Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAZOEZI YA MISS SINZA KUANZA MEI 5 KWENYE UKUMBI WA MEEDA, SINZA

Prisca Clement (katikati) mara baada ya kushinda taji la vipaji katika mashindano ya Miss Tanzania 2013. Na Mwandishi Wetu
MAZOEZI ya warembo watakaowania taji la urembo la Sinza, Miss  2014 yataanza Mei 5 kwenye ukumbi wa Meeda uliopo Sinza Mori na Lufungila jijini Dar es Salaam. Taji la Miss Sinza linashikiliwa na Miss Tanzania, Prisca Clement alimaliza katika hatua ya 10 bora katika mashindano ya mwaka jana ya Miss...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Redd's Miss Sinza 2014 Kufanyika kesho Meeda Club Sinza

Mratibu wa shindano la Redd's miss Sinza 2014 Tinna Matutuna katikati akizungumza na waandishi wa Habari katika ukumbi wa mikutano wa Meeda Night Club sinza juu ya Shindano la Redd's Miss Sinza litakalofanyika kesho ijumaa katika ukumbi wa Meeda Night Club kwa kiingilio cha 5,000 kwa viti vya kawaida na 10,000 kwa Viti Maalum .kushoto na kulia ni baadhi ya warembo wa shindano hilo. =======  ====== ===== MNYANGE atakayefanikiwa kuibuka mrembo wa kitongoji cha Sinza ‘ Redds Miss Sinza  2014’...

 

10 years ago

Michuzi

SEND OFF PARTY YA NOREEN MHINA YAFANA KATIKA UKUMBI WA DELUXE SINZA

  Bibi Harusi Mtarajiwa Noreen Mhina  akiwa katika nyuso ya Furaha, jana tarehe 25.11.2014   Bibi Harusi Mtarajiwa Noreen akiwa amempata Mume wake mtarajiwa Leonard  Baada ya kumsaka ukumbi Mzima kwa ajili ya kumtambulisha kwa wageni waalikwa . Bibi harusi Mtarajiwa Noreen akimvisha Mume wake mtarajiwa Leonard  zawadi ya Saa Mara baada ya kutambulishwa Rasmi wa wageni waliofika katika Sherehe ya kumuaga.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

11 years ago

Michuzi

Warembo, wadhamini watakiwa Miss Sinza

Miss Sinza 2013 Prisca Clement katikati mara baada ya kushinda taji la vipaji katika mashindano ya Miss Tanzania 2013.
Waandaaji wa mashindano ya kumsaka mrembo wa Sinza, Miss 2014 wametoa wito kwa wasichana wenye vigezo vya kuwania taji la mwaka huu kujitokeza katika mazoezi yanayoendelea kwenye ukumbi wa Meeda Club uliopo katika barabara ya Sinza Mori na Lufungila jijini.
Akizungumza jijini jana, Muandaaji wa mashindano hayo, Majuto Omary alisema kuwa lengo lao ni kuwa na warembo...

 

10 years ago

GPL

MISS SINZA 2001 NA SKENDO YA PICHA ZA UTUPU!

Na Gladness Mallya HAMNAZO? MISS Sinza 2001 na aliyekuwa mshiriki wa Miss Tanzania 2011, Husna Maulid ameonesha kuwa ni sikio la kufa baada ya kupiga picha za utupu kwa mara nyingine. MISS Sinza 2001 na aliyekuwa mshiriki wa Miss Tanzania 2011, Husna Maulid. Picha hizo zilizotapakaa kwenye mitandao mbalimbali zimewashangaza watu ambapo Husna anaonekana akiwa kama alivyozaliwa huku akiwa katika mapozi tofauti hali inayoonesha...

 

9 years ago

Dewji Blog

Miaka 17 ya Kituo cha Mazoezi cha Home Gym: kutembelea wodi ya wazazi Kituo cha Afya Sinza Palestina leo Sept 19

home gymKituo cha Mazoezi cha Home Gym…

Na Andrew Chale, modewjiblog

[Dar es Salaam-Tanzania]- Kuelekea miaka 17 ya tangu kuanzishwa kwa  kituo cha Mazoezi cha Home Gym chenye maskani yake Mwenge jijini Dar es Salaam-Tanzania, uongozi wa kituo hicho unatarajia kufanya matukio makuu muhimu ikiwemo kutembelea  wodi ya akina mama katika kituo cha Afrya cha Sinza Palestina Jijini.

Akizungumza na modewjiblog, Mkurugenzi wa kituo hicho, Andrew Mangomango amebainisha kuwa, kuelekea shughuli za miaka 17 za...

 

10 years ago

Michuzi

MANISPAA YA KINONDONI YAZINDUA HUDUMA YA BURE YA INTERNETI KWENYE KITUO KIPYA CHA DALADALA CHA SINZA

Manispaa ya Kinondoni, jijini Dar es Salaam, imedhihirisha jitihada zake za kwenda na wakati katika huduma zake, baada ya kuamua kutoa huduma ya bure ya mtandao wa intrenet wa WiFi kwenye Kituo kipya cha Mabasi cha Sinza, jijini Dar es Salaam.

Akizindua huduma hiyo, jana, Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yussuf Mwenda alisema, mtandao wa WiFi umeunganishwa kwenye kituo hicho kupitia mkongo wa mawasiliano kupitia Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL).

Mwenda alisema, mtandao huo utakuwepo usiku na...

 

11 years ago

Habarileo

Hospitali Sinza yalemewa

HOSPITALI ya Sinza katika Manispaa ya Kinondoni inakabiliwa na msongamano mkubwa unaodaiwa kuchangia kuzorota utoaji wa huduma kwa wagonjwa. Diwani wa Kata ya Sinza, Renatus Pamba alitoa taarifa hiyo wakati wa kikao cha Baraza la Madiwani la manispaa hiyo.

 

10 years ago

Vijimambo

10 years ago

GPL

KIZAAZAA SINZA MAKABURINI!

Timbwili lililotokea juzi, ndiyo lile hasa linaloitwa nguo kuchanika. Maana zilianza ngumi za pande tatu. Maana ikawa hata haieleweki nani anamtandika nani, na kutokana na mkasa mzima, sisi wananchi wema ililazimika tukae pembeni tumekodoa macho, huku hatuelewi kitu gani tufanye. Sababu ya timbwili hili mimi kama raia mwema nasema lilianzishwa na ubovu wa barabara, najua wengine mtakuja kusema barabara haihusiki lakini ki ukweli...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani