Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Afya kuendelea kusimamia viwango vya wauguzi

KATIBU Mkuu Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Donan Mmbando amesema Serikali itaendelea kusimamia viwango vya taaluma ya uuguzi na ukunga kuboresha utoaji wa huduma katika sekta ya afya nchini.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

HOSPITALI YA KAIRUKI YAPATA TUZO YA UBORESHAJI VIWANGO VYA HUDUMA YA AFYA

 Mkurugenzi Mkuu wa Hospital ya Kairuki, Dk. Asser Mchomvu akiwa amebeba tuzo aliyokabidhiwa na na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Mohammed Gharib Bilal (katikati). Kushoto ni Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dk. Seif Rashid.
Picha ya pamoja.

Na Mwandishi Wetu 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal, ameukabidhi uongozi wa Hospitali ya Kairuki (KH) tuzo ya waliofanya vizuri katika vigezo mbalimbali vya uboreshaji viwango vya huduma...

 

5 years ago

Michuzi

DC CHONJO AWAPONGEZA WAUGUZI KITUO CHA AFYA SABASABA KWA KUTOKUWA NA VIFO VYA MAMA NA MTOTO



**********************

NA FARIDA SAIDY,MOROGORO

MKUU wa Wilaya ya Morogoro, Mhe. Regina Chonjo , amezindua
rasmi Wodi ya Wazazi ijulikanyo kwa jina la “Wodi ya Wazazi Regina
Chonjo” katika Kituo cha Afya cha Sabasaba Manispaa ya Morogoro.

Akizungumza na Waandishi wa habari mara baada ya uzinduzi huo,
Mhe Chonjo, amewataka Wauguzi kutumia taaluma zao kwa uwaledi ili
Wazazi wajifungue salama.

Aidha, amekipongeza kituo hicho cha afya kwani tangia ianze huduma
ya uzalishaji haijawai kutokea...

 

10 years ago

StarTV

Mawaziri wa Afya Afrika Mashariki wajadili viwango vya matumizi ya dawa yanayokubalika

 

Wadau wa uzalishaji dawa kwenye ukanda wa Afrika Mashariki wanakutana jijini Dar es Salaam kwa mara ya kwanza kujadili muongozo wa utumiaji wa dawa unaozingatia viwango vinavyokubalika kimataifa ikiwa ni utekelezaji wa maagizo ya mkutano wa kisekta uliokutanisha mawaziri wa masuala ya afya wa ukanda huo.

Ajenda kuu, ni namna nchi zote tano za Afrika Mashariki zinavyoweza kuwa na matumizi sawa na viwango vinavyofanana vya dawa pamoja na kuhamasisha uwekezaji zaidi kwenye uzalishaji wa...

 

5 years ago

Michuzi

Muhimbili kuendelea kutambua mchango wa Wauguzi

Baadhi ya wauguzi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili wakila kiapo cha maadili ikiwa ni kumbukumbu ya siku ya wauguzi duniani inayoadhimishwa Mei 12 kila mwaka.
Mkurugenzi wa Huduma za Uuuguzi Hospitali ya Taifa Muhimbili akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa kumbukumbu ya siku ya wauguzi duniani inayoadhimishwa Mei 12 kila mwaka.
Muuguzi Sophia Sanga akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa kumbukumbu ya siku ya wauguzi duniani inayoadhimishwa Mei 12...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI WA AFYA ZANZIBAR AZINDUA BARAZA LA WAUGUZI NA WAKUNGA

Na Ramadhani Ali/Maelezo Zanzibar            Waziri wa Afya  wa Zanzibar Rashid Seif ameliagiza Baraza la Wauguzi na Wakunga Zanzibar kusimamia kwa karibu watendaji wa kada hiyo ili  waweze kuendelea kutoa huduma bora kwa wananchi.
Akizungumza katika uzinduzi rasmi wa Baraza Wauguzi na Wakunga katika Chuo cha Sayanzi ya Afya Mbweni, Waziri Rashid Seif amesema wauguzi na wakunga ni walezi wanaoshughulikia matatizo ya watu  hivyo wanatakiwa  kutekeleza wajibu wao kwa uadilifu.
Amesema ...

 

10 years ago

Michuzi

Wizara ya Afya yaridhishwa na viwango TBL


 Meneja Mdhibiti Viwango wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) Conchesta Ngaiza (kulia) akimuelezea jambo Naibu Waziri wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Dk. Kebwe Stephen Kebwe wakati wa ziara ya Kiwanda cha Dar es Salaam cha TBL kilichopo Ilala. Kushoto ni Mkurugenzi wa Usalama na Chakula wa Mamlaka ya Chakula, Dawa na Vipodozi, Raymond Wisenge. Wizara ilionesha kuridhishwa na viwango vinavyozingatiwa na TBL katika uzalishaji wake.Meneja wa Kiwanda cha Dar es Salaam cha Kampuni ya Bia...

 

10 years ago

BBCSwahili

Viwango vya juu vya joto vitakumba Dunia

Miaka miwili inayokuja itakuwa na joto la juu zaidi kwa mujibu wa idara ya utabiri wa hali ya hewa nchini Uingereza

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani