UWAZI LATOA MSAADA WA VITI VYA WAGONJWA, MOI
![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/11/1.Ofisa-uhusiano-wa-Global-Publishers-Soud-Kivea-katikati-akizungumza-jambo-mbele-ya-wanahabari-hawapo-pichani..jpg?width=620)
Afisa Tawala wa Global Publishers, Soud Kivea (katikati) akizungumza jambo mbele ya wanahabari (hawapo pichani). Kutoka kushoto ni Afisa Uhusiano wa Moi, Patrick Mvungi, Afisa Uhusianio wa Global, Soud Kivea na Meneja Uhusiano wa Moi, Juma Almasi. Viongozi hao wakisikiliza maswali yaliyokuwa yakiulizwa na wanahabari (hawapo pichani). Waandishi wa habari wakichukua habari ya tukio… ...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziHOSPITALI YA MUFINDI YAPATA MSAADA WA VITI VYA KUBEBA WAGONJWA
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-RQzF_Blxv6A/XoSHoiSGkmI/AAAAAAAA-WI/gnn3yTd-L6c8BMc6wscxzNykgp5G9OZzQCLcBGAsYHQ/s72-c/AA.jpg)
KAMPUNI YA JAPAN YASAIDIA TAASISI YA MIFUPA (MOI) MSAADA WA VIFAA TIBA VYA MILIONI 80.9
Akipokea msaada huo, Mkurugenzi wa Tiba (MOI) Dkt. Samwel Swai amesema kuwa msaada huo utasaidia kwa kiasi kikubwa matibabu ya wagonjwa wenye ulemavu wa miguu na mikono.
Kwa upande wake Meneja wa Kampuni ya EAA Co. Ltd, Josiah Benedict amesema wameguswa na changamoto zinazowakabili watanzania ndiyo maana wameamua...
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-mcOJbjQr_2o/UxM-hsEvx3I/AAAAAAAFQiY/i9wvthkxDUg/s72-c/unnamed+(92).jpg)
Watoto wenye Ulemvu Moshi wapokea msaada wa Viti maalum vya kutembelea
11 years ago
GPLUWAZI LATOA ZAWADI KWA WASOMAJI WAKE
10 years ago
Dewji Blog25 May
UNFPA wakabidhi msaada wa gari la wagonjwa, jengo na vifaa vya upasuaji Geita
Naibu Waziri ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mh. Kassim Majaliwa (wa pili kulia) akisalimiana na Meneja Biashara Idara ya Uhusiano wa Vodacom Tanzania, Grace Lyon mara baada ya kuwasili kwenye maadhimisho ya siku ya kimataifa ya kutokomeza Fistula yaliyofanyika kitaifa katika Wilaya Mbogwe, Geita. Kulia ni Kaimu Mkuu wa wilaya ya Mbogwe, Amani Mwenegoha na Kushoto ni Naibu Ofisa Mtendaji Mkuu wa Hospitali ya CCBRT, Haika Mawalla na wa pili kushoto...
5 years ago
CCM Blog10 years ago
Habarileo19 Dec
Kanisa latoa msaada wa vyandarua 2,700
MADHEHEBU ya dini nchini yametakiwa kueneza upendo na kujali maisha ya watu bila kujali itikadi na imani zao ili kuleta utengamano wa kitaifa.
10 years ago
MichuziDUKA LA NAKIETE LATOA MSAADA HOSPITALI YA SINZA
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mh Paul Makonda Akipokea Msaada kutoka Kwa Mkurugenzi wa Duka la Dawa la Nakiete Bi Batilda.Duka la Dawa la Nakiete Limetoa msaada katika Hospitali ya Sinza.Vitu Mbalimbali vilitolewa na duka hilo vyenye Dhamani ya Shilingi milioni 6.Mkurugenzi wa Nakiete Akieleza zaidi kuhusu msaada huo amesema hiyo ni sehemu ya faida waliyopata kwa Mwaka uliopita wakaona ni vema kurudisha sehemu ya faida hiyo kwa jamii.Alisema Hospitali inakabiliwa na changaamoto nyingi lakini...
10 years ago
Dewji Blog29 Jun
Kanisa la Methodist latoa msaada kwa walemavu Chato
Mchungaji wa kanisa la Methodist Huru Tanzania (FMCT), Conrad Edimud Bitoye (kulia) akikabidhi msaada wa nafaka na vitu mbalimbali kwa Katibu wa Chama cha walemavu mkoa wa Geita Sokolo Samweli.
Deborah Bookher akizindua rasmi kisima cha bomba katika kijiji cha Ibondo kata ya Buseresere wilayani Chato.
Deborah Bookher akishiriki chakula cha pamoja na walemavu.
Na Alphonce Kabilondo, Chato
KANISA la Methodist Huru Tanzania (FMCT) Jimbo la Geita mkoani Geita limetoa msaada wa nafaka mchele...