji wa maagizo ya mkutano wa kisekta uliokutanisha mawaziri wa masuala ya afya wa ukanda huo.
Ajenda kuu, ni namna nchi zote tano za Afrika Mashariki zinavyoweza kuwa na matumizi sawa na viwango vinavyofanana vya dawa pamoja na kuhamasisha uwekezaji zaidi kwenye uzalishaji wa...
11 years ago
MichuziHOSPITALI YA MUFINDI YAPATA MSAADA WA VITI VYA KUBEBA WAGONJWA
5 years ago
Michuzi
MKURUGENZI CCBRT AKABIDHI VIFAA VYA KUJIKINGA NA CORONA KWA HOSPITALI, VITUO VYA AFYA 22

Lengo la CCBRT ni kuunga mkono juhudi za Serikali na wadau wengine hapa nchini katika kuwakinga wahudumu wa afya na janga la Corona.
“Tumekusudia vifaa hivi vitumike katika vitengo vya afya ya uzazi katika hospitali hizo ili kuwakinga wahudumu wa afya...
10 years ago
MichuziHOSPITALI YA POLISI KILWA ROAD YAPATA VIFAA VYA CHUMBA CHA KUHIFADHIA MAITI
Balozi wa Misri Nchini, Hossam Moharam (kulia), akimkabidhi Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwamini Malemi (kushoto), kontena lenye vifaa vya chumba cha kuhifadhia maiti katika Hospitali ya Jeshi la Polisi Kilwa Road. Wa kwanza kushoto ni Naibu Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, Abdulrahmani Kaniki.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwamini Malemi (kushoto), akiongozana na Balozi wa Misri Nchini, Hossam Moharam (kulia), kuelekea kwenye jengo...
10 years ago
Michuzi14 Dec
PSPF YAPATA TUZO YA KIMATAIFA KWA KUTOA HUDUMA BORA KWA WATEJA WAKE
