Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Hospitali Sinza yalemewa

HOSPITALI ya Sinza katika Manispaa ya Kinondoni inakabiliwa na msongamano mkubwa unaodaiwa kuchangia kuzorota utoaji wa huduma kwa wagonjwa. Diwani wa Kata ya Sinza, Renatus Pamba alitoa taarifa hiyo wakati wa kikao cha Baraza la Madiwani la manispaa hiyo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

DUKA LA NAKIETE LATOA MSAADA HOSPITALI YA SINZA


Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mh Paul Makonda Akipokea Msaada kutoka Kwa  Mkurugenzi wa Duka la Dawa la Nakiete Bi Batilda.Duka la Dawa la Nakiete Limetoa msaada katika Hospitali ya Sinza.Vitu Mbalimbali vilitolewa na duka hilo vyenye Dhamani ya Shilingi milioni 6.Mkurugenzi wa Nakiete Akieleza zaidi kuhusu msaada huo amesema hiyo ni sehemu ya faida waliyopata kwa Mwaka uliopita wakaona ni vema kurudisha sehemu ya faida hiyo kwa jamii.Alisema Hospitali inakabiliwa na changaamoto nyingi lakini...

 

9 years ago

Dewji Blog

Wafanyakazi NMB waifanyia usafi Hospitali ya Sinza, Palestina

Mmoja wa wafanyakazi wa Benki ya NMB, Waziri Barnabas (tatu kushoto) ambaye ni Ofisa Mkuu wa Kitengo cha Fedha wa Benki ya NMB, akimkabidhi Mganga Msaidizi Hospitali Sinza Parestina, Dk. Faith Mdee (wa tatu kulia) baadhi ya vifaa vya usafi ili vibaki vikitumika kusaidia zoezi la usafi katika hospitali hiyo. Baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya NMB wanaoishi Sinza na maeneo jirani wakijipanga kuanza kufanya usafi katiki Hospitali ya Sinza, Palestina ikiwa ni kuitikia mwito wa Rais Dk. John...

 

9 years ago

Michuzi

Wafanyakazi NMB Waifanyia Usafi Hospitali ya Sinza, Parestina jijini Dar.

Mmoja wa wafanyakazi wa Benki ya NMB, Waziri Barnabas (tatu kushoto) ambaye ni Ofisa Mkuu wa Kitengo cha Fedha wa Benki ya NMB, akimkabidhi Mganga Msaidizi Hospitali Sinza Parestina, Dk. Faith Mdee (wa tatu kulia) baadhi ya vifaa vya usafi ili vibaki vikitumika kusaidia zoezi la usafi katika hospitali hiyo.  Baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya NMB wakishirikiana na wafanyakazi wa Hospitali ya Sinza Parestina wakifanya usafi maeneo anuai ya hospitali hiyo ikiwa ni kuitikia mwito wa Rais Dk....

 

11 years ago

Michuzi

FARIDA FOUNDATION YATOA MISAADA HOSPITALI YA PALESTINA SINZA NA KWA WALEMAVU ENEO LA UBUNGO DARAJANI

 Bi Farida Abdul Akikabidhi bandeji kwa ajili ya kufungia wagonjwa kwa Kaimu Mganga Mkuu wa Hospitali ya Palestina Dk Hugoline Mselle  Bi Farida Abdul akimuonyesha kaimu Mganga mkuu wa Hospitali ya Palestina Dk Hugoline Mselle Vifaa ambavyo vimeletwa kama msaada kwenye Hospitali hiyo.Vifaa vilivyotolewa ni pamoja na Viti vya magurudumu vitatu ambavyo vitasaidia kubebea wagonjwa,Bandeji za kufungia vidonda,Ndoo za kuwekea taka,na vinginevyo.  Hivi ni viti Vitatu vya kubebea...

 

11 years ago

GPL

MAZOEZI YA MISS SINZA KUANZA MEI 5 KWENYE UKUMBI WA MEEDA, SINZA

Prisca Clement (katikati) mara baada ya kushinda taji la vipaji katika mashindano ya Miss Tanzania 2013. Na Mwandishi Wetu
MAZOEZI ya warembo watakaowania taji la urembo la Sinza, Miss  2014 yataanza Mei 5 kwenye ukumbi wa Meeda uliopo Sinza Mori na Lufungila jijini Dar es Salaam. Taji la Miss Sinza linashikiliwa na Miss Tanzania, Prisca Clement alimaliza katika hatua ya 10 bora katika mashindano ya mwaka jana ya Miss...

 

11 years ago

Michuzi

Redd's Miss Sinza 2014 Kufanyika kesho Meeda Club Sinza

Mratibu wa shindano la Redd's miss Sinza 2014 Tinna Matutuna katikati akizungumza na waandishi wa Habari katika ukumbi wa mikutano wa Meeda Night Club sinza juu ya Shindano la Redd's Miss Sinza litakalofanyika kesho ijumaa katika ukumbi wa Meeda Night Club kwa kiingilio cha 5,000 kwa viti vya kawaida na 10,000 kwa Viti Maalum .kushoto na kulia ni baadhi ya warembo wa shindano hilo. =======  ====== ===== MNYANGE atakayefanikiwa kuibuka mrembo wa kitongoji cha Sinza ‘ Redds Miss Sinza  2014’...

 

10 years ago

Michuzi

MBOWE AKABIDHI AMBULANCE MBILI KWA HOSPITALI YA WILAYA YA HAI NA HOSPITALI YA MACHAME

Mbunge wa jimbo la Hai,Freeman Mbowe akiwa amembeba mtoto mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Kuni na kulakiwa na wananchi katika jimbo hilo.Baadhi ya viongozi mbalimbali waliohudhuria shighuli ya makabidhiano iliyofanyika katika uwanja wa Kuni ,Bomang'ombe wilayani Hai.Wananchi wakiwa wamezingira magari hayo wakiyatizama kwa karibu.Mbunge wa jimbo la Hai ,akiuzungumza juu ya msaada huo kwa watu wa jimbo la Hai.Mbunge wa jimbo la Hai,Freeman Mbowe akikabidhi nyaraka mbalimbali za...

 

5 years ago

Michuzi

WAUGUZI HOSPITALI YA RUFAA YA KANDA MBEYA WATOA ZAWADI YA CHEREHANI KWA HOSPITALI

 Baadhi ya picha za wauguzi katika maadhimisho ya Siku ya wauguzi Duniani .
Wauguzi wa Hospitali ya Rufaa Kanda ya Mbeya wametoa zawadi  ya Cherehani ikiwa ni kuadhimisha siku ya  wauguzi Duniani.

Wauguzi wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda Mbeya,  leo wamekabidhi zawadi ya mashine ya cherehani  yenye thamani ya shilingi 1,500,000/= MZRH ikiwa ni mchango wao wa alama ya upendo katika maadhimisho ya siku ya kimataifa ya wauguzi duniani.

Akizungumza katika makabidhiano hayo Mwenyekiti wa  Chama cha...

 

10 years ago

Vijimambo

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani