Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DUKA LA NAKIETE LATOA MSAADA HOSPITALI YA SINZA


Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mh Paul Makonda Akipokea Msaada kutoka Kwa  Mkurugenzi wa Duka la Dawa la Nakiete Bi Batilda.Duka la Dawa la Nakiete Limetoa msaada katika Hospitali ya Sinza.Vitu Mbalimbali vilitolewa na duka hilo vyenye Dhamani ya Shilingi milioni 6.Mkurugenzi wa Nakiete Akieleza zaidi kuhusu msaada huo amesema hiyo ni sehemu ya faida waliyopata kwa Mwaka uliopita wakaona ni vema kurudisha sehemu ya faida hiyo kwa jamii.Alisema Hospitali inakabiliwa na changaamoto nyingi lakini...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Hospitali Sinza yalemewa

HOSPITALI ya Sinza katika Manispaa ya Kinondoni inakabiliwa na msongamano mkubwa unaodaiwa kuchangia kuzorota utoaji wa huduma kwa wagonjwa. Diwani wa Kata ya Sinza, Renatus Pamba alitoa taarifa hiyo wakati wa kikao cha Baraza la Madiwani la manispaa hiyo.

 

10 years ago

Habarileo

Kanisa latoa msaada wa vyandarua 2,700

MADHEHEBU ya dini nchini yametakiwa kueneza upendo na kujali maisha ya watu bila kujali itikadi na imani zao ili kuleta utengamano wa kitaifa.

 

9 years ago

Dewji Blog

Wafanyakazi NMB waifanyia usafi Hospitali ya Sinza, Palestina

Mmoja wa wafanyakazi wa Benki ya NMB, Waziri Barnabas (tatu kushoto) ambaye ni Ofisa Mkuu wa Kitengo cha Fedha wa Benki ya NMB, akimkabidhi Mganga Msaidizi Hospitali Sinza Parestina, Dk. Faith Mdee (wa tatu kulia) baadhi ya vifaa vya usafi ili vibaki vikitumika kusaidia zoezi la usafi katika hospitali hiyo. Baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya NMB wanaoishi Sinza na maeneo jirani wakijipanga kuanza kufanya usafi katiki Hospitali ya Sinza, Palestina ikiwa ni kuitikia mwito wa Rais Dk. John...

 

9 years ago

GPL

UWAZI LATOA MSAADA WA VITI VYA WAGONJWA, MOI

Afisa Tawala wa Global Publishers, Soud Kivea (katikati) akizungumza jambo mbele ya wanahabari (hawapo pichani). Kutoka kushoto ni Afisa Uhusiano wa Moi, Patrick Mvungi, Afisa Uhusianio wa Global, Soud Kivea na Meneja Uhusiano wa Moi, Juma Almasi. Viongozi hao wakisikiliza maswali yaliyokuwa yakiulizwa na wanahabari (hawapo pichani). Waandishi wa habari wakichukua habari ya tukio… ...

 

10 years ago

Dewji Blog

Kanisa la Methodist latoa msaada kwa walemavu Chato

1

Mchungaji wa kanisa la Methodist Huru Tanzania (FMCT), Conrad Edimud Bitoye (kulia) akikabidhi msaada wa nafaka na vitu mbalimbali kwa Katibu wa Chama cha walemavu mkoa wa Geita Sokolo Samweli.

2

Deborah Bookher akizindua rasmi kisima cha bomba katika kijiji cha Ibondo kata ya Buseresere wilayani Chato.

3

Deborah Bookher akishiriki chakula cha pamoja na walemavu.

Na Alphonce Kabilondo, Chato

KANISA la Methodist Huru Tanzania (FMCT) Jimbo la Geita mkoani Geita limetoa msaada wa nafaka mchele...

 

10 years ago

Michuzi

Shirika la PSPF latoa msaada wa madawati jijini Dar

Afisa Uhusiano mwandamizi wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Abdul Njaidi, (Kushoto), akipena mikono na Ummy Shaaban,  mwanafunzi wa darasa la sita shule ya msingi Buyuni II,  iliyoko Chanika, wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam,wakati akikabidhi msada wa madawati kwa ajili ya shule hiyo mwishoni mwa wiki. (Katikati ni mwalimu mkuu wa shule hiyo,  Rogather Palla. Afisa Uhusiano mwandamizi wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Njaidi, (Kushoto), akitoa elimu kupitia vipeperushi kwa baadhi ya...

 

10 years ago

Michuzi

JWTZ LATOA MSAADA KWA WAZEE NA MAYATIMA ZANZIBAR

MKUU wa Mkoa Mjini Magharib, Mhe. Abdalla Mwinyi Khamis akizungumza na Wazee wanaoishi katika nyumba za Wazee Sebleni mjini Zanzibar wakati wa hafla ya kukabidhi msaada wa vyakula na vifaa vya usafi vilivyotolewa na Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) katika kutimiza miaka 50 ya jeshi hilo tangu kuanzishwa kwake mwaka 1964.WAZEE wanaoishi katika nyumba za wazee Sebleni wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa Mjini Magharib, Mhe. Abdalla Mwinyi (hayupo pichani) wakati akizungumza katika makabidhiano ya...

 

9 years ago

Michuzi

Wafanyakazi NMB Waifanyia Usafi Hospitali ya Sinza, Parestina jijini Dar.

Mmoja wa wafanyakazi wa Benki ya NMB, Waziri Barnabas (tatu kushoto) ambaye ni Ofisa Mkuu wa Kitengo cha Fedha wa Benki ya NMB, akimkabidhi Mganga Msaidizi Hospitali Sinza Parestina, Dk. Faith Mdee (wa tatu kulia) baadhi ya vifaa vya usafi ili vibaki vikitumika kusaidia zoezi la usafi katika hospitali hiyo.  Baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya NMB wakishirikiana na wafanyakazi wa Hospitali ya Sinza Parestina wakifanya usafi maeneo anuai ya hospitali hiyo ikiwa ni kuitikia mwito wa Rais Dk....

 

5 years ago

Michuzi

SHIRIKA LA UZIKWASA LATOA MSAADA WA VIFAA TIBA NA KINGA WILAYA YA PANGANI


Mkurugenzi wa Shirika la Uzikwasa Novatus Urassa kushoto akikabidhi Msaada wa Vifaa Kinga na Vifaa Tiba kwa Uongozi wa wilaya ya Pangani anayefuatia kulia ni Katibu Tawala wa wilaya ya Pangani Mwalimu Hassani Nyange na kulia ni Mkurugenzi wa Halmashsuri ya wilaya ya Pangani Isaya Mbenje
Mkurugenzi wa Shirika la Uzikwasa Novatus Urassa kushoto akikabidhi Msaada wa Vifaa Kinga na Vifaa Tiba kwa Uongozi wa wilaya ya Pangani anayefuatia kulia ni Katibu Tawala wa wilaya ya Pangani Mwalimu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani