Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


HOSPITALI YA MIREMBE WATAKIWA KUTEMBEA PAMOJ


Na WAMJW-DOM

Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo yaJamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Zainab Chaula  amewataka watumishi na uongozi wa Hospitali ya Mirembe kuhakikisha wanatembea pamoja kwa kudumisha ushirikiano baina yao ili kuleta mabadiliko chanya ikiwemo kuboresha huduma zitolewazo na kuboresha stahiki za watumishi katika hospitali hiyo.

Dkt. Chaula amesema hayo jana wakati alipofanya ziara ya kutembelea Hospitali ya Mirembe na kufanya mazungumzo na Watumishi ili kujadiliana namna gani...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

Hospitali ya Mirembe yaboresha utoaji wa huduma za afya


Huduma kuanza saa 1:00 asubuhi badala ya saa 2:00 asubuhi

Hospitali ya Taifa ya Afya ya Akili Mirembe imefanya mabadiliko katika utoaji wa huduma za matibabu kwa wagonjwa wa nje, ambapo muda wa kuanza kutoa matibabu ni saa moja asubuhi badala ya saa mbili asubuhi.

Lengo la uongozi wa hospitali kufanya mabadiliko hayo ni kuboresha huduma za afya ili kuwezesha watu mbalimbali kupata huduma za matibabu mapema zaidi na kwa wakati.

Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa ya Afya ya Akili...

 

10 years ago

Michuzi

MBOWE AKABIDHI AMBULANCE MBILI KWA HOSPITALI YA WILAYA YA HAI NA HOSPITALI YA MACHAME

Mbunge wa jimbo la Hai,Freeman Mbowe akiwa amembeba mtoto mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Kuni na kulakiwa na wananchi katika jimbo hilo.Baadhi ya viongozi mbalimbali waliohudhuria shighuli ya makabidhiano iliyofanyika katika uwanja wa Kuni ,Bomang'ombe wilayani Hai.Wananchi wakiwa wamezingira magari hayo wakiyatizama kwa karibu.Mbunge wa jimbo la Hai ,akiuzungumza juu ya msaada huo kwa watu wa jimbo la Hai.Mbunge wa jimbo la Hai,Freeman Mbowe akikabidhi nyaraka mbalimbali za...

 

5 years ago

Michuzi

WAUGUZI HOSPITALI YA RUFAA YA KANDA MBEYA WATOA ZAWADI YA CHEREHANI KWA HOSPITALI

 Baadhi ya picha za wauguzi katika maadhimisho ya Siku ya wauguzi Duniani .
Wauguzi wa Hospitali ya Rufaa Kanda ya Mbeya wametoa zawadi  ya Cherehani ikiwa ni kuadhimisha siku ya  wauguzi Duniani.

Wauguzi wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda Mbeya,  leo wamekabidhi zawadi ya mashine ya cherehani  yenye thamani ya shilingi 1,500,000/= MZRH ikiwa ni mchango wao wa alama ya upendo katika maadhimisho ya siku ya kimataifa ya wauguzi duniani.

Akizungumza katika makabidhiano hayo Mwenyekiti wa  Chama cha...

 

9 years ago

GPL

MSANII ALEWA ASHINDWA KUTEMBEA

MAYASA MARIWATANA SHANI RAMADHANI MSANII wa filamu aliyefahamika kwa jina la Glasnost Kalinga hivi karibuni alipata aibu ya aina yake baada ya kulewa na kushindwa kutembea. Msanii huyo akisaidiwa na rafiki zake kuinuka. Msanii huyo alinaswa na kamera yetu maeneo ya Afrikasana, Sinza saa 6 usiku ambapo alionekana akiwa amelala chini huku marafiki zake wakijaribu kumkokota bila mafanikio. Akizungumnza na Ijumaa katika eneo la...

 

9 years ago

GPL

10 years ago

GPL

DC MAKONDA AFUNGUKA KUTEMBEA NA KAJALA

Mwandishi wetu
BAADA ya kuzagaa kwa habari kwamba Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda ‘kutembea’ na mrembo wa Bongo Movies, Kajala Masanja, mheshimiwa huyo ameibuka na kuzungumzia tuhuma hizo kuwa hazina ukweli wowote zaidi ya kutaka kumchafua katika uongozi wake. Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda. Mapema wiki hii, mitandao mbalimbali ya kijamii ilimtuhumu mheshimiwa huyo kwamba ana uhusiano na...

 

10 years ago

BBCSwahili

Je umejaribu kutembea juu ya waya ?

Bwana mmoja ametembea juu ya mji wa Chicago huko Marekani juu ya waya akiwa amefunga macho.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mbwa avalishwa na kutembea kama binadamu

Mbwa aliyekuwa amevalia kama mwanadamu huku akitembea kwa miguu yake miwili amezua mjadala katika mitandao ya kijamii.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani