Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Warembo, wadhamini watakiwa Miss Sinza

Miss Sinza 2013 Prisca Clement katikati mara baada ya kushinda taji la vipaji katika mashindano ya Miss Tanzania 2013.
Waandaaji wa mashindano ya kumsaka mrembo wa Sinza, Miss 2014 wametoa wito kwa wasichana wenye vigezo vya kuwania taji la mwaka huu kujitokeza katika mazoezi yanayoendelea kwenye ukumbi wa Meeda Club uliopo katika barabara ya Sinza Mori na Lufungila jijini.
Akizungumza jijini jana, Muandaaji wa mashindano hayo, Majuto Omary alisema kuwa lengo lao ni kuwa na warembo...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MAZOEZI YA MISS SINZA KUANZA MEI 5 KWENYE UKUMBI WA MEEDA, SINZA

Prisca Clement (katikati) mara baada ya kushinda taji la vipaji katika mashindano ya Miss Tanzania 2013. Na Mwandishi Wetu
MAZOEZI ya warembo watakaowania taji la urembo la Sinza, Miss  2014 yataanza Mei 5 kwenye ukumbi wa Meeda uliopo Sinza Mori na Lufungila jijini Dar es Salaam. Taji la Miss Sinza linashikiliwa na Miss Tanzania, Prisca Clement alimaliza katika hatua ya 10 bora katika mashindano ya mwaka jana ya Miss...

 

11 years ago

Michuzi

Redd's Miss Sinza 2014 Kufanyika kesho Meeda Club Sinza

Mratibu wa shindano la Redd's miss Sinza 2014 Tinna Matutuna katikati akizungumza na waandishi wa Habari katika ukumbi wa mikutano wa Meeda Night Club sinza juu ya Shindano la Redd's Miss Sinza litakalofanyika kesho ijumaa katika ukumbi wa Meeda Night Club kwa kiingilio cha 5,000 kwa viti vya kawaida na 10,000 kwa Viti Maalum .kushoto na kulia ni baadhi ya warembo wa shindano hilo. =======  ====== ===== MNYANGE atakayefanikiwa kuibuka mrembo wa kitongoji cha Sinza ‘ Redds Miss Sinza  2014’...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Silaa awafunda warembo Miss Ilala

MSTAHIKI Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Silaa, amewataka warembo wanaowania katika taji la Miss Ilala 2014, kuhakikisha wanatambua urembo ni ajili, hivyo waweze kuthamini uwepo wao katika shindano hilo....

 

11 years ago

GPL

WAREMBO 20 KUCHUANA MISS SHINYANGA 2014

Warembo wanaowania taji la Redd's Miss Shinyanga 2014 katika pozi.…

 

11 years ago

Tanzania Daima

Warembo 17 mazoezini Miss Tabata 2014

WAREMBO 17 wamejitokeza kushiriki shindano la kumtafuta Redd’s Miss Tabata 2014. Mratibu wa shindano hilo, Joseph Kapinga, alisema jijini Dar es Salaam jana kuwa, warembo hao wanaendelea na mazoezi katika...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Warembo 16 kuonyeshana kazi Miss Tabata

WAREMBO 16 wanatarajiwa kushiriki kwenye kinyang’anyiro cha kumtafuta Miss Tabata 2014 ambacho kimepangwa kufanyika katika Ukumbi wa Da’ West Park jijini Dar es Salaam Juni 6. Mratibu wa shindano hilo,...

 

10 years ago

Michuzi

WAREMBO MISS TANZANIA 2014 WAWASILI KAMBINI

Wanyange 30 wanao wanbia taji la Redd's Miss Tanzania 2014 leo wameingia kambini tayari kwa safari ya fainali za Miss Tanzania 2014 zitakazo fanyikia mapema mwezi Oktoba jiji Dar es Salaam.Warembo hao waliowasdili kwa muda tofauti kuanzaia saa 12 alfajiri ya leo na kupokelewa na waandaaji wa Miss Tanzania katika hoteli ya JB Belmont iliyopo katikati ya jiji la maraha la Dar. Warembo kutoka Kanda ya Ziwa walitia fora pale warembo hao walipowasili kambini hapo wakiwa ndani ya gari ya Mshindi...

 

11 years ago

Mwananchi

Mchujo wabakiza warembo 16 kinyang’anyiro Miss Tabata

Warembo 16 kati ya 40 waliojitokeza kuwania taji la mrembo wa Tabata (Miss Tabata 2014) wameingia kwenye fainali ya kuwania taji hilo itakayofanyika Juni 6 jijini Dar es Salaam.

 

10 years ago

Michuzi

WAREMBO WA MISS TANZANIA 2014 WAWASILI KAMBINI LEO

Na Father Kidevu BlogWanyange 30 wanao wanbia taji la Redd's Miss Tanzania 2014 leo wameingia kambini tayari kwa safari ya fainali za Miss Tanzania 2014 zitakazo fanyikia mapema mwezi Oktoba jiji Dar es Salaam.

Warembo hao waliowasdili kwa muda tofauti kuanzaia saa 12 alfajiri ya leo na kupokelewa na waandaaji wa Miss Tanzania katika hoteli ya JB Belmont iliyopo katikati ya jiji la maraha la Dar. 

Warembo kutoka Kanda ya Ziwa walitia fora pale warembo hao walipowasili kambini hapo wakiwa ndani...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani