Hospitali ya Mirembe yaboresha utoaji wa huduma za afya
![](https://1.bp.blogspot.com/-Cc0InBfyVJ0/XvebnuK01AI/AAAAAAALvtY/oRePEI_VlPUZGmXcpqvno2DNn6mUqo-CQCLcBGAsYHQ/s72-c/001.jpg)
Huduma kuanza saa 1:00 asubuhi badala ya saa 2:00 asubuhi
Hospitali ya Taifa ya Afya ya Akili Mirembe imefanya mabadiliko katika utoaji wa huduma za matibabu kwa wagonjwa wa nje, ambapo muda wa kuanza kutoa matibabu ni saa moja asubuhi badala ya saa mbili asubuhi.
Lengo la uongozi wa hospitali kufanya mabadiliko hayo ni kuboresha huduma za afya ili kuwezesha watu mbalimbali kupata huduma za matibabu mapema zaidi na kwa wakati.
Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa ya Afya ya Akili...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog20 Dec
Waziri Ummy Mwalimu avamia Hospitali ya rufaa ya Bombo mkoani Tanga, kukagua utoaji wa huduma za afya leo
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto, Mh. Ummy Mwalimu akizungumza na mmoja wa wahudumu wa afya (jina lake halikuweza kupatikana kiurahisi) wa dirisha la dawa katika Hospitali ya rufaa ya Bombo mkoani Tanga alipofanya ziara ya kushtukiza mchana wa leo Disemba 20, 2015.
-Atoa wiki mbili wawe wamefunga mashine ya kukusanya mapato kwa njia ya Kielektroniki ili kudhitibiti upotevu wa mapato yanayotokana na wananchi kuchangia huduma za afya.
Waziri wa Afya, Maendeleo ya...
9 years ago
Michuzi20 Dec
WAZIRI UMMY MWALIMU KATIKA ZIARA HOSPITALI YA RUFAA YA BOMBO MKOANI TANGA, KUKAGUA UTOAJI WA HUDUMA ZA AFYA LEO
![IMG-20151220-WA0012](https://ci3.googleusercontent.com/proxy/2jqSTb6rwwHyDPhhDJDSXM_Y9GTLhKQG3al0Byv191LsT6SJ3AF_f9Ns_75ry3stFkDjSojEMXG_c-9jJcfIxvraqQNFWRf2bd0A7-PJd7TS9I1S0bTuzt8uUAWN=s0-d-e1-ft#http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/12/IMG-20151220-WA0012.jpg)
![IMG-20151220-WA0019](https://ci4.googleusercontent.com/proxy/2FRm_TTrk97vFdEwTUPV_oDUPzwmBxAJrp3BDakrQ2l83AnH1aXG-RSnQsZJ-_u6n6AEYyVl2A26mjFskppUmLIcY3hZvQPTK4GFV3fXeyVzbLoDKL1Bd1MRGIQk=s0-d-e1-ft#http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/12/IMG-20151220-WA0019.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-BFXB-xVSOyQ/VTEuHJLbzGI/AAAAAAAHRus/E2C7xx1ygh8/s72-c/unnamedk.jpg)
MSD YABORESHA HUDUMA ZA UTOAJI TAARIFA KWA WATEJA WAKE
BOHARI ya dawa (MSD) imeboresha huduma kwa wateja wake kwa kutoa taarifa zinazomhusu mteja kwa kuziweka wazi katika tovuti yao.
Amesema hayo Kaimu Mkurugenzi Huduma kwa Wateja na Shughuli za Bohari ya Dawa (MSD), Edward Terry, akizungumza na wandishi wa habari katika ukumbi wa Habari MAELEZO jijini Dar es Salaam leo.
Terry amesema kuwa taarifa hizo ni za mali inayopatikanagharani, taarifa za kiasi cha fedha za wateja kilichopo katika kila...
10 years ago
MichuziMSD YABORESHA HUDUMA ZA UTOAJI TAARIFA KWA WATEJA WAKE.
Na Avila Kakingo,Globu ya Jamii. BOHARI ya dawa (MSD) imeboresha huduma kwa wateja wake kwa kutoa taarifa zinazomhusu mteja kwa kuziweka wazi katika tovuti yao.
Akizungumza na...
10 years ago
Vijimambo07 Jul
Utoaji huduma za afya bure waendelea kuvutia wengi Sabasaba
![Baadhi ya wateja kwenye Maonesho 39 ya Kimataifa ya Biashara, Sabasaba viwanja vya Mwalimu Julias Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam wakiwa wamepanga foleni kusubiri kumuona daktari ndani ya Banda la NSSF walipotembelea banda hilo.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/07/IMG_04931.jpg)
![Mmoja wa madaktari (kushoto) akimuhudumia mteja alipokuwa akipatiwa huduma za afya bure zinazotolewa na NSSF. Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) linatoa huduma za afya bure kwa wateja mbalimbali watakaotembelea katika Banda la shirika hilo ndani ya Maonesho ya 39 ya Kimataifa ya Biashara, Sabasaba yanayofanyika viwanja vya Mwalimu Julias Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/07/IMG_0495.jpg)
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-PXBz1Up1AQo/XmTjuUGW-YI/AAAAAAALh70/XaFYuQKavy0h5FzWDhi1U3g4tmEw11c2ACLcBGAsYHQ/s72-c/IMG-20200307-WA0315.jpg)
HOSPITALI YA MIREMBE WATAKIWA KUTEMBEA PAMOJ
Na WAMJW-DOM
Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo yaJamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Zainab Chaula amewataka watumishi na uongozi wa Hospitali ya Mirembe kuhakikisha wanatembea pamoja kwa kudumisha ushirikiano baina yao ili kuleta mabadiliko chanya ikiwemo kuboresha huduma zitolewazo na kuboresha stahiki za watumishi katika hospitali hiyo.
Dkt. Chaula amesema hayo jana wakati alipofanya ziara ya kutembelea Hospitali ya Mirembe na kufanya mazungumzo na Watumishi ili kujadiliana namna gani...
5 years ago
MichuziRC TABORA AAGIZA UFUNGAJI WA MFUMO WA KUKUSANYA MAPATO KATIKA MAENEO YA UTOAJI HUDUMA ZA AFYA
NA TIGANYA VINCENT
MKUU wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri ameuagiza uongozi wa Halmashauri ya Manispaa ya Tabora kuhakikisha wanafunga Mfumo wa ukusanyaji wa mapato kwa katika maeneo yote yanayosuka na utoaji wa huduma za afya ili kuongeza kiwango cha ukusanyaji mapato.
Ukusanyaji wa mapato kwa njia za stakabadhi zilizo katika vitabu zimesababisha baadhi ya mapato kupotea na mengine kuishia mifukoni mwa watumishi wasio waaminifu.
Mwanri ametoa kauli hiyo jan20a wakati wa ukaguzi wa...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-tVo-vwVUOZs/Xk6ZTkK7psI/AAAAAAALejo/hxuuxcqygKI0i7VuECBESP-SgUJ-qJg5wCLcBGAsYHQ/s72-c/dd%2B%25281%2529.jpg)
RAIS MAGUFULI: SERIKALI ITAENDELEA KUIMARISHA NA KUBORESHA MIFUMO NA MIUNDOMBINU YA UTOAJI HUDUMA YA AFYA NCHINI
![](https://1.bp.blogspot.com/-tVo-vwVUOZs/Xk6ZTkK7psI/AAAAAAALejo/hxuuxcqygKI0i7VuECBESP-SgUJ-qJg5wCLcBGAsYHQ/s640/dd%2B%25281%2529.jpg)
RAIS Dkt. John Magufuli amesema katika kipindi cha miaka minne ya utawala wake, Serikali imeweza kuajiri watumishi wapya 13479 wa sekta ya afya sambamba na kuimarisha na kuboresha miundombinu ya huduma za afya za ikiwemo ujenzi na ukarabati wa zahanati, vituo vya afya na hospitali za wilaya katika maeneo mbalimbali nchini.
Akizungumza leo Alhamisi (Februari 20, 2020) Jijini Dar es Salaam katika maadhimisho ya siku ya Madaktari Tanzania, Rais Magufuli alisema Serikali ya Awamu ya Tano...
11 years ago
Dewji Blog11 Jun
Waandishi 37 watunukiwa tuzo za maoni yao kuhusu kuboresha utoaji huduma kwenye sekta za elimu, afya na maji
Twaweza, kama sehemu ya kazi zake kwenye Mpango wa kuendesha shughuli za serikali kwa uwazi (OGP), imetoa tuzo za kompyuta (aina ya laptops) na taa zinazotumia nishati ya jua kwa waandishi 37 kutokana na mawazo yao juu ya namna Serikali na wananchi wanavyoweza kuboresha utoaji huduma kwenye sekta za elimu, afya na maji.
Shindano hili la kutafuta maoni ya wananchi lilizinduliwa kwa ushirikiano wa Twaweza pamoja na Serikali ya Tanzania mwezi Desemba 2012. Twaweza iliisaidia Serikali...