WAREMBO WA MISS TANZANIA 2014 WAWASILI KAMBINI LEO
Na Father Kidevu BlogWanyange 30 wanao wanbia taji la Redd's Miss Tanzania 2014 leo wameingia kambini tayari kwa safari ya fainali za Miss Tanzania 2014 zitakazo fanyikia mapema mwezi Oktoba jiji Dar es Salaam.
Warembo hao waliowasdili kwa muda tofauti kuanzaia saa 12 alfajiri ya leo na kupokelewa na waandaaji wa Miss Tanzania katika hoteli ya JB Belmont iliyopo katikati ya jiji la maraha la Dar.
Warembo kutoka Kanda ya Ziwa walitia fora pale warembo hao walipowasili kambini hapo wakiwa ndani...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziWAREMBO MISS TANZANIA 2014 WAWASILI KAMBINI
10 years ago
Dewji Blog14 Sep
Warembo Miss Tanzania 2014 wawasili kambini, kanda ya ziwa waendesha gari yao hadi Dar
Na Father Kidevu Blog
Wanyange 30 wanaowania taji la Redd’s Miss Tanzania 2014 jana wameingia kambini tayari kwa safari ya fainali za Miss Tanzania 2014 zitakazo fanyikia mapema mwezi Oktoba jijini Dar es Salaam.
Warembo hao waliowasili kwa muda tofauti kuanzaia saa 12 alfajiri ya jana na kupokelewa na waandaaji wa Miss Tanzania katika hoteli ya JB Belmont iliyopo katikati ya jiji la maraha la Dar.
Warembo kutoka Kanda ya Ziwa walitia fora pale warembo hao walipowasili kambini hapo wakiwa...
10 years ago
MichuziWAREMBO MISS TANZANIA 2014 WATEMBELEAMAKAO MAKUU YA EAC, AICC, AUWSA LEO
BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI
10 years ago
Dewji Blog26 Sep
Warembo Miss Tanzania 2014 watembelea makao makuu ya EAC, AICC na AUWSA
Mkuu wa Wilaya ya Arusha mjini, John Mongela akisalimiana na Warembo wanaoshiriki shindano la Redd’s Miss Tanzania 2014, walipomtembelea ofisini kwake jijini Arusha leo. Warembo hao Septemba 27 wanataraji kupandaa jukwaani kuwania taji la Miss Top Model litakalofanyika jijini Arusha.
Warembo wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa mAMLAKA ya maji safi na maji taka Jijini Arusha(AUWSA) walipowatembelea jana.
Wakiwasili AICC
Warembo wanaoshiriki shindano la Redd’s Miss Tanzania...
11 years ago
Tanzania Daima04 Apr
Warembo 17 mazoezini Miss Tabata 2014
WAREMBO 17 wamejitokeza kushiriki shindano la kumtafuta Redd’s Miss Tabata 2014. Mratibu wa shindano hilo, Joseph Kapinga, alisema jijini Dar es Salaam jana kuwa, warembo hao wanaendelea na mazoezi katika...
11 years ago
GPLWAREMBO 20 KUCHUANA MISS SHINYANGA 2014
11 years ago
Dewji Blog29 May
Warembo wanaoshindania Miss Tabata 2014 waendelea kujinoa kwenye ukumbi wa Dar West Park
11 years ago
Dewji Blog29 May
Warembo wanaowania taji la Miss Tabata 2014 waendelea kujinoa ukumbi wa Dar West Park
Warembo wanaoshindania miss Tabata 2014 wakiwa kwenye pozi wakati wa mazoezi ya shindano hilo na fainali itakalofanyika siku ya Ijumaa tarehe 06/06/ 2014. Mashindano haya ya Miss Tabata 2014 yatafanyika kwenye ukumbi wa Dar West Park.
Mwalimu Pasilida Mandari anayewanoa warembo watakaochuana vikali kwenye shindano la Miss Tabata 2014 akizungumza na warembo hao wakati wa mazoezi.
Warembo watakaochuana vikali kwenye shindano la Miss Tabata 2014 wakiwa watokelezea kwenye pozi...
11 years ago
MichuziWAREMBO WANAOSHINDANIA MISS TABATA 2014 WAENDLEA KUJINOA KWENYE UKUMBI WA DAR WEST PARK